Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Kazi ninayo ndio inayonipa uhuru wa kuwachana machawa Kama nyie.

Nyie endeeleni kulamba matako ya majuha maisha yasogee
Hapa upo kujifariji, lugha yako tu inaonesha huna kipato cha kueleweka ndio maana unaumia na kukasirikia watu usiowajua. Mungu akufanyie wepesi kwenye kila jambo lako mkuu.

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
 
Wanasiasa waharibifu sana, naona bunge lote soon litakua na hizi Dr za kutunukiwa mda SI mrefu
 
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari (Ph.D) na Chuo Kikuu The American University USA cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.

Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood.

Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata kidogo na amekuwa akijidhihirisha hivyo kupitia kazi zake kama Mbunge na misaada binafsi ambayo amekuwa akiitoa kwa wananchi wake.

Hongera sana Dkt. Abood. Unastahili! View attachment 2497939

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
Hiyo biashara tu ya vyuo feki kuuza vyeti. Unaweza kukuta hicho chuo wala hakipo mahali isipokua mtandaoni tu.
 
Na wote walioshiriki na kushinda uchaguzi wa 2020 pamoja na wasimamizi wote wapewe PHD maana ushindi ule haukawahi kutokea siku za nyuma na hatutegemei kutokea tena siku za usoni karne hii. Rekodi na viwango vilivyowekwa si kazi rahisi kuvivunja. Kongole kwenu nyote ma dokta watarajiwa kama ombi langu litakubalika.
 
Unachanganya, anaendelea kuitwa Mr Babutale au Mheshimiwa Babu Tale, PhD Honorary causa haikupi hadhi ya kuitwa Dr hapa tuelewane kwanza na ndio target yao kubwa hawa matapeli wa Ccm hadi wanakubali kulipia dollar 5000 wakidhani wananunuwa tittle ya Dr kumbe yule Muhindi ni tapeli kuliko wao.
Mhindi yupi huyo mkuu?
 
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari (Ph.D) na Chuo Kikuu The American University USA cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.

Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood.

Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata kidogo na amekuwa akijidhihirisha hivyo kupitia kazi zake kama Mbunge na misaada binafsi ambayo amekuwa akiitoa kwa wananchi wake.

Hongera sana Dkt. Abood. Unastahili! View attachment 2497939

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
Kheeeee 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna haja ya Wizara ya Elimu kuingilia kati hili swala ...ikiwezekana wakawekwe mbele ya Panel ya Maproffesor kutoka Mzumbe na mlimani hawa watu waitetee PHD zao kabla ya kukubaliwa hapa nchini.
 
Zinatoka mara moja tu kwa mwaka baada ya tathmini kufanyika. Na ukifuatilia, wote wanaopewa wanastahili.

Mfano siku moja akipewa msanii Diamond Platnumz utaona hastahili?

Binafsi naona ni jambo jema kuwatambua watu wanaofanya mambo makubwa kwenye jamii na kuwapa heshima.
Jambo gani Hawa washirika wamefanya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Zinatoka mara moja tu kwa mwaka baada ya tathmini kufanyika. Na ukifuatilia, wote wanaopewa wanastahili.

Mfano siku moja akipewa msanii Diamond Platnumz utaona hastahili?

Binafsi naona ni jambo jema kuwatambua watu wanaofanya mambo makubwa kwenye jamii na kuwapa heshima.
Bosi wako Mwigulu tumpe Uprofesa kabisa
 
Kumbe wamarekani wapumbafu HV Mbna Wai hawawapi kina Trump na Obama hzo doctorate phd

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Trump ni ivy league alumna , obama nae ni ivy league alumna.

Degree zao wote wamezipata katika vyuo vikuu vya vipanga.

Obama havard shool of Law , Trump UPenn's Wharton business school
 
Honorable Dr Babu Tale(MP)
Screenshot_20230128-103937.jpg
 
Lakini haija mzuia kupata utajili..... Wewe na one yako unapanga faili kwenye ofisi ya mwanae

Lakini haija mzuia kupata utajili..... Wewe na one yako unapanga faili kwenye ofisi ya mwanae masijala
Nimetoa Cv yake fupi tu sijaongelea utajiri wake wala kupanga mafaili,sasa hivi ana PhD nimeongelea ailipotokea au kuna ubaya??
 
Back
Top Bottom