Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Kumuongelea MTU negatively hakumuondolei utashi au thamani yake mbele za watu.........hivi Kwa nini MTU akifanikiwa ndio uibukaga hizi Mambo...... .lakini angekuwa failure walaaaa...........mfano ni makonda ......kama asingekuwa maarufu walaaaa........Ila kisa kujurikana kwake.......tusitafute thympath kwenye vitu vya kawaida ni aibu kwetu..........elimu Kwa inchi yetu ni Bora hata usisome Ila uwe na pesa Tu inatosha
Abood kazaliwa tajiri,hata ulichoandika sijaelewa...Kwahiyo kama mtu akifanikiwa elimu yake isitajwe???wapi nimemuongelea vibaya??now ana PhD ya heshima, shule ya msingi Alisoma nguzo, sekondary alisoma Forest Hill akapiga one ya hatari,A+ Kila somo, hakuendelea na masomo kusimamia biashara za familia, hapo vipi umefurahi??
 
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari (Ph.D) na Chuo Kikuu The American University USA cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.

Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood.

Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata kidogo na amekuwa akijidhihirisha hivyo kupitia kazi zake kama Mbunge na misaada binafsi ambayo amekuwa akiitoa kwa wananchi wake.

Hongera sana Dkt. Abood. Unastahili! View attachment 2497939

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • A6A94E99-44BB-49DA-B6DD-990DDDA0CBA6.jpeg
    A6A94E99-44BB-49DA-B6DD-990DDDA0CBA6.jpeg
    77.1 KB · Views: 15
Inabidi taasisi ya elimu ya juu ipige marufuku matumizi ya title ya Dr kwa wasio na PhD. Tunadhalilisha elimu! Kama wanakaa kimya kwa kumuogopa mama kwavile nae anaitwa Dr kwa shahada za heshima ni kujenga taifa la kinafiki.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mh alipata Zero form 4 Forest Hill secondary school morogoro..hongera yake
Sasa mtu akipata zero ndo asiishi mkuu? The fact kwamba alipata zero na anawaongoza wana Moro mpaka milele, hiyo inaonesha jamaa ni akili kubwa.

Nashauri apewe Phd ya pili ya heshima
 
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari (Ph.D) na Chuo Kikuu The American University USA cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.

Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood.

Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata kidogo na amekuwa akijidhihirisha hivyo kupitia kazi zake kama Mbunge na misaada binafsi ambayo amekuwa akiitoa kwa wananchi wake.

Hongera sana Dkt. Abood. Unastahili! View attachment 2497939

Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
Wiki hii tumepata madokta wawili chap...Dokta Tale na Dokta Abood
 
Huyo kwa nini asisaidie watu tu akiwa kama raia wa kawaida kwa nini lazima awe mbunge na tena anaupata kwa hila na ina maana kuna anachopata kwenye huo ubunge kiasi kwamba asingekuwa mbunge asingafanya hayo, hivyo huyo ni mnafiki tu hana lolote.
 
Hali ya jimbo ilivyo,anajua kutoa misaada kwa vikundi mbali mbali,ila maendeleo halisi ya miundombinu yupo nyuma.
Maji%20kitungwa_133701_WhatsApp.jpg
 
Abood kazaliwa tajiri,hata ulichoandika sijaelewa...Kwahiyo kama mtu akifanikiwa elimu yake isitajwe???wapi nimemuongelea vibaya??now ana PhD ya heshima, shule ya msingi Alisoma nguzo, sekondary alisoma Forest Hill akapiga one ya hatari,A+ Kila somo, hakuendelea na masomo kusimamia biashara za familia, hapo vipi umefurahi??
Tatizo blaza Una makasiriko Sana......nisamehe mdogo ako😂😂😂
 
Back
Top Bottom