Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Apumzike kwa amani Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihidimiwe!
 
rip j.sumari,
bwana aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Awafariji wanafamilia, ndugu na marafiki wote katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
huyu sumari alipokuwa waziri nadhani kipindi anamjibu zitto utumbo alishaanza kuumwa ubongo
 
Naomba matokeo ya ubunge Arumeru Mashariki 2010 nifanye tathimini kidogo tafadhari
 
Kwa wataalam wa sheria,

Sheria zetu zinasemaje inapotokea mbunge mteule anafariki kabla ya kuapishwa?

Mkubwa!

Hili inabidi kuchungulia kale kakatiba feki inayotumika ktk serikali ya jk hivi leo.

Maana hili muhimu kujua kweli.

Wataalam wa katiba karibuni kwa hili.
 
Baada ya manung'uniko Mungu amesikia kilio chenu
wana arumeru
 
Huyu ni Mbunge elect.........hakuapishwa, lakini alipewa unaibu waziri!!!
 
Barubaru bana yaani hupitwi chochote hapa bongo si urudi tu pemba? Nafurahia sana punctuality yako.
Huyo ni "aficionada" wa JF kama mimi. Akina Seif na Jussa wakikamilisha ile "project" yao atarudi. Utakumbuka tulikuwa na wasomi wazuri wakijiita WAHANGAZA. Kagame alipochukua Rwanda wote wako kule sasa.
 
RIP Jeremiah Sumari, mwenye taarifa atujuze alikuwa anasumbuliwa na nini?.
 
Dah....habari ya kusikitisha hii. RIP Jeremiah
 
My deepest condolences to Jeremiah Sumari's family. RIP Mzee
 
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.

Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.

Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!

Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.

allimdhulumu mgombea wa chadema tena kijana haki yake ya kuwa mbunge.....................may be this time around justice will shine once more.........
 
allimdhulumu mgombea wa chadema tena kijana haki yake ya kuwa mbunge.....................may be this time around justice will shine once more.........

alikwapua kura? ndo maana hata kifo chake kimekuwa kimyakimya, wala hata hukuna gumzo mtaani kama ilivyo kwa bi regia mteam
 
Back
Top Bottom