Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Gari yake ili fail break.
Updates:-
Gari ya mbunge wa mbeya Joseph Mbilinyi imemgonga mtoto wa miaka 15 anayeitwa Rachel, mtoto amefariki ila mbunge yuko salama yeye na dereva wake.
Taarifa iliyomfikia member wa JF Saint Ivuga ni kuwa Joseph Mbilinyi alikuwa anaelekea uwanja wa ndege.
Na katika hali ya kutatanisha gari ya Polisi iliyokuwa inaelekea eneo la tukio ilipata ajali na kujeruhi askari Polisi wanne.
Hali zao sio mbaya na wameshatibiwa katika hospitali ya rufaa mbeya, mmoja ameshonwa nyuzi kadhaa kichwani na ataruhusiwa hivi punde kwenda nyumbani.
Dakika chache zilizopita mbunge Mbilinyi ameonekana makao makuu ya trafiki akiwa mzima wa afya.
Saint Ivuga anaendelea kuelezea kuwa baada ya gari ya mbunge huyo kumgonga mtoto Rachel haikusimama hapo hapo iliendelea na safari na boda boda wakaikimbiza hadi walipoikaribia ikasimama na kurudi nao hadi eneo la tukio .
Wakatumia gari hio hio kumchukua mtoto Rachel kumpeleka Hospitali ambapo alifia njiani.
Akihojiwa mbunge huyo maarufu kama MR II alisema kuwa hakukimbia bali gari yao ili fail break kwa hio walikuwa wanajaribu kuokoa maisha yao kwa kutafuta njia nzuri ya kulisimamisha gari.

Taarifa iliyorushwa hivi punde na kituo cha ITV kupitia kipindi chake cha habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu mbunge Wa Mbeya mjini amenusurika kifo baada ya gari lake kufeli bleki na kumgonga mtoto wa miaka 15 aitwae Rachel ambapo mtoto alifariki dunia wakati akikimbizwa hospitali.
Mh. Sugu alikuwa akielekea uwanja wa ndege Songwe ndipo alipo fika maeeneo ya Iyunga akapata ajali hiyo mbaya japo yeye na dereva wake hawajapata madhara yeyote mpaka gari hilo lilipo weza kusimama eneo la Tazara Mbeya.
Aidha gari la polisi lilolokuwa likienda kutoa msaada eneo la ajali hiyo ya Mh. Sugu nalo limepata ajali na kupinduka huku askari wake wanne Kati ya sita waliokuwepo wakijeruhiwa.
Tunatoa pole kwa ndugu Wa mtoto, Askari waliopata ajali wakitimiza wajibu wao na Mh. Mbunge wa Mbeya mjini.