Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Pole kamanda lakini mungu bado anapenda uwatumikie watu wako japo wapo wachache hawapendi
 
Wabunge vijana hasa wa upinzani kuweni makini mwaka huu wa uchaguzi kunawanao watakia mabaya jiepusheni kusafiri na magari na vilevile kutangaza safari! Msiamini mtu hata Dereva wako usimuamini kwasababu wanaongea sana bila kujua kilichopo nyuma. Tumieni ndege zaidi na Safari za kushtusha. Ushauri tu
 
Ushaanza kuabudu ushirikina.
 
What the matter!!!!!. Acha uoga mkuu, watu tumeanza na Mungu na tuta maliza na Mungu.
 
Ushaanza kuabudu ushirikina.

Wewe unafaham ushirikina tu basi? je kulegeza nati, kunga mifumo ya breki kwa kuegesha,

kuangusha magari kwa makudi huu sio uchawi bali hujuma. Hujuma zipo na hutengenezwa usibishe.
 
Atalegezaje nati dereva wakati na ye mwenyewe yumo!? kwani ye haogopi kufa!
 
View attachment 217535
Mh.Sungu amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
amepata ajali siyo amenusurika ajali!!
 
mungu ni mwema , njama zao zimeshindwa , asante Mungu .

Njama Zipi Tena? Na Najua LAZIMA Tu Utakuwa Una Maanisha Kuwa Ni Watu Wa Chama Tawala Kuwa Pengine Ndiyo Wamecheza Mchezo Na Kusababisha Hiyo Ajali. Kuna Mtu Wa CCM Ameipindua Hadi Ikapinduka? Hebu Tuwe TUNAJUA KUFIKIRI Kidogo Na Samahani Kama Nitakuwa Nimekukwaza. Hivi Humo Humo Chamani Kwake Hawezi Kuwa Na Madui Zake? Anyway Pole Sana Mheshimiwa Sugu Na Ni Matumaini Yangu Kuwa Utaitungia Bonge La Songi Ajali Hiyo!
 
Back
Top Bottom