![]()
mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya kupinduka na gari lake . Mbunge huyo akiwa pembeni kushoto.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya wameumia na kukimbizwa hospitali mjini Iringa baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga leo.
Daaaah hitalafu ya breki kitonga ni hatari sana. Maani ni msururu wa kona na mteremko wenye urefu wa kilometa 8-10 hivi.