Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Ni wa Arumeru mashariki. Sosi tbc1
Naomba matokeo ya ubunge Arumeru Mashariki 2010 nifanye tathimini kidogo tafadhari
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]Naomba matokeo ya ubunge Arumeru Mashariki 2010 nifanye tathimini kidogo tafadhari
Nani hasa kamkimbia mwenzake tukianzia:Ungemuuliza kwanini jana alimkimbia mkuu wa nchi ningekuona wa maana sana!!
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.
Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.
Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!
Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.
UPDATE:
Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili
NEC wanaogopa kujiuzulu, wameshikilia matokeo, na hayatoka kamwe
Asante kwa taarifa mkuu,amefia India?
Comfirmed???
Kumbe Jimbo ni la CCM. Ngoja niwashawishi rafiki zangu akina Alex Kaaya na Kisali Pallangyo wakajaribu bahati yao. Lowasa atawasaidia. Ni watu wake wa karibu. Huku kungine wameshindwa. Alex kashindwa vibaya DAWASCO na Pallangyo MUHAS inaelekea kumwelemea. SIASA wataweza.[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] SUMARI JEREMIAH SOLOMON [/TD]
[TD="width: 20%"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%"]34,661[/TD]
[TD="width: 15%"] 62.23[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOSHUA SAMWEL NASARI [/TD]
[TD="width: 20%"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%"]19,123[/TD]
[TD="width: 15%"] 34.33[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOHN YESAYA PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%"]265[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.48[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LINDA PENIELI BANA [/TD]
[TD="width: 20%"]JAHAZI ASILIA[/TD]
[TD="width: 20%"]176[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FANUEL GABRIEL PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] CHARLES MOSES MSUYA [/TD]
[TD="width: 20%"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,297[/TD]
[TD="width: 15%"] 2.33 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"] 55,698[/TD]
[TD="width: 15%"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu boresha heading hili kufikisha ujumba haraka.
Roho ya marehemu ilale kwema peponi
Baada ya manung'uniko Mungu amesikia kilio chenu
wana arumeru
Nani hasa kamkimbia mwenzake tukianzia:
Karimjee-Regia aliagwa kitaifa pale. Dr Slaa alikuwepo. JMK katimkia Morogoro.
Ifakara- Nyumbani na pale kiwanjani. Dr Slaa alikuwepo. JMK hakuwepo, kaja kuibukia makaburini. unasalimiana vipi na mtu mkubwa hivi makaburini?
Dr Slaa. Rudi kwenye misingi ya UKRISTO. Samehe 7*70. Wenye akili kama Reject wanadhani wewe ndie unaemkwepa JMK.