Sio lazima uape ndio uwe mbunge. Kiapo ni cha UAMINIFU tu. Soma KATIBA yetu kuanzia ibara ya 68 & 71(1).Aliapishwa wapi?
Poleni wana Arumeru japo kwenye red pana kaukweli. Nafikiri mbunge akikosa vikao vitatu mfululizo anakuwa amepoteza sifa ya kuwa mbunge. Sasa Marehemu alikosa kikao kile cha kuapishwa, kakosa cha january, mwezi wa nne, mwezi wa sita (cha bajeti) na mwezi wa kumi. Bunge na Tume ya Uchaguzi vilikaa kimya.
Je, Pamoja na kutokuapishwa, Hata kama alikuwa kaapishwa bado alikuwa na uhalali wa kuitwa mbunge? Naomba wanasheria
mnisaidie
Mkuu kwani Mwigulu Hana famila mpaka Anavizia za wenzake? Hebu nijuze zaidi kamanda
Hakustaafu. Alirudishwa wizarani alikokuwa kabla ya kuja kuanzisha DAWASCO ambayo ilichukua nafasi ya CityWater. Aliondoka kwa aibu kule ambako alikuwa amepelekwa na Lowasa.Alex Kaaya si nasikia amestafu DAWASCO ama nilipotoshwa?
Prof. Pallangyo anaweza kumudu siasa kweli MUHAS imemuelemea, tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000 nasikia wanafunzi wanamlalamikia lakini bado wamo tu. Kujuana na wakubwa wa nchi raha sana, hata ukiboronga wanakupa 😛oa
Natoa pole za dhati jwa familia ya Sumari, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa. Pia kwa wale wote waliouguswa na msiba huun Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi amen._
chadema jimbo lenu hilo'wote walioiba kura zetu hawatanusa 2015 akiwemo jk
"Mmiliki" halisi wa Jimbo hili ni Lowasa akisaidiwa na Mzee Jackson Kaaya. Unaiona shughuli ilivyo pevu. Hapa kumsukuma mlevi hakupo. CHADEMA ilipata kura hizi Igunga baada ya "mmiliki" wa Jimbo lile, RA, kususa.Thanks mkuu: cdm Igunga 0-26,000 kwa Arumeru Mashariki cdm kutoka 19,000-50,000 ni kama kumsukuma mlevi.ccm record yao imekuwa ni ya kura kushuka sababu ya kukoswa mvuto
Comfirmed???
Ni MBUNGE. Ibara ya 68 ya KATIBA ya JMT inasema hivo. Anaishia tu kumchagua Spika. Ili aendelee na kazi zingine za kibunge inabidi aape kwanza. Ibara ya 71(1) inaainisha mambo yatakayomfanya mtu asiendelee kuwa mbunge. La kuapa halimo.Mwanakijiji tujulishe kama unafahamu kuhusu mbunge kutokuapishwa mara baada ya uchaguzi na kutokuhudhuria vikao mfululizo,sheria zinasemaje?