Inauma sana hasa kwe2 sis wafiwa! Mi ni mmoja wa watawaliwa wa aliekuwa mbunge japo sikumchagua! Je msiba huu utaongeza majonzi mara dufu mioyon mwa Watz, hasa wana Arusha au inakuaje? Je 2hamie Arumeru kuanzia leo na tutoke huko Ifakara kwa dada et kpenzi alotutoka, Regia, inatuchanganya tushinde wapi na tukalale wapi. R.I.P mhesh Jeremia.
Asante kwa taarifa mkuu,amefia India?
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] SUMARI JEREMIAH SOLOMON [/TD]
[TD="width: 20%"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%"]34,661[/TD]
[TD="width: 15%"] 62.23[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOSHUA SAMWEL NASARI [/TD]
[TD="width: 20%"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%"]19,123[/TD]
[TD="width: 15%"] 34.33[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOHN YESAYA PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%"]265[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.48[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LINDA PENIELI BANA [/TD]
[TD="width: 20%"]JAHAZI ASILIA[/TD]
[TD="width: 20%"]176[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FANUEL GABRIEL PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] CHARLES MOSES MSUYA [/TD]
[TD="width: 20%"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,297[/TD]
[TD="width: 15%"] 2.33 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"] 55,698[/TD]
[TD="width: 15%"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kuna habari zimenifikia sasa havi kwamba Mbunge huyu amefariki!.
Mbunge huyu alikuwa mgonjwa na hakuapishwa 2010.
Alipelekwa India na iliandikwa hapa jukwaani, hali ilikuwa mbaya sana!
Baada ya kupata matibabu ya uvimbe kwenye ubongo, alirudishwa kimyakimya na sasa nimesikia amefariki.
UPDATE:
Naibu Spika kathibitisha habari hizi na marehemu alifariki saa 8 usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali ya taifa - Muhimbili
Ben Bana ni wa Kagera pamoja na ndugu yake katika REDET, Mkandara na hawala yao Kilian. REDET inalipa kuliko Ubunge.Kumbe kina Bana ni wameru? Dr. Benson Bana Ukagombee Ubunge maana naona Uchambuzi wa kitaalamu unakushinda
Wasambaa wana msemo wao usemao " ukitandika umvyedi na ugoshe mvyedi " usitegemee mbunge kama Livingstone Lusinde ( kibajaji ) yule Mbunge wa Mtera afe halafu apate heshima na maziko kama ya Regia! hapana hilo nakataa kabisa, kuna wabunge wengine wakifa ni Great relief kwa Taifa.
Kwa Marehemu Sumari R.I.P atazikwa kutokana na Historia ya matendo yake hapa Duniani, nadhani msiba wa Regia ni funzo kubwa kwa wanasiasa wote wanatakiwa wachague kuishi maisha ya namna gani!
Makada ccm huko Arumeru Mashariki muwe makini na wake zenu natumai Mwigulu Nchemba atakuweko kama Igunga msije laumu.Naongea kama Yohana mbatizaji...sauti ya mtu aliyae nyikani....
Acha porojo wewe!Inauma sana hasa kwe2 sis wafiwa! Mi ni mmoja wa watawaliwa wa aliekuwa mbunge japo sikumchagua! Je msiba huu utaongeza majonzi mara dufu mioyon mwa Watz, hasa wana Arusha au inakuaje? Je 2hamie Arumeru kuanzia leo na tutoke huko Ifakara kwa dada et kpenzi alotutoka, Regia, inatuchanganya tushinde wapi na tukalale wapi. R.I.P mhesh Jeremia.
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] SUMARI JEREMIAH SOLOMON [/TD]
[TD="width: 20%"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%"]34,661[/TD]
[TD="width: 15%"] 62.23[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOSHUA SAMWEL NASARI [/TD]
[TD="width: 20%"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%"]19,123[/TD]
[TD="width: 15%"] 34.33[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] JOHN YESAYA PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%"]265[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.48[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LINDA PENIELI BANA [/TD]
[TD="width: 20%"]JAHAZI ASILIA[/TD]
[TD="width: 20%"]176[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FANUEL GABRIEL PALLANGYO [/TD]
[TD="width: 20%"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] CHARLES MOSES MSUYA [/TD]
[TD="width: 20%"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%"]88[/TD]
[TD="width: 15%"] 0.16[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]1,297[/TD]
[TD="width: 15%"] 2.33 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] 55,698[/TD]
[TD="width: 15%"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kumbe Jimbo ni la CCM. Ngoja niwashawishi rafiki zangu akina Alex Kaaya na Kisali Pallangyo wakajaribu bahati yao. Lowasa atawasaidia. Ni watu wake wa karibu. Huku kungine wameshindwa. Alex kashindwa vibaya DAWASCO na Pallangyo MUHAS inaelekea kumwelemea. SIASA wataweza.