Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

sasa ndo wakati wa kutembea na Mungu au shetani kwa wanasiasa lasivyo watamalizana mapema
 
sasa ndo wakati wa kutembea na Mungu au shetani kwa wanasiasa lasivyo watamalizana mapema

Huu ni mpango wa magamba kwa nchi ya mbeya na rais wao sugu
Wanataka walazimishe na wananchi hawawataki "aibu"sasa ona kamanda bado anadunda tu
Gari ya sugu ina bima tena kubwa naijuwa vema,ni kama wamempa nafasi ya kusukuma ndinga nyingine nzuri zaidi 😂😂😂
 
View attachment 217550
Breki zilikataa, pona yao ni kwamba walifunga mikanda. Wote wako salama kabisa ila gari ndo hivyo limevurugika hatari. Kila mtu anashangaa kwa namna walivyoweza kutoka wazima kwenye hii ajali kutokana na gari lilivyokuwa likiviringika mlimani hadi likaenda kulala kifo cha mende.
Ova
Breki kukataa kwa gari la aina hiyo, hilo haliwezekani, ni uzembe wa dereva tu.
Hiyo gari si spana mkononi kufa breki.
 
Pale kitonga pabaya sana.

lile bonde limekunywa damu nyingi sana mizimu ya kale na majini inagombania bonde lile ni lango la kuzimu kanda ya kusini kafara za damu zinatolewa

kuthibitisha hili ukitembea kule kwenye poromoko utakuta mifupa mingi na mafuvu ya binadamu na wanyama .
 
Pole sana kamanda Sugu,

Mwakyembe ni mshirikina sana huyo mzee.
Mungu ni mwema kamanda.

Wao wana majini7, sie tuna Mungu

Duh! Eee bhana eee ! Mungu akulinde sana mkuu , asante kwa kututonya .
 
ImageUploadedByJamiiForums1420899355.301031.jpg ImageUploadedByJamiiForums1420899407.798906.jpg
 
Back
Top Bottom