Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Kuna Kipindi walikuja Arusha yeye na Kundi lake la Antivirus, sasa wakati wanatafuta wadhamini wa show yao wakaja ofisini kwetu, tukawakubalia kudhamini ile show. Jioni yake nikamtafuta SUGU kwa simu akasema yuko STEREO HOTEL, nikaenda, nilipofika sikuamini macho yangu, SUGU anakunywa KONYAGI anchanganya na REDBULL huku anavuta KAYA!
nilichoka!!
Hiyo konyagi na Redbull wametengenezewa akina nani mpaka ikawa haramu kwa Rais wa Mbeya?