unaakili sana. Nadhani ni vyema tuwe na utaratibu wa kupima afya kabla ya kupewa form. Kuhusu sumari, marehemu alikuwa ni mgonjwa sana kabla hata ya siku ya vchaguzi. Licha na kuwa naibu waziri wa fedha, hakuweza kutimiza ahadi na matarajio ya wapiga kura wake. Ukichamganya na ugonjwa, wameru wakaamua kumuweka pembeni na kumchagua nasar yoshua kuwawakilisha. Kwakuwa nec na tiss waliamua kutangaza walioshindwa, akiwemo wa godluck ole medeye, wameru wamekuwa wakinung'unika siku zote jambo lililomfanya azidi kuugua maana huwezi kufanikiwa kama kuna watu wananung'unika juu yako. Hatimae mauti yamemkuta. Kibinadamu, hatumwombei mtu kifo, lakini naamini wazee wanatikisa vichwa wakisikitika na kusema laiti angesikiliza matakwa yetu!? Anyway, poleni sana nancy na nakaaya. The situation is always hard when you father passaway! I experianced it 4yrs ago! R i p hayati j. Sumari!