Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Pole sana mheshimiwa, ila allways bad things hapen to good people. Mungu akunusuru na hayo mabaya.
 
Pole sana kamanda MUNGU ni mwema na harakati za ukombozi ziendelee kama kawa.

Ni mwema kwa watu wote lakini siyo unavuta msuba na makonyagi then unasema Mungu Ni mwema, Ni Mungu yupi anaependa wavuta bhangi? Wala viroba? Labda Mungu wa karumanzira lakini siyo Allah S.W
 
Na pesa zote wanaIipwa, Mbunge anapaswa awe na uwezo wa kupanda ndege kutoka Mbeya/Iringa - Dar. Pole Sugu kwa ajali. Mungu ni mwema wote mmetoka salama.
 
Nimempigia hapokei lakini nimemtumia ujumbe wa kumuasa aache bhangi! Message yenyewe ipo hivi" Hello Sugu pole sana kwa madhira yakujitakia rafiki yangu, kwanini usitafute dereva unayemwamini? Pia punguza kidogo msuba kaka la sivyo utakufa brada, it's me Kinambeu"

Dereva wake ni DJ.BBG huyu jamaa ni mvuta bangi maarufu.

Pia kuna kipindi alishapata ajali na SUGU ajali huko SINGIDA wakija ARUSHA kuomboleza mlipuko wa SOWETO.

Hii Landcriuser AMAZON imeshapata shida sana na hawa wala ganja!
 
Mwambieni aache bhangi kwani habari za ndani zinasema alikuwa amekula msuba Huku akiwa busy na kuongea na simu katikati ya mlima!

Taarifa ndio hiyo!!!!

acha uboyaa wewe ...unazungumza utafikiri ulikuwepi naye
 
Dereva wake ni DJ.BBG huyu jamaa ni mvuta bangi maarufu.

Pia kuna kipindi alishapata ajali na SUGU ajali huko SINGIDA wakija ARUSHA kuomboleza mlipuko wa SOWETO.

Hii Landcriuser AMAZON imeshapata shida sana na hawa wala ganja!

umekunywa viroba vingapi!
 
Na pesa zote wanaIipwa, Mbunge anapaswa awe na uwezo wa kupanda ndege kutoka Mbeya/Iringa - Dar. Pole Sugu kwa ajali. Mungu ni mwema wote mmetoka salama.

Wewe umezaliwa wapi? Ndege hata ukienda uyole upande ndege? Wewe utakuwa unatumia masaburi kufikiria siyo bure!

MwambienI aache bhangi na viroba kama mnampenda namba hiyo hapo juu. Sugu chonde chonde tafuta dereva au unabana matumizi? Basi bado endelea tu utakiona cha moto
 
acha uboyaa wewe ...unazungumza utafikiri ulikuwepi naye

Mimi na wewe boya Ni nani? Mie ninaemshauri aache bhangi na viroba na apate dereva wa kumuwndesha au wewe unaetaka Sugu afe mapema?
 
SUGU tatizo lako ni ulevi, sasa badilika maana unapoelekea ni pabaya!
 
Mimi na wewe boya Ni nani? Mie ninaemshauri aache bhangi na viroba na apate dereva wa kumuwndesha au wewe unaetaka Sugu afe mapema?

weee jinga kweli mbna kuna viongozi wako magamba wanavuta bangi kwa sanaa tu
 
Back
Top Bottom