Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Hakuwa waziri bana..........Hata ubumge hakula kiapo

Tanzania

Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments
Date of Information: 8/12/2011
[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vice Pres.
[/TD]
[TD]Mohamed Gharib BILAL, Dr.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prime Min.
[/TD]
[TD]Mizengo Kayanza Peter PINDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pres. of Zanzibar
[/TD]
[TD]Ali Mohamed SHEIN, Dr.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Agriculture, Food Security, & Cooperatives
[/TD]
[TD]Jumanne Abdallah MAGHEMBE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Communication, Science, & Technology
[/TD]
[TD]Makame Mnyaa MBARAWA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Community Development, Gender, & Children
[/TD]
[TD]Sofia Mnyambi SIMBA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Defense & National Service
[/TD]
[TD]Hussein Ali MWINYI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for East Africa Cooperation Affairs
[/TD]
[TD]Samwel John SITTA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Education & Vocational Training
[/TD]
[TD]Shukuru Jumanne KAWAMBWA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Energy & Mineral Resources
[/TD]
[TD]William NGELEJA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Finance & Economic Affairs
[/TD]
[TD]Mustapha Hadi MKULO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Foreign Affairs & Intl. Cooperation
[/TD]
[TD]Bernard Kamillius MEMBE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Health & Social Welfare
[/TD]
[TD]Hadji Hussein MPONDA, Dr.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Home Affairs
[/TD]
[TD]Shamsi Vuai NAHODHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Industry, Trade, & Marketing
[/TD]
[TD]Cyril CHAMI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Information, Youth, Culture, & Sports
[/TD]
[TD]Emmanuel John NCHIMBI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Infrastructure Development
[/TD]
[TD]Andrew John CHENGE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Justice & Constitutional Affairs
[/TD]
[TD]Celina Ompeshi KOMBANI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Labor & Employment
[/TD]
[TD]Gaudensia Mugosi KABAKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Lands & Human Settlements Development
[/TD]
[TD]Anna TIBAIJUKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Livestock & Fisheries
[/TD]
[TD]Mathayo David MATHAYO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Natural Resources & Tourism
[/TD]
[TD]Ezekiel Magolyo MAIGE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Transport
[/TD]
[TD]Omari Rashid NUNDU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Water
[/TD]
[TD]Mark James MWANDOSYA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. for Works
[/TD]
[TD]John Pombe Joseph MAGUFULI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Good Governance, Pres.'s Office
[/TD]
[TD]Mathias Meinrad CHIKAWE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Public Service Management, Pres.'s Office
[/TD]
[TD]Hawa Abdulrahman GHASIA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Social Relations & Coordination, Pres.'s Office
[/TD]
[TD]Stephen Masatu WASSIRA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Environment, Vice Pres.'s Office
[/TD]
[TD]Terezya HOVIZA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Union Affairs, Vice Pres.'s Office
[/TD]
[TD]Samia SULUHU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Investment & Empowerment, Prime Min.'s Office
[/TD]
[TD]Mary Michael NAGU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Policy, Coordination, & Parliamentary Affairs, Prime Min.'s Office
[/TD]
[TD]William LUKUVI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Min. of State for Regional Admin. & Local Govt., Prime Min.'s Office
[/TD]
[TD]George MKUCHIKA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Attorney Gen.
[/TD]
[TD]Frederick WEREMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Governor, Central Bank
[/TD]
[TD]Benno NDULU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ambassador to the US
[/TD]
[TD]Mwanaidi Sinare MAAJAR
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Permanent Representative to the UN, New York
[/TD]
[TD]Ombeni Yohana SEFUE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkuu kama hiyo tarehe ni sahihi, ina maana hawaja update hizi taarifa na leo ni January 2012..basi tuna tatizo kubwa sana la usahihi wa taarifa zetu tena katika ngazi za juu kiasi hiki..hii ni aibu kubwa
 
Makada ccm huko Arumeru Mashariki muwe makini na wake zenu natumai Mwigulu Nchemba atakuweko kama Igunga msije laumu.Naongea kama Yohana mbatizaji...sauti ya mtu aliyae nyikani....
 
Kodi zetu jamani. Tuendelee kuigharamia SIASA tu. Angalau tungekuwa tunapima AFYA zetu kabla ya kugombea.

Unaakili sana. Nadhani ni vyema tuwe na utaratibu wa kupima afya kabla ya kupewa form.

Kuhusu Sumari, marehemu alikuwa ni mgonjwa sana kabla hata ya siku ya vchaguzi. Licha na kuwa naibu waziri wa fedha, hakuweza kutimiza ahadi na matarajio ya wapiga kura wake. Ukichamganya na ugonjwa, Wameru wakaamua kumuweka pembeni na kumchagua Nasar Yoshua kuwawakilisha. Kwakuwa Nec na Tiss waliamua kutangaza walioshindwa, akiwemo wa Godluck Ole Medeye, Wameru wamekuwa wakinung'unika siku zote jambo lililomfanya azidi kuugua maana huwezi kufanikiwa kama kuna watu wananung'unika juu yako. Hatimae mauti yamemkuta. Kibinadamu, hatumwombei mtu kifo, lakini naamini wazee wanatikisa vichwa wakisikitika na kusema laiti angesikiliza matakwa yetu!?

Anyway, poleni sana Nancy na Nakaaya. The situation is always hard when you father passaway! I experianced it 4yrs ago!

R I P Hayati J. Sumari!
 
