macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,413
- 61,083
Nimeandika coment, ndiyo nikaona ulichoandika. Kwa kifupi na mimi nimependekeza hivyo hivyo.Kwanini wasifanye mpango wakawatunuku wabunge wote tu kwa ujumla, kwa kutambua mchango wao mkubwa katika kutuletea maendeleo? Ili pia badala tu ya kuitwa waheshimiwa, kila Mbunge sasa awe anaitwa "Mheshimiwa Dokta..."
Au nakosea ndugu zangu?