Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Wakuu,

Ni wazi sasa baada ya kumpumzisha mwenzetu-(R.I.P) jimbo litakuwa wazi.
Ninaomba niwaambie wazi wenzetu wa CDM kwamba wananchi wana imani kubwa na aliyekuwa mgombea wenu Joshua Nassary. Msije mkajidanganya mkamteua mtu mwingine.Ni wazi kwa nguvu ya CDM sasa wenye pesa watajipenyeza kugombea ili waukwae ubunge.

Nawaambia wazi kamati kuu ya CDM mkimchakachua Joshua Nassary tutakuja huko makao makuu na mabango na tutawafungia ndani ya ofisi kwa kufuli.

Dr Slaa najua uko huku jamvini.Hakikisha wajanja hawatapenyeza pesa kwa ajili ya kumtosa kijana wetu Nassary.Tuna imani kubwa na huyu kijana.Kamati kuu hakikisheni mnamtendea haki huyu kijana.

Huyu kijana ni machachari mfano wa Lema, Mnyika, Zitto nk.
Hayo ni mawazo yangu kwenu kamati kuu.Tupeni chaguo tunalolitaka.
 
Wakuu,
Ni wazi sasa baada ya kumpumzisha mwenzetu-(R.I.P) jimbo litakuwa wazi.
Ninaomba niwaambie wazi wenzetu wa CDM kwamba wananchi wana imani kubwa na aliyekuwa mgombea wenu Joshua Nassary.Msije mkajidanganya mkamteua mtu mwingine.Ni wazi kwa nguvu ya CDM sasa wenye pesa watajipenyeza kugombea ili waukwae ubunge.Nawaambia wazi kamati kuu ya CDM mkimchakachua Joshua Nassary tutakuja huko makao makuu na mabango na tutawafungia ndani ya ofisi kwa kufuli.
Dr Slaa najua uko huku jamvini.Hakikisha wajanja hawatapenyeza pesa kwa ajili ya kumtosa kijana wetu Nassary.Tuna imani kubwa na huyu kijana.Kamati kuu hakikisheni mnamtendea haki huyu kijana.Huyu kijana ni machachari mfano wa Lema,Mnyika,Zitto nk.
Hayo ni mawazo yangu kwenu kamati kuu.Tupeni chaguo tunalolitak
a.
Mungu amlaze pema peponi Mh.Sumari.
Na amini Dr.ujumbe huu atakuwa ameupata kama atafanikiwa kupitia uzi huu .Ila wapenda Demokrasia waliokaribu naye wafikishe ujumbe pia.
 
Huyu Sumari kama nae alichakachua, basi mtu aliemchakachua mzizi wake kiboko.....yaani mtu hata kuapishwa ilishindikana!!
Jamani mgombea waq CHADEMA awe yuleyule.....wakimchakachua tena...anakaba koo mtu!

RIP Sumari

Nakumbuka huyu RIP ndiye aliyejibu fyongo kuhusu swali la Meremeta aliloulizwa na Zitto Bungeni, kumbe sasa naweza msamehe kwani huenda ndio ugonjwa ulikuwa unaanza

RIP Sumari wa CCM



 
Baba yao mzazi, ndio ushangae watoto ni maarufu kuliko Baba yao licha ya kwamba ni Mbunge!
Hapana mkuu......Nancy na Nakaaya si watoto wa marehemu Jerry Solomon Sumari hawa ni watoto wa Abraham Sumari.....i.e Nancy Abraham Sumari na Nakaaya Abraham Sumari.....

Jerry Solomon Sumari yeye ana watoto watatu wa kike mmoja(Joan) na wa kiume wawili(Sioi na Kisali).....Sioi yeye ni Mwanasheria na amemuoa binti wa Edward Lowassa aitwae Pamela.....

Upumuzike kwa amani mzee Jerry Solomon Sumari....

