ubahili gani wewe? Na kama anamatatizo yk binafs yasiyompasa apite barabara za vumbi ni ubahili.Ubahili na ufinyu wa kufikiri, labda mniambie katokea Dar, lakini kama katoka Dodoma kaja mpaka Morogoro halafu aende Iringa kwa kufata lami tu, na wakati ana gari kwa ajili ya matumizi ya off-road. Ndio ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndio hayo.
Ajali haina kinga, kisa cha kutoka Dodoma ukapita Doma? wakati kuna njia Dodoma - Iringa, shortcut kabisa. Una VX halafu unaona ubahili kulipitisha rough road, faida yake nini kuwa na gari kama hilo?
Distance between Iringa and Dodoma is 177.66 km
Dodoma - Morogoro 224 km - Iringa 242 km Total: 466 k,
Ubahili na ufinyu wa kufikiri, labda mniambie katokea Dar, lakini kama katoka Dodoma kaja mpaka Morogoro halafu aende Iringa kwa kufata lami tu, na wakati ana gari kwa ajili ya matumizi ya off-road. Ndio ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndio hayo.
Kwanini anasafiri usiku? Tuanzie hapo kwanza.
MBUNGE CHIKU ABWAO ANUSURIKA KUFA AJALI YA GARI
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Demokrasia na maendeo (Chadema) Chiku Abwao amenurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T 252 BSX VX ambalo alilokuwa akisafiria kutoka Dodoma kuja Iringa kukwanguliwa na fuso katika eneo la Doma mkoani Morogoro usiku wa leo
Akizungumza na Francis Godwin, leo mbunge huyo alisema kuwa lori hilo aina ya fuso lilimfuata upande wake na kumgonga na kuendelea na safari na kuwa bila umakini wa dereva wake hali ya usalama wake ulikuwa mdogo sana.
Kwani alisema kuwa lori hilo baada ya kukwangua upande wa dereva halikuweza kusimama liliendelea na safari na wao kupelekea taili la moja lilipasuka na kupelekea gari lao kuhama njia.
Hata hivyo alisema katika gari hilo walikuwa yeye na dereva wake na kuwa hakuna aliyejeruhiwa kutokana na kufunga mikanda na kuwa mikanda na mwendo mzuri wa dereva wake ndio umesaidia kupona katika ajali hiyo.
Kwanini anasafiri usiku? Tuanzie hapo kwanza.
Hili swala inabidi tuwaulize wazee wazima CDM...wao ndio wataalamu wa kutoa watu kafara kwa kutumia kigezo cha ajali!We Rejao vipi, kwani nyinyi mnatoana kwa staili gani, Ki Kolimba Kolimba nini? Kumbuka kuna uchaguzi Arumeru Mashariki, nayo hiyo ni kafara nini?
Pole Dada Chiku, Ila hapo kwenye RED napenda kukupa point of education, MUNGU pekee ndio amewaponya na kuwaepusha na mauti na wala sio hiyo mikanda na mwendo mzuri.
Wangapi wanakufa wakiwa wamefunga mikanda na kwenda kwa mwendo mzuri ila Malori yanawaparamia na kuwaponda.
Mshukuru MUNGU wa mbinguni na umpe utukufu wake. Amin!!!
pole mpambanaji. Hakika MUNGU ni mwema
Naanza kupata hofu huenda umafia unarejea Tanzania! Itabidi jumuiya ya kimataifa isaidie maana wakipewa hii kazi TISS ni walewale tu!!
Binti usikurupuke, viongozi wengi sana wanalazimika kusafiri usiku kwasababu ya kazi zao.Kwanini anasafiri usiku? Tuanzie hapo kwanza.
Ajali haina kinga, kisa cha kutoka Dodoma ukapita Doma? wakati kuna njia Dodoma - Iringa, shortcut kabisa. Una VX halafu unaona ubahili kulipitisha rough road, faida yake nini kuwa na gari kama hilo?
Distance between Iringa and Dodoma is 177.66 km
Dodoma - Morogoro 224 km - Iringa 242 km Total: 466 k,
Kwenye ile list ya kurithi nafasi ya viti maalum nani anafuatia? Naona CDM wanamalizana wenyewe kwa wenyewe taratiiibu, mbaya zaidi kwa staili ile ile ya ajali!!