ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,653
Habari nilizozipata ni kuwa aliyewahi kuwa naibu waziri wa fedha na mbunge wa Arumeru mashariki bwana Sumari ameaga dunia.
Poleni wafiwa.
Source: MOI
Hivi huyu si ndo baba wa kina Nancy na Nakaaya?
Habari nilizozipata ni kuwa aliyewahi kuwa naibu waziri wa fedha na mbunge wa Arumeru mashariki bwana Sumari ameaga dunia.
Poleni wafiwa.
Source: MOI
sio baba yao na kina nancy , ni baba wa kisali , sioi , na joan . Sasa sijui kama joan ndo JS wa jf ?
Wasambaa wana msemo wao usemao " ukitandika umvyedi na ugoshe mvyedi " usitegemee mbunge kama Livingstone Lusinde ( kibajaji ) yule Mbunge wa Mtera afe halafu apate heshima na maziko kama ya Regia! hapana hilo nakataa kabisa, kuna wabunge wengine wakifa ni Great relief kwa Taifa.
Kwa Marehemu Sumari R.I.P atazikwa kutokana na Historia ya matendo yake hapa Duniani, nadhani msiba wa Regia ni funzo kubwa kwa wanasiasa wote wanatakiwa wachague kuishi maisha ya namna gani!
RIP J.Sumari,
Bwana aiweke Roho ya marehemu mahali pema peponi. Awafariji wanafamilia, ndugu na marafiki wote katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.
Alikuwa anapokea mshahara?
Alipewa ule mkopo wa shangingi?