msami edward
New Member
- Jan 9, 2015
- 1
- 0
Pole ndg sugu
wewe.. MSALANI boya tu acha kushobokea wanaume wewe gamba.....mara oh bange maea oh konyagi acha kuutaka kujua maisha ya watu utaolewa wewe....
makamanda wamepata ajalu na wamepona kwa kudra za mwenyezi mungu wewe utabakiaga kupiga domo tu
Kwani Sugu havuti bange?
We mjinga sana!
Mtu unakuwa na gari ya uhakika hafu halifanyiwi service utafikiri gari ya City unategemea nini?
Mkuu ni kweli si rahisi kwaa aina ya gari hilo kufail brake, lakini huwa inatokea na ni kawaida kufail brake kama dereva kashika brake kwa muda mrefu hasa kwenye mteremko mkali. Brake pads huchemka na kushindwa kushikilia disc. Issue ya kusimama kwa gear inategemea na speed na pia ni aina gani ya transmision iliiyopo. Kwa manual watu wanajua issue ya kupangua magear. Kwa auto wengu wanajua kuweka drive, Reverse na Parking tuu.
Na hii ni kwa sababu magari used huja bila kitabu elekezi. Yote sawa lakini speed ikiwa kubwa kuwezi kupangua gear gari likasimama hapo hapo. Ni lazima yatokee unayoyaona hapo. Uzembe!