Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
NB: Huu ujumbe nimeupokea kutoka kwenye email yangu muda si mrefu. Sio mimi niliouandika! Waraka huu umetumwa na Wana Mabadiliko Chadema

CCM wanasafisha Chama chao na sisi tusafishe chetu, tusibweteke na umaarufu binafsi wa baadhi ya viongozi wetu.

Hatua ya kwanza ni kumbadilisha Mwenyekiti Freeman Mbowe. Historia, rekodi na uchafu wa Mbowe huko nyuma utatupa wakati mgumu siku za usoni kwasababu atakuwa easy target wa mafisadi.

Kwanini nasema hivyo?

1. Mbowe ni mla rushwana anashirikiana na wana-CCM kwa ajili ya maslahi yake. Mfano: Mgombea wetu wa Ubunge kule Singida Mjini alitoa malalamiko kwamba Mbowe hakumsimamisha na kumtambulisha kwenye mkutano wa kampeni Singida Mjini kama inavyotegemewa. Ukweli ni kwamba aliomba hongo kwa Mohammed Dewji, Mgombea wa CCM, na kupewa shilingi milioni 6 ili asifanye hivyo. Kwa wanaobisha wakatazame kanda ya video ya mkutano wetu pale Singida waone kama mgombea wetu alitambulishwa. La sivyo, Mbowe atoe maelezo kwenye Kamati Kuu.

2. Mbowe ana madeni mengi na hadi sasa anayo "arrest warrant" ya Mahakama Kuu kwa kushindwa kuwalipa wadeni wake na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu . Oda ya kukamatwa kwa Mbowe imetolewa tarehe 5 Desemba 2006 na Jaji Manento, kwa hukumu iliyosomwa na Jaji Rwakibarila tarehe 27 Oktoba 2006. Arrest Warrant ameandikiwa OCD wa Central na imesainiwa na Bwana Lyimo, Msajili wa Mahakama . Hizi rekodi zote zipo Mahakama Kuu. Bahati yetu tuna Serikali ya hovyo ndio maana Mwenyekiti hajakamatwa mpaka leo kwasababu CCM wanaogopa wakimkamata itaonekana ni siasa lakini siku yoyote Mwenyekiti atakamatwa kwa uchafu wa biashara zake binafsi. Salama yetu ni kuachana naye ili tusije umbuka siku za usoni.

3. Mbowe anahusishwa na biashara za hovyo. Kwenye uchaguzi wa 2005 watu wa CCM waliweza kutumaliza kwa hoja kwamba tutakuwaje na Rais mwenye kilabu cha pombe na muziki ambacho ni makao makuu ya machangudoa na wauza unga. Mwenyekiti aamue kikutumikia Chama au kufanya biashara ya Billcanaz.

4. Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati . Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano.Nitatoa mifano kadhaa:
  • amevunja ndoa ya Mbunge Grace Kiwelu ambaye alikuwa ameolewa na mtoto wa Mzee Ndesamburo anayeitwa Sindato. Mwenyekiti alikuwa na ujasiri wa kulala na Grace kwenye ziara za Kichama wakati Mzee Ndesamburo anaona kwa macho yake . Mzee Ndesa alilileta hili suala Kichama, rekodi zipo hadi leo, lakini Mbowe akawa anaendelea. Kesi ilifika mahakamani na talaka kutolewa.
  • Mwenyekiti alitia aibu katika ziara tuliyofanya Newala. Grace Kiwelu na Chiku Abwao walipigana usiku saa 7 kwenye nyumba tuliyofikia kwasababu kila mmoja alitaka kulala na Mbowe. Ugomvi ulikuwa mkubwa baadaye Chiku Abwao akafanikiwa kulala na Mbowe. Msafara ulipofika Nachingwea, Grace akawahi kuingia chumbani kwa Mbowe mapema, kwahiyo Chiku akafukuzwa. Ilikuwa ni fedheha kubwa kwa walioshuhudia. Kwa kifupi, kama tunataka kujenga Chama makini, huyu hatufai kama Mwenyekiti. Tunao viongozi wengi ambao hawana historia ya uchafu wa biashara na uchafu binafsi.
  • Mwenyekiti alipigana na kiongozi mwenzake wa Chama Kawe kwenye sherehe ya kikundi cha sanaa cha Chama kinachoitwa Malongo Sanaa Group kwasababu Mwenyekiti alimtaka msichana mmoja kwenye kikundi anayeitwa Subira Waziri (au Koku) ambaye ni bibi wa kiongozi huyo. Ugomvi huo ulikuwa mkubwa na Mwenyekiti alichaniwa shati, lakini alimpiga na kumuumiza kiongozi mwenzake. Kesho yake Mwenyekiti akaenda kwa Mzee Makani kuomba radhi na kutoa 300,000 kwa kiongozi mwenzake asiseme na kuchukua hatua.
  • Mwenyekiti pia amevunja ndoa ya Mwanamrisho Abama wa Zanzibar ambaye bado anaendelea naye mpaka leo. Pia ameingilia ndoa ya Sophia Khatau wa Lindi ambaye mume wake anafanya kazi TTCL. Pia alivuruga ndoa ya Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Hai anaitwa Helga.
  • Kuna mengine mengi ambayo hayapaswi kusemwa hadharani lakini wao CCM wanayo, rekodi zipo hata za ubakaji miaka ya 1980 na 1990 uliokuwa unafanywa na Mbowe na rafiki yake Dudley Mawala enzi hizo na wanangoja wakati muafaka tu. Ni lazima sisi wenyewe tuchukue hatua kuwapreempt sasa.
Kwahiyo wanachama wenzetu, baadhi yetu sisi wa matawi ya Mikoa ya Ruvuma, Dar, Kigoma, Manyara, Shinyanga na Arusha tumeamua tuangalie mwelekeo wa mbele zaidi wa Chama chetu. Mnyika na Kabwe wanafanya kazi nzuri sana za kurecruit vijana wenzao wasomi kwenye Chama chetu. Wameanzisha mtandao wa vijana ambao una matumaini ya kutuvunia wanachama na viongozi wasomi makini kwa siku za usoni. Tusiache mtu mmoja atuvurugie hii future nzuri ya Chama chetu iliyo mbele yetu.

Wakati ni huu. Tunaweza kabisa kuwatoa mafisadi madarakani kama tutakuwa makini. MPAKA KIELEWEKE!

NIMESOMA ARGUMENTS NYINGI SANA HAPA JF, ZIKIJARIBU KULICHUKILIA HILI JAMBO BILA UZITO. UKISHAKUA PUBLIC FIGURE AU RAISI MTARAJIWA,BASI KUNA MAADILI YA UONGOZI AMBAYO NI LAZIMU TUKUBALIANE NAYO. KILA UTACHOFANYA SIO PRIVATE TENA! LAKINI HAPA JF, WAKO KINA MAMA WATAOMTETEA MWANAO (MBOWE) KUWA SIO MWIZI MPAKA SIKU ANAHUKUMIWA MAHAKAMANI, KWA HAWA KINAMAMA HUYU MWANA BADO NI MTAKATIFU..INASIKITISHA KUTOKUZUNGUMZIA UBAKAJI(KOSA LA JINAI), UMALAYA SI UJANJA TENA NI TABIA MBAYA TUKIZINGATIA MAGONJWA KAMA UKIMWI
 
its really interesting in some way kuona facts kuhusu mbowe zikiwekwa kwenye vibweka !
 
MBOWE mbona unakaa kimya kama MKAPA .....?hizo facts zinataka maelezo kutoka kwako au MA-ADVOCATE wako humu JF!!!!
1.CHIKU ABWAO
2.GRACE KIWELU
3.SUBIRA WAZIRI
4.MWANAMRISHO ABAMA
5.SOPHIA KHATA
6.HELGA
7.SINGIDA SAGA WITH 6MILLS FROM DEWJI
HAYA HAYA HAYA........MAMBO YETU YALE.......!
HILI NAONA MBOWE ANAHITAJI MAWAKILI......NA INABIDI ATUBU....!
 