Pole kwa Sioi, Kisali na Joan, pole kwa mama Sumari

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie,apumzike kwa amani......Amina
 
Nakumbuka huyu RIP ndiye aliyejibu fyongo kuhusu swali la Meremeta aliloulizwa na Zitto Bungeni, kumbe sasa naweza msamehe kwani huenda ndio ugonjwa ulikuwa unaanza

RIP Sumari wa CCM




mkuu tukumbushe alijibuje na swali lilikuwaje kwa faida ya wengi
 
CUF na CCM hawataweka wagombea huku maana jimbo ili ni la CDM tangu hapo.
 
Wakuu, Ni wazi sasa baada ya kumpumzisha mwenzetu-(R.I.P) jimbo litakuwa wazi.
Ninaomba niwaambie wazi wenzetu wa CDM kwamba wananchi wana imani kubwa na aliyekuwa mgombea wenu Joshua Nassary.Msije mkajidanganya mkamteua mtu mwingine.Ni wazi kwa nguvu ya CDM sasa wenye pesa watajipenyeza kugombea ili waukwae ubunge.

Nawaambia wazi kamati kuu ya CDM mkimchakachua Joshua Nassary tutakuja huko makao makuu na mabango na tutawafungia ndani ya ofisi kwa kufuli.

Dr Slaa najua uko huku jamvini.Hakikisha wajanja hawatapenyeza pesa kwa ajili ya kumtosa kijana wetu Nassary.Tuna imani kubwa na huyu kijana.

Kamati kuu hakikisheni mnamtendea haki huyu kijana.Huyu kijana ni machachari mfano wa Lema,Mnyika,Zitto nk.
Hayo ni mawazo yangu kwenu kamati kuu.Tupeni chaguo tunalolitaka.

fmpiganaji,

Nadhani ujumbe umefika.Ni wazi hata kama Dr Slaa hatauona ujumbe wako lakini asilimia kubwa ya viongozi wa CDM wanapitia forum hii.Naamini hata mama mpambanaji Josephine atakuwa ameuona. Ujumbe muafaka kwa wakati muafaka.

Nilibahatika kupita hili jimbo mwaka jana mwezi wa 7.Hakika watu wake wanaamini kijana Nassary ndiye aliyeshinda ubunge.Kuna watu hata uwawekee bunduki wanaamini Nassary ndiye mbunge wao.

Ingawa mimi si kiongozi yeyote wa hiki chama lakini naamini Joshua Nassary apitishwe moja kwa moja na Kamati kuu kugombea.Kusiwe na kura yoyote ya maoni tena.Kwani kama fmpiganaji alivyosema wajanja wanaweza penyeza rupia wakamwangusha kwenye kura ya maoni.

Huyu dogo nakumbuka alitikisa nchi siku ile ya mdahalo wa wagombea ubunge Arumeru Mashariki kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka juzi.Nilimsikia tu siku hiyo nikaiambia nafsi yangu kweli CDM ina hazina ya viongozi.

RIP Sumary.
 
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema
Hivi kwa nini watu wanasema peponi? =Je peponi sio kwamba wanaishi mapepo?
 
Rip mh sumari! Kila nafc itaonja mauti xo umetangulia 2tafuata cie!!
 
Kiti chake cha Ubunge ni zawadi kwa chadema, hapana kampeni za kujisumbua bure
 
RIP Hon. Jeremiah Sumari. . . .he died last night but I still don't know how did that happen. . . For more information We've to wait for the upcoming ITV/TBC News at 8.00pm. . .Wishing Y'all a Nice Evening Wherever You're
 
RIP Hon. Jeremiah Sumari. . . .he died last night but I still don't know how did that happen. . . For more information We've to wait for the upcoming ITV/TBC News at 8.00pm. . .Wishing Y'all a Nice Evening Wherever You're

How did you want to know his death??? He passed away last night and i thought you could wait the upcoming news from Media to give out the whole issue and probably get a point to leave here for us.
But by the way,,he was sick for soooooooooooooooooooooooooooooooo long time and he never even cross outside the Parliament House Dodoma...Imagine how he was serious...RIP
 
Back
Top Bottom