• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

sossy b

 1. Papaa Mobimba

  Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

  Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo...
 2. princemikazo

  WANAWAKE HAWANA UJASIRI WA KUTUTONGOZA WANAUME.

  Wakuu Suvai,, Shimboni sheamka,, shimboni shafo,, Aika kwa mlioitikia,, Let us back to the business,,, Kama title inavojieleza apo juu wanawake hawanaga ujasiri wa kuwaelezea hisia zao wanaume,ni wachache sana wenye huo ujasiri, unaeza kuta katika ma manzi 8 ni wawili tu ndo wanaweza, Mwaka...
 3. princemikazo

  Msaada wa maana ya hili neno na matumizi yake

  Wakuu habarini zenu,, Nilikua naomba msaada wa maana ya hili neno "FURTHER"kwa kiswahili na matumizi yake katika Maongezi au sentensi Asanteni
 4. princemikazo

  Mbosso, Whozu na Marioo, hawa chalii watafika mbali sana

  Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva, List angu ilipata majina shazi lakini mojawapo ya majina niliweza kuwapata Wasanii ambao kama ni...
 5. princemikazo

  Ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu uliponikosesha utamu wa "jimama"

  Baada ya kufunga chuo Likizo ya Mwezi wa kumi na bee nikiwa Fas ya Kijenge juu Chugamaican nikaamua kutimba Tripple A FM kucheki izo mbishe na mbanga za field bablae,, Picha linaanza chaliako nimepiga suruali angu flani imeminywa kule danta ime tight kisolo na T-shirt flani oversize tunaitaga...
Top