Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

Huwezi kuitwa Dr kwa PhD honorary causa.

Utaendelea kuitwa Mr Fulani tu ndio tittle yako.
Hapana mkuu.

Wenye PhD za darasani ndiyo wanatakiwa waanze na title Dr.

Lkn hawa wenye za heshima wanaanza na majina yao kama ulivyosema halafu mwisho wa jina kunakuwa na maneno 'PhD Hon Causa', kwa mfano JAKAYA MRISHO KIKWETE (PHD HON CAUSA).
 
Mh alipata Zero form 4 Forest Hill secondary school morogoro..hongera yake
Alipata Zero ila yule ni Super Genius kwenye Biashara ya Usafirishaji. Kwa mtazamo wangu alistahili apewe phD ya Biashara zamani kwani ni moja ya muekezaji mkubwa na aliyefanikiwa katika biashara ya Usafirishaji TANZANIA
Tatizo letu mtu kuonekana ana akili ni hadi aweze kurem theory za wazungu ambazo lengo lake lilikuwa ni kuandaa waajiriwa/wafanyakazi kitu ambacho kinaenda kupitwa na wakati...
Kimsingi wapo magenius wa kutisha wa fani zingine wapo mtaani ila hawatambuliki
Mfano; Wafanyabiashara wazuri sana na wabunifu, wachongaji vitu mbalimbali vikiwemo vinyago/Spare), Wasanii wa nyanja tofauti tofauti, Kuna watu wanajua utabiri wa Mvua za msimu usio kuwa wakawaida nk
 
Kupata zero siyo kufeli maisha au kutokuwa na akili
Mwanzilishi wa NALA naye alifeli bongo ila leo yuko juu
Ehe hawa bongo wanaopata one sjui tanzania one wanafanya nini

Ova
Mnapenda sana kumsifa huyo Dogo wa NALA utafikiri kapambana kinoma.

Wakati Jamaa aatumia pesa za baba yake anazokamua waumini wake.
 
Alipata Zero ila yule ni Super Genius kwenye Biashara ya Usafirishaji. Kwa mtazamo wangu alistahili apewe phD ya Biashara zamani kwani ni moja ya muekezaji mkubwa na aliyefanikiwa katika biashara ya Usafirishaji TANZANIA
Tatizo letu mtu kuonekana ana akili ni hadi aweze kurem theory za wazungu ambazo lengo lake lilikuwa ni kuandaa waajiriwa/wafanyakazi kitu ambacho kinaenda kupitwa na wakati...
Kimsingi wapo magenius wa kutisha wa fani zingine wapo mtaani ila hawatambuliki
Mfano; Wafanyabiashara wazuri sana na wabunifu, wachongaji vitu mbalimbali vikiwemo vinyago/Spare), Wasanii wa nyanja tofauti tofauti, Kuna watu wanajua utabiri wa Mvua za msimu usio kuwa wakawaida nk
Hiyo ndio maana ya genius, mtu mwenye kipawa kisicho kawaida katika kutumia ubongo wake,Iwe katika kucheza draft, ku solve math,hata kusakata kabumbu
 
Jamani hawezi kujiita "Dkt Abood" maana hana digrii hiyo. Anaruhusiwa kujiita "Abood, Dkt. h.c." ambayo ni halali.
Ona: With regard to the use of this honorific, the policies of institutions of higher education generally ask that recipients "refrain from adopting the misleading title"[4] and that a recipient of an honorary doctorate should restrict the use of the title "Dr" before their name to any engagement with the institution of higher education in question and not within the broader community.

The recipient of an honorary degree may add the degree title postnominally, but it should always be made clear that the degree is honorary by adding "honorary" or "honoris causa" or "h.c." in parentheses after the degree title. In some countries, a person who holds an honorary doctorate may use the title "Doctor" prenominally, abbreviated "Dr.h.c."

Huu ndio utaratibu wa kimataifa,
 
Huo ni utaratibu wa kimataifa sawa nasi pia tuna utaratibu wetu.

-Dr Babu Tale
-Dr Abood
-Dr Musukuma
-Dr Hangaya(SSH)
-Dr Jakaya

Hiyo unata hautaki lakini ndivyo ilivyo Kibongobongo.
 
Kwa hiyo Dkt ya ubongo ijulikane haina thamani, sivyo?? Maana yeyeote anaruhusiwa kujipamba anavyotaka (pamoja na hao maaskofu, manabii, mitume na kadhalika...)
 
Huu ni udhaufu wa TCU kudhibiti elimu. Kila mtu ana tafuta kchichoro kutunukiwa Phd
 
Hivi hizi degree za heshima ni PhD? Kuna kitu tunachanganya. Honorary degree sio PhD wandugu..
 
Huwezi kuitwa Dr kwa PhD honorary causa.

Utaendelea kuitwa Mr Fulani tu ndio tittle yako.

Machawa wao na wasiojua watawaita Dokta.

Na hiyo inatosha kwa hawa waheshimiwa wetu.
 
Mh alipata Zero form 4 Forest Hill secondary school morogoro..hongera yake
Kufeli shule haviusihani na udakitari wa heshima.
Na wala udaktari wa heshima hapewi mtu kwa kuwa ni msomi sana hapana ni kwa sababu ya mchango wake kwa jamii.
 
Back
Top Bottom