Mbunge Chiku Abwao apata ajili, anusurika kifo

Mbunge Chiku Abwao apata ajili, anusurika kifo

Pole sana mama Abwao. Madereva wengi wa Mafuso ni vichwa moto kama waendesha bodaboda na bajaj!

Kweli kabisa mkuu hao usiku ni hatari kukutana nao.Pole kamanda wetu !
 
Ubahili na ufinyu wa kufikiri, labda mniambie katokea Dar, lakini kama katoka Dodoma kaja mpaka Morogoro halafu aende Iringa kwa kufata lami tu, na wakati ana gari kwa ajili ya matumizi ya off-road. Ndio ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndio hayo.

kwa kauli zako unaonekana upo chini ya miaka 20 au una ugonjwa katika kufikiri..hivi mtu anazuliwa kupita njia anayoitaka tanzania..!! hivi ili kuepuka ajali ni sharti uache njia hii na kupita ile..!!na je angepata ajali hiyo njia uliyomuelekeza si ungesema alikuwa anabania mafuta..? kwamba kuna barabara nzuri kwa nini alipita hiyo mbovu..! jifunze kufikiri au subiri upevuke vya kutosha..cheza na uhai wa mama yako usicheze na uhai wa wakombozi wa taifa hili..
 
Hili swala inabidi tuwaulize wazee wazima CDM...wao ndio wataalamu wa kutoa watu kafara kwa kutumia kigezo cha ajali!

Temea mate chini we kifaduro, hivi umesahau mlivyomfanya Salome Mbatia? Mkaja kwa Dr. Mwakyembe mkashindwa ndiyo mkaamua kutumia sumu kummalizia.
 
Huyu mama anatumia mkorogo nini? Huo weupe wake unanipa wasiwasi

Bora yeye ni mwana mama, lakini kuna Martine Shigela na Nape Nnauye hawa nao wanatumia mkorogo jee tuwaeleweje?Wape salamu za valentine day toka kwa David Camerun.
 
kheee huyu kumbe ni mbunge wa chama changu...mbona simsikiagi bungeni huyu.hebu ngoja nipitia hansad za bunge nione kama huwa anachangiaga ..nisije nikawa nalaumu wazee wa kulala lala wakati na mimi nina mbunge huwa haongeagi bungeni
 
Hili swala inabidi tuwaulize wazee wazima CDM...wao ndio wataalamu wa kutoa watu kafara kwa kutumia kigezo cha ajali!

:yawn: kanywe chai kwanza maana pumba zimezidi
 
Iringa - Dodoma via Migoli - Mtera - Fufu ni 266km sio 177.66

Dah!!hapo Migoli apo kuna samaki watamu sana,niliwah enda kumsalimia jamaa yangu an anaishi apo!ila pana ngoma hakufai!!!
 
Nampa pole mama kwe wangu Chiku! Ila kwa sie tumjuae nje ndani, huyu mama ni waruwaru hajatulia kabisa. Ana katabia kale kachafu! Nimeishinaye Gangilonga wakati huo tunakutana pale VIP. Dah ni aibu kuyaelezea ya huyu mama, hasa nimfikiriapo rafk angu mkubwa ambaye ni kijana ake 'REMMY'!. Najua nn kilichopelekea apitie nje hiyo ya mzunguko.
 
Ajali haina kinga, kisa cha kutoka Dodoma ukapita Doma? wakati kuna njia Dodoma - Iringa, shortcut kabisa. Una VX halafu unaona ubahili kulipitisha rough road, faida yake nini kuwa na gari kama hilo?

Distance between Iringa and Dodoma is 177.66 km

Dodoma - Morogoro 224 km - Iringa 242 km Total: 466 k,
We bwana kweli inaelekea ni mteja wa bajaji.
Kama unamiliki hilo gari spares zake ni wazimu.Pamoja na kuwa ni 4WD kulipitisha rough road hata kwa kilometa 50 tu utatoka na bili kibao ya vitu vilivyoharibika au kuisha muda wake, kuanzia suspensions,air cleaners na hata matumizi ya mafuta.
Ukiona mtu anaburuza gari katika rough road uwe na uhakika kuwa si lake.
 
Kwenye ile list ya kurithi nafasi ya viti maalum nani anafuatia? Naona CDM wanamalizana wenyewe kwa wenyewe taratiiibu, mbaya zaidi kwa staili ile ile ya ajali!!
we kenge acha kutumia masaburi kufikiria
 
mmmmmhhhhh wametumwa nini? Pole Mhe. Chiku, Mungu akulinde
na haohao waliozoea kuwamaliza wanaoona ni tishio kwa chama chao.ndio mbinu waliofunzwa na wafadhili wao.hivi bado hawajashika nchi je wakiongoza serikali.
 
FUSO FUSO FUSO! FUSO MSHINDWE KATIKA JINA LA YESU! FUSO LILIMKOSA ZITO LIKAONDOKA NA...FUSO NA MWAKIEMBE...FUSO NA CHIKU... kesho fuso na nani?
 
ubahili gani wewe? Na kama anamatatizo yk binafs yasiyompasa apite barabara za vumbi ni ubahili.

Akiwa anamatatizo binafsi ambayo hawezi kupita barabara ya vumbi, huyo hafai kuwa mbunge. Atatatembeleaje wananchi walio wengi ambao wako kwenye barabara za vumbi?
 
We bwana kweli inaelekea ni mteja wa bajaji.
Kama unamiliki hilo gari spares zake ni wazimu.Pamoja na kuwa ni 4WD kulipitisha rough road hata kwa kilometa 50 tu utatoka na bili kibao ya vitu vilivyoharibika au kuisha muda wake, kuanzia suspensions,air cleaners na hata matumizi ya mafuta.
Ukiona mtu anaburuza gari katika rough road uwe na uhakika kuwa si lake.

Faida gani kununuwa gari la off-road? showoff?
 
kachinje hata kambuzi mama lasivyo safari nyingine inaweza ikawa kitu ingine
 
Pole sana dada yetu Chiku. Tunamshukuru Mungu hakuna madhara makubwa kwa afya yako na dereva pia.
 
Back
Top Bottom