warumi


 1. princemikazo

  Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

  Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG) katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds TV,February 21 atakua live kupitia Clouds360 na Powerbreakfast pia, kuanzia mishale ya Saa1asubuhi...
 2. princemikazo

  Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

  Founder na CEO wa E-FM na TV E,Dj Majay aka Majizzo February 20 atakua katika kipindi cha asubuhi kinachoitwa Clouds360 kikiongozwa na Babie Kabae,Sam Sasali pamoja na Hassan Ngoma ndani ya Clouds Tv,,Swali je. .anaenda kuzungumzia nini?kama unajua jibu kaa nalo...
 3. Papaa Mobimba

  Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

  Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo...
Top