John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
Kweli alipata zero ila leo ana saidia jamii nje ya hela za mfuko wa jumbo, mfano. ambulance ya kisasa,ukarabati wa ward za hospital mjini Moro,pia kwa wananchi wake amewawekea mabasi ya kuzikia yasio na gharama yeyote zaidi ya kutoa taharifa.hii nizaidi ya ubinadam mbunge ana fanya .wamwongezee PhD ingine tenaMh alipata Zero form 4 Forest Hill secondary school morogoro..hongera yake