Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Baba Enock yuko wapi?
Lile bafu la masterbedroom ukifungiwa kwa nje kwishney
Baba Enock yuko wapi?
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.
Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.
Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!
Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.
UPDATE:
Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili
Kama alikuwa hajaapishwa basi hakuwa mbunge kamili...au sheria zinasemaje.Hivi ndio baba yao akina nancy na Nakaaya?
Poleni wafiwa..
Una matatizo ya akili nani aliyechangia hapa halafu akajitambulisha kama chadema? Upupu mtupu!!chadema naona wanafurahia sana vifo vya wenziwao, hata hii michango inaonyesha jinsi gani chadema walivyokaa kitumbo tumbo tu
maxence Melo yupo, ngoja tusubiri athibitishe.
Inajulikana kuwa mfanyakazi wa serikali anapaswa kulipwa nusu mshahara endapo atapata likizo ya ugonjwa zaidi ya miezi 6 na ataachishwa kazi baada ya mwaka 1 endapo atakuwa hajapona kuweza kurudi kazini. Kama hili halikutekelezwa basi hiyo ni aina ya ufisadi inayopaswa kupigwa vita bila kujali inamgusa nani! Kuna wanafanyakazi wengi wa umma waliofanyiwa kama sheria inavyotaka kwanini ni tofauti kwa wabunge? Sheria ni msumeno!!!!!RIP Sumari. Samahani natoka nje ya mada kidogo kwenye katiba mpya kuwe na muda maalum ambapo mbunge akichaguliwa na wakati wa kuapishwa akawa mgonjwa basi hiyo nafasi iwe wazi. Kuliko mbunge anakuwa mgonjwa na zaidi ya mwaka hajaapishwa
Shujaa wa kutuibia watanzania hana hadhi ya kufananishwa na Bi Regia hata kidogo, ni CCM ndo watamlilia kama shujaa maana wao ushujaa una tafsiri tofauti na tafsiri tuijuayo sisiJana tumemzika shujaa wetu Regia Mtema, wengi tulimwona shujaa wetu. Je huyu Jere100 ni shujaa?