Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

ImageUploadedByJamiiForums1420897477.655939.jpg ImageUploadedByJamiiForums1420897530.356649.jpg ImageUploadedByJamiiForums1420897601.338291.jpg
 
View attachment 217535
Mh.Sungu amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba huko mbeya.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
Kwa tunaoijua mitaa hiyo, hapo yanapinduka malori tu.
Tena yakipinduka ndo kwaheri maana hilo genge la mlima ni balaa.
Aidha dereva wa Sugu ni mzembe sana au alikuwa akienda mwendo kasi mahali penye kona kali na genge la mlima.
Amshukuru Mungu alipindukia barabarani la sivyo sasa hivi Sugu angekuwa historia!!
 
Nimeongea nae wapo salama wamepona wote,tatizo lilikuwa breki zilifeli ikabibid waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni,yupo na matrafiki ndo wanapima.
Toyota Landcruiser VX100, hicho kitu hakuna, kuna tatizo tu la dereva aliyekuwa akiendesha.
Ukiniambia mwendo kasi , kupinduka kwa sehemu hizo rahisi sana, wiki mbilizilizopita nimepita hapo mara nne, kuna hairpin bends ambazo zinawachukua wazembe.
Kwa gari dogo kupinduka lazima mwendo kasi tu.
 
Sugu awagomea Police kupimwa na kifaa cha ulevi atimka na kuwaacha solemba.
 
Pole sana kamanda Sugu,

Mwakyembe ni mshirikina sana huyo mzee.
Mungu ni mwema kamanda.

Wao wana majini7, sie tuna Mungu
 
IMG_0368[1].JPG
Breki zilikataa, pona yao ni kwamba walifunga mikanda. Wote wako salama kabisa ila gari ndo hivyo limevurugika hatari. Kila mtu anashangaa kwa namna walivyoweza kutoka wazima kwenye hii ajali kutokana na gari lilivyokuwa likiviringika mlimani hadi likaenda kulala kifo cha mende.
Ova
 
sasa ndo wakati wa kutembea na Mungu au shetani kwa wanasiasa lasivyo watamalizana mapema
 
Back
Top Bottom