Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Rest in Peace Sumari!
Bora upumzike, maana afya imekutesa kwa muda mrefu!../Lipi bora uishi mgonjwa kwa miaka au ukapumzike na taabu za dunia!
 
Hivi sheria ikoje mbunge akifa kabla ya kuapishwa? Kunakuwa na by-election au vipi?
Mbunge akishachaguliwa ni mbunge hata bila ya kuapishwa....isipokuwa hataweza kushiriki shughuli za bunge mpaka awe ameapishwa (isipokuwa kuchagua spika). Hata hivyo naona katiba kidogo haipo wazi sana kwenye suala hili la kuapa/kutokuapa....inawezekana limefafanuliwa mahala pengine (sheria/kanuni etc).
 
Kodi zetu jamani. Tuendelee kuigharamia SIASA tu. Angalau tungekuwa tunapima AFYA zetu kabla ya kugombea.
 
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.

Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.

Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!

Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.

UPDATE:

Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili

R.I.P. Mzee Sumari
Tunatarajia upendo ulioonyeshwa na wana ccm kwenye mazishi ya dada Regia tutauona kwa wanachedema pia kwenye msiba huu!
 
Back
Top Bottom