Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Hivi ni akili daraja gani hujadili watu katika style hii? Mnanyoosha vidole tu wengine humu mlipata division mduara kidato cha nne, halafu mnachonga.

Uthinifanye nikascan mavyeti yangu na kuyaposti hapa! Shule zote nilizosoma 4 na zero unaziacha ukivuka geti tu!
 
Its not enough to posit such bold and profound descriptions about Mr. Mbowe's professional life without rigorous argumentation and evidence to support one's claim(s). Any half-assed retard can claim any half-assed lies (or "truths" if you may) about any friggin individual - something that many of you have demonstrated to be particularly adept at!

Bottom line: you first need to argue your case convincingly and provide solid proof in support of any assertions you may have about Mr. Mbowe before selling it to the public.
 
DR WHO, I mean GT,
Sishangai kwamba unaendelea kumbeza Freeman. Tangu nikujue kwenye hii forum umekuwa na maswali yanayoashiria kutokuwa na imani kwako na CHADEMA na viongozi wake. Suala la uhusiano wao na British Conservative Party, na sasa unaibua tena suala la kuibiwa kwa Range Rover. Kama hiyo gari ni ya wizi na unazo data wape Interpol, watashughulikia. Yeye bado anasoma sasa unauliza kwa nini anapata shida kumsomesha Mnyika. Kama unao uwezo basi mpatie kijana huyo scholarship .... aah! lakini kwingineko nimeshaona mtu anamwuliza Mnyika kwa nini hajiendelezi kielimu..jamani kama mnao uwezo wa kumsaidia kijana huyo basi utoeni.
 
Think Big niko nawe wacha tuone majibu ya hawa jamaa .Unajua nadhani GT unapaswa sasa kupumzika kidogo .Umechoka umejawa na nongwa na umbeya .Unazusha na unageuza sasa hii serious forum kuwa kijiwe .You must avoided .

WHAT20Horns-1.jpg
 
DR WHO, I mean GT,
Sishangai kwamba unaendelea kumbeza Freeman. Tangu nikujue kwenye hii forum umekuwa na maswali yanayoashiria kutokuwa na imani kwako na CHADEMA na viongozi wake. Suala la uhusiano wao na British Conservative Party, na sasa unaibua tena suala la kuibiwa kwa Range Rover. Kama hiyo gari ni ya wizi na unazo data wape Interpol, watashughulikia. Yeye bado anasoma sasa unauliza kwa nini anapata shida kumsomesha Mnyika. Kama unao uwezo basi mpatie kijana huyo scholarship .... aah! lakini kwingineko nimeshaona mtu anamwuliza Mnyika kwa nini hajiendelezi kielimu..jamani kama mnao uwezo wa kumsaidia kijana huyo basi utoeni.

Kuhusu JJ MNYIKA kusomeshwa je? au ndio mpaka aoe kwenye THE HOUSE OF MBOWE ndio watafikiri kumpeleka University of East Anglia akasomee development studies aliyoahidiwa?

Lets face it FREEMAN na JK hawana tofauti hata kigodo.,,cha ajbu nikimshambulia JK mnashangilia Freeman akiguswa mnakuwa emotive vipi nyie? I thought wana JF sisi ni ma INDEPENDENTS?
 
Its not enough to posit such bold and profound descriptions about Mr. Mbowe's professional life without rigorous argumentation and evidence to support one's claim(s). Any half-assed retard can claim any half-assed lies (or "truths" if you may) about any friggin individual - something that many of you have demonstrated to be particularly adept at!

Bottom line: you first need to argue your case convincingly and provide solid proof in support of any assertions you may have about Mr. Mbowe's before selling it to the public.

The sort of reply i expected...i will come to you in abit...
 
DR WHO, I mean GT,
Sishangai kwamba unaendelea kumbeza Freeman. Tangu nikujue kwenye hii forum umekuwa na maswali yanayoashiria kutokuwa na imani kwako na CHADEMA na viongozi wake. Suala la uhusiano wao na British Conservative Party, na sasa unaibua tena suala la kuibiwa kwa Range Rover. Kama hiyo gari ni ya wizi na unazo data wape Interpol, watashughulikia. Yeye bado anasoma sasa unauliza kwa nini anapata shida kumsomesha Mnyika. Kama unao uwezo basi mpatie kijana huyo scholarship .... aah! lakini kwingineko nimeshaona mtu anamwuliza Mnyika kwa nini hajiendelezi kielimu..jamani kama mnao uwezo wa kumsaidia kijana huyo basi utoeni.

Kwa taarifa tu ni kwamba Mnyika anarudi shuleni muda wowote kuanzia sasa .Mnyika kuwa hivi alivyo ni plans zake za namna anavyo taka kufanya mambo yake kama GT alivyo hapo UK anajificha na kuibua uzushi akiishiwa la kusema .Nadhani si vyema kuleta ubishi na watu wakaacha kujadili issues .GT you sound like another shy .
 
Dah!
I am so happy JJ anarudi shule je itakuwa September?

atakuwa Univeristy gani?

