zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
Ubahili na ufinyu wa kufikiri, labda mniambie katokea Dar, lakini kama katoka Dodoma kaja mpaka Morogoro halafu aende Iringa kwa kufata lami tu, na wakati ana gari kwa ajili ya matumizi ya off-road. Ndio ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndio hayo.