NIMESOMA ARGUMENTS NYINGI SANA HAPA JF, ZIKIJARIBU KULICHUKILIA HILI JAMBO BILA UZITO. UKISHAKUA PUBLIC FIGURE AU RAISI MTARAJIWA,BASI KUNA MAADILI YA UONGOZI AMBAYO NI LAZIMU TUKUBALIANE NAYO. KILA UTACHOFANYA SIO PRIVATE TENA! LAKINI HAPA JF, WAKO KINA MAMA WATAOMTETEA MWANAO (MBOWE) KUWA SIO MWIZI MPAKA SIKU ANAHUKUMIWA MAHAKAMANI, KWA HAWA KINAMAMA HUYU MWANA BADO NI MTAKATIFU..INASIKITISHA KUTOKUZUNGUMZIA UBAKAJI(KOSA LA JINAI), UMALAYA SI UJANJA TENA NI TABIA MBAYA TUKIZINGATIA MAGONJWA KAMA UKIMWI

Heehe heeee

Mafisadi mmeibuka tena na hili. Si mlilisema wakati ule orodha ya mafisadi ilipotajwa tu. Wakaja Zitto, Mnyika, Kitila wakawajibu yote haya neno kwa neno mkanyamaza. Hebu rudisheni ile thread waliyoyajibu haya. Rudisheni na ile ya kashfa za Kikwete tuzijadili zote jamani. Naona mnairudisha sasa kwa thread ambayo haina majibu ya Zitto, Mnyika nk ili watu wanaosoma sasa wakisoma na hiyo ya NSSF kwa kuwa wanahoji imani ya Mbowe waipoteze imani kabisa. Tumewashtukie mkakati wenu. Lakini naamini viongozi wetu wako kimya hivi sasa, pengine wanajiandaa kutoa kauli ya pamoja. Nasubiri kwa hamu wiki hii. Kwa kadiri niwajuavyo, sidhani kama wataendelea kukaa kimya. Ila haya mliyoyasambaza mtandaoni walishayajibu siku nyingi sana.

Kwanini mnayaleta sasa?

Asha
 
MBOWE mbona unakaa kimya kama MKAPA .....?hizo facts zinataka maelezo kutoka kwako au MA-ADVOCATE wako humu JF!!!!
1.CHIKU ABWAO
2.GRACE KIWELU
3.SUBIRA WAZIRI
4.MWANAMRISHO ABAMA
5.SOPHIA KHATA
6.HELGA
7.SINGIDA SAGA WITH 6MILLS FROM DEWJI
HAYA HAYA HAYA........MAMBO YETU YALE.......!
HILI NAONA MBOWE ANAHITAJI MAWAKILI......NA INABIDI ATUBU....!

Kwa niaba ya Mbowe naomba kujibu hivi: " Hao wote wanaotajwa nawafahamu kama wanachama/viongozi wa Chadema na si vinginevo ........ +blah + blah".

Now back to JF, are you now satisfied? Hivi mtu akikutuhumu kuwa na mahusiano mtu asiye mweza wako unafanyaje? How can you prove your innocence? Kwa mfano leo nikisema Mwkjj ana uhusiano na Mwk (ni mfano tu), then watafanya nini kuthibitisha kuwa sio kweli? Watasema hapana sio kweli kwamba wao ni wa JF tu na si vinginevyo? Tuache blah blah wana JF, kama mtu huna data za uhakika katika jambo kama hili bora unyamaze (WE DARE TO TALK OPENLY but what we talk must make sense).

Hizi ni taarifa ambazo hazijadhibitishwa. Mbowe ni mwanaharakati mpambanaji. Naona hivi karibuni smear campaign dhiki yake zimekuwa kero sasa. Siasa ya Tanzania ni ngumu kwa sababu unafiki na majungu ndo vinatawala badala ya maswala ya msingi, hata kama amefeli masomo yake (yanamhusu yeye na familia yake), bado namfagilia kwa mambo mengi sana aliyoyafanya kwa TAIFA na amefaulu SANA kwenye hiyo sector!! Anapaswa kutiwa nguvu. Asikate tamaa mapambano yanaendelea!!! CHADEMA ni kioo cha opposition parties katika Tanzania. Wajinga watapinga kwa hoja dhaifu ...tunawajua!!
 
Heehe heeee

Mafisadi mmeibuka tena na hili. Si mlilisema wakati ule orodha ya mafisadi ilipotajwa tu. Wakaja Zitto, Mnyika, Kitila wakawajibu yote haya neno kwa neno mkanyamaza. Hebu rudisheni ile thread waliyoyajibu haya. Rudisheni na ile ya kashfa za Kikwete tuzijadili zote jamani. Naona mnairudisha sasa kwa thread ambayo haina majibu ya Zitto, Mnyika nk ili watu wanaosoma sasa wakisoma na hiyo ya NSSF kwa kuwa wanahoji imani ya Mbowe waipoteze imani kabisa. Tumewashtukie mkakati wenu. Lakini naamini viongozi wetu wako kimya hivi sasa, pengine wanajiandaa kutoa kauli ya pamoja. Nasubiri kwa hamu wiki hii. Kwa kadiri niwajuavyo, sidhani kama wataendelea kukaa kimya. Ila haya mliyoyasambaza mtandaoni walishayajibu siku nyingi sana.

