Mbunge Godwin Kunambi amvaa Halima Mdee bungeni

Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
Na kuonyesha kwamba Ndugai bunge limemshinda, ni issue ya kumuacha Kunambi kumshambulia Halima direct bila kupitia kwa spika. Huyu Ndugai ana tatizo kubwa sana kichwani. Bunge lina ongozwa na mgonjwa.
 
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
Hivi Tanzania imeruhusu ubunge wa kujitegemea (indipendent MP)?
 
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
CHADEMA itisheni mkutano wa baraza kuu mkamilishe mambo na kumwachia shughuli Ndugai.
 
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسلم): ((آيَةُ الْمُنَافِقِ ثلاَثٌ إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ وَإِذَا اؤْتُمِنَ خَانَ)) متفق عليه . وفي رواية: ((وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وَزَعَمَ أَنَّهُ مُسْلِمٌ)) متفق عليه
 
Tafsiri kidogo mkuu
 
Tatizo la bunge letu ni "UKISEMA UKWELI" kosa.

"Halima Mdee & Covid-19 Co LTD" ni wabunge wasio na chama. Bunge la Speaker Ndugai ni dhaifu na la kijinga kukubali kuwa na wabunge wasio na chama.
Naunga Mkono Hoja 100%
Ujanjaujanja Mpaka Lini Sasa 😏😏🙄😑
 
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسلم): ((آيَةُ الْمُنَافِقِ ثلاَثٌ إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ وَإِذَا اؤْتُمِنَ خَانَ)) متفق عليه . وفي رواية: ((وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وَزَعَمَ أَنَّهُ مُسْلِمٌ)) متفق عليه
Amen Man Of God.

Hawa Mungu Anawaona Mchana Kweupe
Tungoje Majibu Ya Hii Aya.
 
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
Mkuu samahani "nje ya mada" hivi Mlimba ni eneo la ubunge wa kurithishana?
 
Tatizo la bunge letu ni "UKISEMA UKWELI" kosa.

"Halima Mdee & Covid-19 Co LTD" ni wabunge wasio na chama. Bunge la Speaker Ndugai ni dhaifu na la kijinga kukubali kuwa na wabunge wasio na chama.
Waliwaalika wenyewe... wakawaapisha wenyewe... sasa wanawapanda vichwani kwa kuwapa majina wanayostahili wenyewe...
 
Na hapa Je?
IMG-20210408-WA0139.jpg
 
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسلم): ((آيَةُ الْمُنَافِقِ ثلاَثٌ إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ وَإِذَا اؤْتُمِنَ خَانَ)) متفق عليه . وفي رواية: ((وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وَزَعَمَ أَنَّهُ مُسْلِمٌ)) متفق عليه
Alama za Wanafiq... ni tatu HAWASEMI ILA UONGO, WAKITOA AHADI HAWATIMIZI... NA WAFANYAPO IBADA LAZIMA WAJITAPE KWAZO...
Yawezekana kabisa unafiki unawaumbua wenye nao ili WAJULIKANE...
 
Back
Top Bottom