Haya ndio mambo tunayotaka, siyo kuwatumikia watu weee...na kosa kelele zetu naona wangeendelea kuuuchuna as if jamaa hahitaji shule

safi sana JJ
 
Ni mahakama ipi hiyo aliyoburuzwa? Na huo mkopo alichukua kwa ajili ya biashara gani? Naomba unifahamishe, labda mi si Mtanzania wa Tanzania!!!
Kazi kwelikweli, taratibu kaka, huwezi ukaunda timu leo alafu ukataka hapohapo ucheze daraja la kwanza!
 
GT, heshima kwako mkuu. Nimeiona hiyo email inayomwelezea Mbowe (uliyoi-quote) but i am at a loss kwa sababu si wewe wala email hiyo iliyofafanua jinsi ambavyo huyu bwana mkubwa alivyofeli hivyo vyote. Ombi kwako mkuu, kama una data zaidi kuonyesha jinsi alivyofeli, masomo na business (nimeacha siasa makusudi) mwaga kwani vitaninufaisha sana. Inavyoonekana kuna watu wana-argue kwamba biashara zake zaenda vema na karibu atarejea masomoni baada ya kusimamisha masomo kwa muda. Do you have antagonising facts? Tafadhali zilete utunufaishe na sie wengine ambao tumekuwa 'tukiwasikiliza' tu
 
Hahahaha

Hii ya Mbowe nilipenda zaidi

watu tunaweza kureverse kwa kuanzia kuleee kwenye issue ya WAPUKI, mpaka kwenye tuhuma za kuuziwa magari ya wizi na akina Saleh Ziebi ( Range Rover Vogue new model) ili hali akijua kuwa ni la wizi huku London then atuambie kama kweli alideclare kiasi gani CHADEMA walipewa na Conservative (UK), kisha atuambie kwa nini anaona tabu kumsomesha JJ MNYIKA halafu tusisahau ule mkopo wa NSSF

this should be an interesting one...

GT
Tuambie kwanza ule wizi wako wa credit card kabla hatujahamia kwa Mbowe. Tunataka kukuona wewe ni white and pure more than white.
 
GT, heshima kwako mkuu. Nimeiona hiyo email inayomwelezea Mbowe (uliyoi-quote) but i am at a loss kwa sababu si wewe wala email hiyo iliyofafanua jinsi ambavyo huyu bwana mkubwa alivyofeli hivyo vyote. Ombi kwako mkuu, kama una data zaidi kuonyesha jinsi alivyofeli, masomo na business (nimeacha siasa makusudi) mwaga kwani vitaninufaisha sana. Inavyoonekana kuna watu wana-argue kwamba biashara zake zaenda vema na karibu atarejea masomoni baada ya kusimamisha masomo kwa muda. Do you have antagonising facts? Tafadhali zilete utunufaishe na sie wengine ambao tumekuwa 'tukiwasikiliza' tu

FACTS ZA KUFAIL HANA, UMBEA TU
 
Namwamini GT, naamini hawezi kufanya umbea katika suala nyeti kama hili

mmoja mmoja basi naona wote mnaniparamia utafikir ugomvi! mbona huwa hamsemi kitu nikimbebea bango JK na swahiba wake MEMBE? [/
sayaaf.jpg
 
Twende taratibu tu mzee. I am not politician walasipo interested kwenya polisitics. Naamini ulioona ile email, ina majina mengi na mojawapo ni la Mbowe. I think you have something beyond ya yaliyomo kwenye ile email na ndio maana nipo interested kwa sababu haikutoa ufafanuzi. I am not here to defend Mbowe, I want the facts ili nimuelewe vema. As a matter of fact I am ver wary of policians
 
mmoja mmoja basi naona wote mnaniparamia utafikir ugomvi! mbona huwa hamsemi kitu nikimbebea bango JK na swahiba wake MEMBE? [/
sayaaf.jpg

Kwa Membe uliomba msamaha kwa uongo wako .Unakumbuka Lunyungu alivyo kuwa anakutaka uleye ushahidi ukaja na uongo ukaomba msaha ? Majuzi ukeye habari tena za uongo hujagusa huko na leo umeanza .Unaiba credit card hapo London waelewe wanao kujua sasa .
 
tatizo la wanaCCM, wanafikiri kila mtanzania ni mwanasiasa! na ikitokea akakosoa serikali au chama (CCM), basi kwao ni mpinzani!! sijui lini mtaelimika!
 
Lately nimkuwa na wasiwasi labda GT amelog in mahali halaf akasahau kolog out sasa kuna mtu( watu) wanatumia acc yake. Au hawa ndugu zetu ambao hua wananunua shahada za kupigia kura wameshanunua account yake. Nadhani bado mnakumbuka kile kituko chake cha Mzee wa vijisenti kunywa sumu. Kazi tunayo mwaka huu
 
GT
Tuambie kwanza ule wizi wako wa credit card kabla hatujahamia kwa Mbowe. Tunataka kukuona wewe ni white and pure more than white.

mmmmmmmmmmmmh kumbe nae ni wale wale tu!! kaaaaaazi kweli.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom