Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Nimetoa Cv yake fupi tu sijaongelea utajiri wake wala kupanga mafaili,sasa hivi ana PhD nimeongelea ailipotokea au kuna ubaya??
Kumuongelea MTU negatively hakumuondolei utashi au thamani yake mbele za watu.........hivi Kwa nini MTU akifanikiwa ndio uibukaga hizi Mambo...... .lakini angekuwa failure walaaaa...........mfano ni makonda ......kama asingekuwa maarufu walaaaa........Ila kisa kujurikana kwake.......tusitafute thympath kwenye vitu vya kawaida ni aibu kwetu..........elimu Kwa inchi yetu ni Bora hata usisome Ila uwe na pesa Tu inatosha
 
Philanthropist sio kigezo cha kupewa PhD hasa zaidi ukiwa wewe ndiye sehemu ya watu wanaosababisha umaskini wa hao watu unaowapa msaada.
Wenzetu watu wenye kufanya matendo kama haya wanawaita Philanthropist. Yaani mtu anayeisadia jamii kwenye mambo muhimu likiwemo hili la misaada kwa wasiojiweza ambalo wewe unalibeza.

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
 
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari (Ph.D) na Chuo Kikuu The American University USA cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.

Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood.

Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata kidogo na amekuwa akijidhihirisha hivyo kupitia kazi zake kama Mbunge na misaada binafsi ambayo amekuwa akiitoa kwa wananchi wake.

Hongera sana Dkt. Abood. Unastahili! View attachment 2497939

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
Mental slavely🤣🤣
 
Kwahiyo niko kwa sebule yangu saa 2 usiku naangalia taarifa ya habari halafu naambiwa na kuona eti Dr. Babu Tale na Dr. Abood leo wamechangia mswada bungeni.... yaani 😂😂😂😂 ... yaani kesho yake itabidi ninunue TV hata ya chogo inch 14 mtumbani maana hilo teke ntakaloruka nalo hiyo screen lazima ichakae...

Ujue Masikini tuko na MAKASIRIKO hata na maisha yetu yenyewe halafu tunaletewa utani wa rejareja 🤣
🤣
 
Hili ni mojawapo. Yapo mengi.

Jamaa anasomesha, anasaidia matibabu, anashiriki kwenye miradi mingi hata kwa kutumia pesa zake mfano ujenzi wa soko kuu la wajasiriamali.

Ni vile sio mtu wa kujionesha sana ndio maana hamuyajui haya.

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app

Kwa hivyo kill anayesomesha apewe PhD?
 
Kwahiyo niko kwa sebule yangu saa 2 usiku naangalia taarifa ya habari halafu naambiwa na kuona eti Dr. Babu Tale na Dr. Abood leo wamechangia mswada bungeni.... yaani 😂😂😂😂 ... yaani kesho yake itabidi ninunue TV hata ya chogo inch 14 mtumbani maana hilo teke ntakaloruka nalo hiyo screen lazima ichakae...

Ujue Masikini tuko na MAKASIRIKO hata na maisha yetu yenyewe halafu tunaletewa utani wa rejareja 🤣
🤣

TCU wamelala sana
 
Tatizo wanaponda waliosoma ila wanatamani udokta. Mfano Msukuma.
 
Kweli alipata zero ila leo ana saidia jamii nje ya hela za mfuko wa jumbo, mfano. ambulance ya kisasa,ukarabati wa ward za hospital mjini Moro,pia kwa wananchi wake amewawekea mabasi ya kuzikia yasio na gharama yeyote zaidi ya kutoa taharifa.hii nizaidi ya ubinadam mbunge ana fanya .wamwongezee PhD ingine tena

Kilaza anayefanya hivyo apewe PhD?. PhD imeshuka thamani Sana. Huko mbele it's kuwa Bora uwe na Masters kuliko PhD.
 
Back
Top Bottom