Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Elungata, mabaya mliyokusudia yawarudie wenyewe! Shimo mlimlochimba mtumbukie nyie wenyewe! Nyavu mlizotandaza ziwanase wenyewe. Mliyemlenga azidi kuinuliwa na kuwa juu! Amina!

Sasa mnamtakia laana Sugu? Ndugu yenu mnamfanyia duwa mbaya kiasi hicho? Sasa mnamlaumu nani? Dereva alikuwa mwenyewe Sugu, gari lake, mavazi ya CDM sasa CCM hapo wapi na wapi?

Sugu sikuhizi anaendeshwa na Kinana? Au gari ile Ni mali ya CCM? Sasa badala ya kumlaumu Sugu na misuba yake mnalaumu CCM hiyo akili au pumba?
 
Wewe ni Elungata?
 
View attachment 217535
Mh.Sungu amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.

Sugu ndugu yangu punguza msuba utakufa bure ndugu yangu, pia tumia dereva wewe mwenyewe huwezi unamambo mengi utakufa usipofuata ushauri!
 
mwe! pole sugu watu ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Mtumie message mwambie apunguze msuba la hivyo atakufa kwani gari lake Askari wanasema lilikuwa na Pombe Kali, na yale majani yetu yale ukiyala unajihisi ndio mfalme!
 
SUGU ni mbunge pekee ambaye mimi nina uhakika 100 percent anavuta bangi, Hata kampani yake wote ni wavuta bangi!
 
pole sana kwa Mheshimiwa Sugu, Wanafamilia na ndugu, wanachadema, wana UKAWA, wapenda haki

najua mashetani yamefurahiiii

ushauri, Wilfred Lwakatare its time umesha recover kutokana na "uhuni" wa kesi za akina Zitto na Mwigulu HEBU RUDI KAZINI NA LINDA MAKAMANDA WAKO

Nawe Padri huishi vioja @!
 
Last edited by a moderator:
SUGU ni mbunge pekee ambaye mimi nina uhakika 100 percent anavuta bangi, Hata kampani yake wote ni wavuta bangi!

Askari wamesema kwenye gari kulikuwa na pombe Kali aina ya Grants? Teacher, na chapa nguvu yaani konyagi na misokoto lukuki ya weed!

Sugu alikuwa tupo bwiii
 
Naona Unanitafuta Kiaina We Haya. Huwa Simkawizagi Mtu Na Leo Mizimu Yangu Ya KIZANAKI na KIMAKUA Imepumzika!

Ushausi mimi nilitoa ni kutokana na tabia yake ya kula majani kama mbuzi ila hayo uliyoitajia mengine mimi nakuachia wewe.
 
SUGU ni mbunge pekee ambaye mimi nina uhakika 100 percent anavuta bangi, Hata kampani yake wote ni wavuta bangi!

Mkuu MSALANI,

Mimi nilikuwa najua siku nyingi sana tangia tukiwa mtwara shule ya secondary Sabasaba! Ameanza siku nyingi kupiga msuba
 
Askari wamesema kwenye gari kulikuwa na pombe Kali aina ya Grants? Teacher, na chapa nguvu yaani konyagi na misokoto lukuki ya weed!

Sugu alikuwa tupo bwiii
SUGU huwa anapenda sana kunywa KONYAGI halafu anamalizia kwa kuvuta JANI.
 
Mkuu MSALANI,

Mimi nilikuwa najua siku nyingi sana tangia tukiwa mtwara shule ya secondary Sabasaba! Ameanza siku nyingi kupiga msuba
Kuna Kipindi walikuja Arusha yeye na Kundi lake la Antivirus, sasa wakati wanatafuta wadhamini wa show yao wakaja ofisini kwetu, tukawakubalia kudhamini ile show. Jioni yake nikamtafuta SUGU kwa simu akasema yuko STEREO HOTEL, nikaenda, nilipofika sikuamini macho yangu, SUGU anakunywa KONYAGI anchanganya na REDBULL huku anavuta KAYA!
nilichoka!!
 
Namba yake hii hapa mshaurini aache bangi
+255 716 627344
Nimempigia hapokei lakini nimemtumia ujumbe wa kumuasa aache bhangi! Message yenyewe ipo hivi" Hello Sugu pole sana kwa madhira yakujitakia rafiki yangu, kwanini usitafute dereva unayemwamini? Pia punguza kidogo msuba kaka la sivyo utakufa brada, it's me Kinambeu"
 
Back
Top Bottom