Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Mbunge wa Viti maalumu mh Jacqueline Ngonyani ( CCM) amesema ni wakati muafaka sasa ifungwe Mashine maalumu Bungeni ya kukagua Wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Source: Eatv
Hawa ndio watatuvusha kweli! Badala ya kuibana serikali huko Kuna watoto wanakaa chini hawana madawati.

Gharama za maisha ikiwemo chakula ziko juu kuliko kawaida..


Watu hawana uhakika na maisha yao sababu za gharama za Tiba na dawaa ziko juu kupitiliza hata kwenye hospitali za umma anasimama kujadili govi?

Kuna watu wana Iq ndogo Sana!
Hajui kukata govi kwenye jamii yetu Kuna makabila kwao Ni forbidden, na sio lazima? Anatuonesha kwamba uwepo wa magovi Bungeni maendeleo hayatajuepo?

Ni impact gani negatively nchi hii imepata kutokana na kuwa na magovi mengi!

Japo sisapoti watu kutokutahiriwa lakini hatuwezi kuwalipa watu mabilioni ya fedha kwenda kujadili govi wakati tuna Mambo mengi yanayotukabili Kama taifa
 
HUYU sidhani kama anakunwa vizuri huyu na hizo Ndio dalili zake!!

Wahusika wafanye kazi yao vizuri!
 
Ukiona mtu analalamika ujue kuna mbunge wa mkono wa sweta alimuachia malaria ile kubwa...
na kwa hasira anataka spika avunje haki za wabunge ili kumuumbua huyo mchepuko wake mwenye mkono wa sweta
Sio hata lazimaiwe ile kubwa hata GONO afu jamaa kakataa katu katu kuwa Ni yeye na alikula utelezi dry!
 
Kwenye mabadiliko ya mawaziri, huyu mama anafaa apewe uwaziri wa afya.
 
Jamani ndio akili za wabunge wetu. Duu sijui akapata wazo gani mpaka akaongea hivi ama ni overwhelmed of emotions
Dokta wa kiembesamaki alishasema hana muda kumfokea mtu ila anajua kuandika tu sasa tunasubiri mkeka wa season 5
 
As if tumemaliza matatizo ya nchi.....

Kwanza tufunge mashine za kuhakikisha tunapata nishati ya kutosha..., hayo mengine akashauriane na familia yake wakati hayupo kwenye payroll ya posho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…