Kwanini mnayaleta sasa?

Asha

Fisadi ni wewe, kila usiyekubaliana naye basi ni fisadi..unapoteza maana yake. Mimi siko hapa kutetea maovu ya CCM wala chadema kama ulivyojitokeza wewe kwa mapenzi na ushabiki usio na msingi,blindly kumlinda Mbowe ama chama chako. Niko hapa kama Watanzania wengine, hii thread inaongelea "Mbowe" period
 
Mwafrika Wa Kike

Naomba Ufute Kauli Yako Uliyoitoa Jana Na Nitakusamehe Kutokana Na Kuongea Vitu Usivyokuwa Na Uhakika Navyo , Niko Hapa Nakuandikia Tena Kukuomba Ufute Kauli Ile Au Ubadilishe Hiyo Kauli Kama Huna Udhibitisho Wowote Ule Kwa Sababu Usipofanya Hivyo Naweza Kuchukuwa Uamuzi Mwingine Na Itaweza Kuwa Balaa Mimi Ninaheshimu Misingi Ya Watu Kuongea Na Kutoa Maoni Yao Bila Woga Na Bila Choyo Lakini Sintoheshimu Mtu Anayesema Uwongo Na Kusambaza Habari Chafu Na Uzindiki Dhidi Ya Wengine Kwa Kutumia Mgongo Wa Mwanaharakati Na Mpigania Haki Za Wengine Kama Ulivyofanya Wewe .

Nimekutumia Copy Katika Pm Yako Tafadhali Nakuomba Ubadilishe Kauli Yako Na Ufute Na Uombe Msamaha Kwa Kunidhalilisha Katika Kadamnasi

Kumbuka Mimi Natumia Jina Kamili Unavyosema Vile Unasababisha Hasara Kwangu Na Uaminifu Kwa Watu Ambao Ninafanyanao Kazi Sasa Unapungua Ulivyosema Vile Tu Jana Nilipigiwa Simu Zaidi Ya 240 Watu Wanataka Nidhibitishe Taarifa Hizo Ulizotoa Pale Umenidhalilisha Kwa Kweli

Nakuomba Ufute Kauli Hiyo Narudia Kwa Mara Ya Pili Na Nitaendelea Kukuomba Ufute Kauli Hiyo Au Kama Hutaki Kufuta Tafadhali Dhibitisha Kauli Hiyo Uliyotoa Wewe Ili Ijadiliwe Nami Niseme Ninachojua

Unachojaribu Kufanya Ni Kuchonganisha Watu Humu , Watu Ambao Tumetoka Mbali , Tunashirikiana Kwa Mengi Na Kuaminiana Kwa Asilimia Kubwa Leo Hii Tunageukana Na Kuonana Vibaya

Cmb Kama Ni Wewe Ulimwambia Mwafrika Wa Kike Hivyo Naomba Udhibitishe Pia Mimi Ninahusika Vipi Kabla Sijaenda Sehemu Husika Halafu Watu Wakalazimika Kutoa Id Zao Na Taarifa Zao Zingine Kwa Amri Za Mahakama

Mimi Nimedhalilishwa Na Siwezi Kukubali Udhalilishaji Huu Uendelee Kwa Wengine Lazima Sheria Ichukue Mkondo Wake

Hela Zipo Za Kutafuta Hiyo Sheria , Uwozo Hata Wa Ziada Upo Wa Kutafuta Hiyo Sheria

