Mbunge Chiku Abwao apata ajili, anusurika kifo

Mbunge Chiku Abwao apata ajili, anusurika kifo

Ubahili na ufinyu wa kufikiri, labda mniambie katokea Dar, lakini kama katoka Dodoma kaja mpaka Morogoro halafu aende Iringa kwa kufata lami tu, na wakati ana gari kwa ajili ya matumizi ya off-road. Ndio ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndio hayo.

mh mkuu huwezijua moro alienda kwa issue gani
 
Pole Mh. Ambwao.
Pamoja na kuwa ajali haina kinga, na kwa kuwa wewe una GARI KUBWA na zuri kuhimili barabara ya Dom-Ir kupitia Mtera, Je huoni kuwa kuna muhimu wa nyie Wabunge ambapo barabara hii inapita KUIHIMIZA serikali kukamilisha ujenzi huo, kwa manufaa ya Wananchi wasio na magari kama yenu, ujenzi ambao uko kwenye makaratasi kwa muda mrefu?
 
Kamanda Chiku,

pokea pole zangu na upate kurejeshwa haraka katika hali njema kiafya na ki-mapato kama ambavyo ulivyokua hapo kabla ya ajali hiyo mbaya.
 
mi naanza kuwa na wasiwasi kwa nn wabunge wengi wa CDM wanapata ajari?mafia nn?
 
Wanadai hela za kununulia 4by4 Kisingizio barabara mbaya vijijini lakini hawa peleki magari
Kwenye barabara za mashimo.
 
Back
Top Bottom