Kama ni kweli basi Mungu amlaze pema peponi,msiba wa mheshimiwa huyu kwa CCM na watawala wetu Serikalini ni mtihani mkubwa sana kwao,kwa kuwa watanzania wataongea hivyo wengine tutajua kuwa alikuwa mtu wa aina gani japo nimepata kumsikia na kumsoma sumari kwenye magazeti akiwa ni jina jipya kwenye siasa za Tanzania kutokea mikoa ya kaskazini,lakini alionekana kuwa alikuwa mtu mpole kwa muonekana [First site] kwangu mimi binafsi sina rekodi yoyote kubwa yake kitaifa ya kusema zaidi namuona kama Mtanzania wa kawaida licha ya kuwa kama kiongozi wa Taifa kwa tiketi ya CCM.

Watanzania wataongea,ndio maana nikasema kwa msiba huu ni Mtihani kwa CCM na Watendaji wake Serikalini humu ndani ya Jukwaa.
 
Nimezisikia hizo taarifa mkuu naona sasa ni breakin newz kwenye vyombo vya televisheni.
Huzuni kwa Taifa viongozi kuondoka mapema namna hii.
R.I.P
 
RIP Sumari.
Hapa hakuna sabubu ya kufanya by-election si alikuwa hajaapishwa, aliyekuwa namba mbili achukue nafasi, Wazee wa sheria hebu tupeni ufafanuzi kwa hili
 
R.I.P Hon. Sumari, bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.


UPDATE:

Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili

Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.

Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!

Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.




OOOh my God,
Another death!!!!!!!!!!!!

Kutokana na uchovu,mara tu baada ya kuamka mda huu nilifungua JF kutaka kujua yaliyojiri,Post ya kwanza imekuwa ni hii.

Nawapa pole wafiwa wote,nawapa pole wananchi wa Arumeru, bunge na taifa kw ujumla.

Mmmmmmmm!
 
RIP Jeremiah Sumari.........................Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe......................
 
Kodi zetu jamani. Tuendelee kuigharamia SIASA tu. Angalau tungekuwa tunapima AFYA zetu kabla ya kugombea.

Unaakili sana. Nadhani ni vyema tuwe na utaratibu wa kupima afya kabla ya kupewa form.

Kuhusu Sumari, marehemu alikuwa ni mgonjwa sana kabla hata ya siku ya vchaguzi. Licha na kuwa naibu waziri wa fedha, hakuweza kutimiza ahadi na matarajio ya wapiga kura wake. Ukichamganya na ugonjwa, Wameru wakaamua kumuweka pembeni na kumchagua Nasar Yoshua kuwawakilisha.

Kwa kuwa Nec na Tiss waliamua kutangaza walioshindwa, akiwemo wa Godluck Ole Medeye, Wameru wamekuwa wakinung'unika siku zote jambo lililomfanya azidi kuugua maana huwezi kufanikiwa kama kuna watu wananung'unika juu yako.

Hatimae mauti yamemkuta. Kibinadamu, hatumwombei mtu kifo, lakini naamini wazee wanatikisa vichwa wakisikitika na kusema laiti angesikiliza matakwa yetu!?

Anyway, poleni sana Nancy na Nakaaya. The situation is always hard when you father passaway! I experianced it 4yrs ago!

R I P Hayati J. Sumari!
 
Unaakili sana. Nadhani ni vyema tuwe na utaratibu wa kupima afya kabla ya kupewa form.

Kuhusu Sumari, marehemu alikuwa ni mgonjwa sana kabla hata ya siku ya vchaguzi. Licha na kuwa naibu waziri wa fedha, hakuweza kutimiza ahadi na matarajio ya wapiga kura wake. Ukichamganya na ugonjwa, Wameru wakaamua kumuweka pembeni na kumchagua Nasar Yoshua kuwawakilisha. Kwakuwa Nec na Tiss waliamua kutangaza walioshindwa, akiwemo wa Godluck Ole Medeye, Wameru wamekuwa wakinung'unika siku zote jambo lililomfanya azidi kuugua maana huwezi kufanikiwa kama kuna watu wananung'unika juu yako. Hatimae mauti yamemkuta. Kibinadamu, hatumwombei mtu kifo, lakini naamini wazee wanatikisa vichwa wakisikitika na kusema laiti angesikiliza matakwa yetu!?

Anyway, poleni sana Nancy na Nakaaya. The situation is always hard when you father passaway! I experianced it 4yrs ago!

R I P Hayati J. Sumari!

Mkuu sikuwa nafahamu kwamba Marehemu Sumari ndiye baba yake na Mr. Politician. Pole sana kwenu wana wa arusha.
 
Mkuu kama hiyo tarehe ni sahihi, ina maana hawaja update hizi taarifa na leo ni January 2012..basi tuna tatizo kubwa sana la usahihi wa taarifa zetu tena katika ngazi za juu kiasi hiki..hii ni aibu kubwa

Nadhani hilo la Chenge ni gaffe.......lakini tarehe iko sahihi....wamerakani hauanza na mwezi..........positions zingine ukiacha ya Sefue ziko sawa.....na Sumari ahakurudi kwenye cabinet
 
Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na hivi vifo vya mfululizo kwa taifa hili changa, viongozi wetu wafanye kazi za maendeleo na kuliletea taifa maendeleo na siyo kila kukicha ni kuhudhuria misiba na matanga,

R I P mbunge mteule Arumeru
 
Sikujua kama hakuapishwa/......Sheria za Bunge zinasema je kuhusu kuapishwa na hakuna muda wa ubunge kuexpire iwapo inaonekana afya ya mbunge kuzorota??
Do..Mh pole kama umeteseka sana kwa maradhi aheri kupumzika pia..MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI..
 
May ur soul rest in peace baba,hakuna aliyemkamilifu duniani.wote tunaelekea huko!
 
Back
Top Bottom