Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 453
Kafariki lini! R.I.P sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?
ulikuwa gereza gani mkuu.?
Karanga, butimba, bariadi au kitai?
Kafariki lini! R.I.P sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?
Kafariki lini! R.I.P sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?
Mkuu Kidadari, next time ukiona thread, uwe unaisoma tarehe kabla hujauliza!.Kafariki lini! R.I.P sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?
Mkuu bona, hivi uko dunia hii hii?!.wananchi wake wamekosa uwakilishi bungen nadhan sasa ni muda wananchi wapatiwe wanahokitaka mbunge makini kutoka chadema!!! i bet ccm kwa kujua hawatashinda watasema jimbo libaki wazi mpaka next election!!!
Sijaelewa dhumuni la huu uzi ni nini kukumbusha msiba.Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.
Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.
Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!
Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.
UPDATE:
Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili
wananchi wake wamekosa uwakilishi bungen nadhan sasa ni muda wananchi wapatiwe wanahokitaka mbunge makini kutoka chadema!!! i bet ccm kwa kujua hawatashinda watasema jimbo libaki wazi mpaka next election!!!
Mkuu Kidadari, next time ukiona thread, uwe unaisoma tarehe kabla hujauliza!.
Pia Mkuu marejesho, ukianzisha thread, kama ya msiba, akishazika, weka final update!.
P.
ulikuwa gereza gani mkuu.?
Karanga, butimba, bariadi au kitai?