Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,452
- 30,730
Mkuu usipende kupotosha umma.
Alie sema hayo ni mbunge tena mwanamke.. na si joseph selasini
Sent using Jamii Forums mobile app
Alie sema hayo ni mbunge tena mwanamke.. na si joseph selasini
Mbunge wa Rombo ambaye ndio kaimu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni amesema bunge la Kenya liliweka kifaa maalumu katika mlango mkuu wa bunge kuwatambua wabunge wanaume ambao hawajatahiriwa.
Mh Selasini amesema Bunge la Kenya lilifanikiwa sana katika zoezi hili la kuwatambua wenye mikono ya sweta na kuwatahiri kwa nguvu, hivyo amemtaka Spika kuiga utaratibu huo.
Ikumbukwe mikono ya sweta huongeza kasi ya maambukizi ya ukimwi.
Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app