Nachotaka Ni Kauli Kufutwa Au Kurekebishw A
 
Kidogo nina wasiwasi na huyu aliyeandika hii habari, kama kweli ni mwana chadema au mzusha jungu tu! Kwa sababu vitu vingine alivyoviongelea kama ni vikwazo vya Mbowe kuwa kiongozi anayetufaa havina msingi. Kwa kashfa za uasherati nipo naye sambamba kwa sababu hakuna asiyejua kuwa uasherati hauna maana, hasa katika zama hizi. (za ukweli na ufisadi????) Oh! sorry za ukimwi.
Lakini sikubaliani naye kwamba kuwa na club ni tatizo, si biashara tu! Kwamba ni club ya uzinzi na unga sikubaliani naye kwa sababu sio za kweli na hazina msingi kwa sababu ingekuwa kweli club bilicanas isingekuwapo leo hii ukizingatia kwamba inamilikiwa na mpinzani kisiasa. Huyo Mbowe angekamatwa siku nyingi na hata huko kugombea tu urais asingegombea. Wana CCM wangapi washazushiwa makosa ya uongo (na wana CCM vigogo) wakawekwa ndani ili uchaguzi upite tu? Umemsahau Rage?
Halafu pia suala la madeni si la msingi pia, huwezi kufanya biashara kwa pesa yako tu ukapata faida nzuri! Wanauchumi wanasema anayefanya biashara kwa kukopa anapata faida kubwa kuliko anaefanya biashara kwa pesa zake tu!! (Mambo ya leverage mzee) Ni strategy tu ya biashara.
Ngoja nisiandike sana, ninachotaka kusema ni kwamba kashfa za msingi tuzifanyie kazi, na zingine tuziache kando. After all, haina haja ya kuziandika mahala ambapo hata mafisadi wakuu (CCM) wataziona. Tutatue matatizo yetu kupitia institutions za chama, tukishindwa ndipo tuzianike. Sijasikia ishu ya bilicanas ikijadiliwa kama tatizo chamani (labda nilisinzia kidogo wakati wa kikao kama wabunge wa Sisiemu).

CHADEMA JUUUUUUU!
 
Kwa niaba ya Mbowe naomba kujibu hivi: " Hao wote wanaotajwa nawafahamu kama wanachama/viongozi wa Chadema na si vinginevo ........ +blah + blah".

Now back to JF, are you now satisfied? Hivi mtu akikutuhumu kuwa na mahusiano mtu asiye mweza wako unafanyaje? How can you prove your innocence? Kwa mfano leo nikisema Mwkjj ana uhusiano na Mwk (ni mfano tu), then watafanya nini kuthibitisha kuwa sio kweli? Watasema hapana sio kweli kwamba wao ni wa JF tu na si vinginevyo? Tuache blah blah wana JF, kama mtu huna data za uhakika katika jambo kama hili bora unyamaze (WE DARE TO TALK OPENLY but what we talk must make sense).

Mmmhh mifano mingine bwana inaweza kuwa na ukweli hahahahahahah Mwkjj na Mwk mmmm kazi ipo....
 
Hizi ni taarifa ambazo hazijadhibitishwa. Mbowe ni mwanaharakati mpambanaji. Naona hivi karibuni smear campaign dhiki yake zimekuwa kero sasa. Siasa ya Tanzania ni ngumu kwa sababu unafiki na majungu ndo vinatawala badala ya maswala ya msingi, hata kama amefeli masomo yake (yanamhusu yeye na familia yake), bado namfagilia kwa mambo mengi sana aliyoyafanya kwa TAIFA na amefaulu SANA kwenye hiyo sector!! Anapaswa kutiwa nguvu. Asikate tamaa mapambano yanaendelea!!! CHADEMA ni kioo cha opposition parties katika Tanzania. Wajinga watapinga kwa hoja dhaifu ...tunawajua!!

KUFELI MASOMO KUNATUHUSU WOTE KAMA WATANZANIA.PALE HULL ITAWEKWA RECORD KUWA MGOMBEA URAIS NA MWENYEKITI WA CHADEMA ALIKIMBIA MASOMO SI AIBU KWA FAMILIA KWETU WATANZANIA.

HOJA DHAIFU MNALETA NYINGI AMBAO MNASEMA ANASHUGHULI NYINGI ZA CHAMA WAKATI ANAKWENDA KUSOMA HAKUJUA KAMA CHAMA KIPO? HAJASOMA OPPORTUNITY COST THEORY INASEMAJE? HIKI CHAMA HAKINA HATA MCHUMI? AMUULIZE PROFESSOR LIPUMBA ATAPATA DARASA LA BURE.
 
Kidogo nina wasiwasi na huyu aliyeandika hii habari, kama kweli ni mwana chadema au mzusha jungu tu! Kwa sababu vitu vingine alivyoviongelea kama ni vikwazo vya Mbowe kuwa kiongozi anayetufaa havina msingi. Kwa kashfa za uasherati nipo naye sambamba kwa sababu hakuna asiyejua kuwa uasherati hauna maana, hasa katika zama hizi. (za ukweli na ufisadi????) Oh! sorry za ukimwi.
Lakini sikubaliani naye kwamba kuwa na club ni tatizo, si biashara tu! Kwamba ni club ya uzinzi na unga sikubaliani naye kwa sababu sio za kweli na hazina msingi kwa sababu ingekuwa kweli club bilicanas isingekuwapo leo hii ukizingatia kwamba inamilikiwa na mpinzani kisiasa. Huyo Mbowe angekamatwa siku nyingi na hata huko kugombea tu urais asingegombea. Wana CCM wangapi washazushiwa makosa ya uongo (na wana CCM vigogo) wakawekwa ndani ili uchaguzi upite tu? Umemsahau Rage?
Halafu pia suala la madeni si la msingi pia, huwezi kufanya biashara kwa pesa yako tu ukapata faida nzuri! Wanauchumi wanasema anayefanya biashara kwa kukopa anapata faida kubwa kuliko anaefanya biashara kwa pesa zake tu!! (Mambo ya leverage mzee) Ni strategy tu ya biashara.
Ngoja nisiandike sana, ninachotaka kusema ni kwamba kashfa za msingi tuzifanyie kazi, na zingine tuziache kando. After all, haina haja ya kuziandika mahala ambapo hata mafisadi wakuu (CCM) wataziona. Tutatue matatizo yetu kupitia institutions za chama, tukishindwa ndipo tuzianike. Sijasikia ishu ya bilicanas ikijadiliwa kama tatizo chamani (labda nilisinzia kidogo wakati wa kikao kama wabunge wa Sisiemu).

CHADEMA JUUUUUUU!

hivi wewe na kanzu hii mpya uliyoingia nayo unakijua CHADEMA kuliko mzee NGULULUPI? NIPE WASIFU WA MZEE BROWN NGULULUPI?
NA HAKIKA HUKIJUI CHADEMA UMEKIJULIA JF KAMA MWANAKIJIJI.
NYAMAZA HUNA JIPYA.
 
Kwani Kuna Ubaya Gani Ya Kuwa Na Rais Mwenye Sifa Kama Za Kenedy Wa Marekani, Kwani Rais Akiwa Mpenda Wanawake Sisi Tunapata Hasara Gani? Cha Msingi Ahakikishe Kuwa Thahabu Na Almasi Zetu Haziibiwi Kama Ilivyo Sasa Na Haiingizi Nchi Ktk Mikataba Ya Kutuuwa Na Asiruhusu Watu Wageni Kuhamia Nchini Kiholela Na Kufanya Shughuli Za Kimachinga Kama Ilivyo Sasa Na Cha Zaidi Awe Mzalendo Halisi Na Atakayewapenda Watanzania
 
NA MBONA HIYO CCM KWA SASA HIVI HAKUNA ALIYE MSAFI HATA MMOJA WAMEJAA WATU WENYE TAMAA ZA KUFA NA HATA KAMA KUNA MNUNUZI WA KUINUNUA HIYO TANZANIA MBONA WATAMUUZIA TU NA HILI LINAELEWEKA KWANI MNAKUMBUKA KENYATA ALIMWAMBIA NINI NYERERE "anatawala marehemu" is true.
 
Tofauti na hali ilivyokuwa wakati Bob Makani alipokuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwa miaka mitano kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 alipoamua kustaafu, Mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe ameonyesha jinsi anavyonuka uozo wa Uchagga kwa kukijazia chama hicho Wabunge wa Viti Maalum kutoka Kilimanjaro, mkoa ambako mwenyewe anatoka.

Kati ya Wabunge wote wa Viti Maalum wa Chadema ni mmoja tu asiyetoka Kilimanjaro na huyo ni Mhonga Saidi Luhwanya ambaye hata hivyo, yeye pia anatoka Kigoma ambako aliyekuwa Mkurugenzi wa Taifa wa Uchaguzi, Zitto Kabwe anatoka pia.

Nafahamu kuwa hata jambazi anayeiba na kuua watu kwa mapanga au risasi hawezi kukosa kabisa wendawazimu wa kumtetea uovu wake, hivyo hata uchafu huu wa Mbowe alioifanyia Chadema mwaka 2005 hauwezi kukosa mabingwa wa utetezi wake.

Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema wanaotoka Kilimanjaro ni pamoja na Halima Mdee na Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa huo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo.

Wengine ni aliyekuwa mke wa ndoa wa mtoto wa Ndesamburo, Grace Kiwelu na Anna Komu, mgombea mwenza wa Mbowe katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2005 ambaye ingawaje ni Mzanzibari, lakini ameolewa Moshi na ndiyo maana anatumia jina la Kichagga ambalo ni la mumewe, akabadili dini kutoka Uislamu anakoitwa Maulida na kuwa Mkristu.

Nashawishika kusema kuwa Mbowe aligombea Uenyekiti wa Taifa wa Chadema ili atumie nafasi hiyo kwa faida zake mwenyewe na kupanda Uchagga katika chama hicho hata kama ni kifisadi. Ndiyo maana hata Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho hivi sasa naye ni Mchagga kutoka wilaya ya Moshi Vijijini, Anthony Komu.

Huu ni ushetani wa kisiasa ambao ninashangaa kuona watu wanaojifanya wana macho makali ya kuona maovu yote yaliyomo ndani ya CCM kama akina Chacha Wangwe, Dk. Wilbroad Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika, Msafiri Mtemelwa, Erasto Tumbo, Ali Chitanda na Kafulila hakuna hata mmoja kati yao aliyewahi angalau siku moja tu kuusema hadharani ama kuupinga kwa namna yoyote.

Wanachofanya siku zote ni unafiki wa kuusema chinichini ili Mbowe asisikie, lakini akiwepo mbele yao wote wanaywea.
 
Naona unaendeleza kutuma upupu wako hapo ukumbini. Tangu lini Zito Kabwe, Mnyika na Wangwe wakawa wachaga? 😕

Hebu tuondolee huu upupu!
 
Zephaniaanjela unazidi kuwachefua watu humu ndani!vipi ?Wengine wanachefuka sana humu kuona Mbowe anaguswa
 
Tofauti na hali ilivyokuwa wakati Bob Makani alipokuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwa miaka mitano kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 alipoamua kustaafu, Mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe ameonyesha jinsi anavyonuka uozo wa Uchagga kwa kukijazia chama hicho Wabunge wa Viti Maalum kutoka Kilimanjaro, mkoa ambako mwenyewe anatoka.

Kati ya Wabunge wote wa Viti Maalum wa Chadema ni mmoja tu asiyetoka Kilimanjaro na huyo ni Mhonga Saidi Luhwanya ambaye hata hivyo, yeye pia anatoka Kigoma ambako aliyekuwa Mkurugenzi wa Taifa wa Uchaguzi, Zitto Kabwe anatoka pia.

Nafahamu kuwa hata jambazi anayeiba na kuua watu kwa mapanga au risasi hawezi kukosa kabisa wendawazimu wa kumtetea uovu wake, hivyo hata uchafu huu wa Mbowe alioifanyia Chadema mwaka 2005 hauwezi kukosa mabingwa wa utetezi wake.

Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema wanaotoka Kilimanjaro ni pamoja na Halima Mdee na Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa huo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo.

Wengine ni aliyekuwa mke wa ndoa wa mtoto wa Ndesamburo, Grace Kiwelu na Anna Komu, mgombea mwenza wa Mbowe katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2005 ambaye ingawaje ni Mzanzibari, lakini ameolewa Moshi na ndiyo maana anatumia jina la Kichagga ambalo ni la mumewe, akabadili dini kutoka Uislamu anakoitwa Maulida na kuwa Mkristu.

Nashawishika kusema kuwa Mbowe aligombea Uenyekiti wa Taifa wa Chadema ili atumie nafasi hiyo kwa faida zake mwenyewe na kupanda Uchagga katika chama hicho hata kama ni kifisadi. Ndiyo maana hata Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho hivi sasa naye ni Mchagga kutoka wilaya ya Moshi Vijijini, Anthony Komu.

Huu ni ushetani wa kisiasa ambao ninashangaa kuona watu wanaojifanya wana macho makali ya kuona maovu yote yaliyomo ndani ya CCM kama akina Chacha Wangwe, Dk. Wilbroad Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika, Msafiri Mtemelwa, Erasto Tumbo, Ali Chitanda na Kafulila hakuna hata mmoja kati yao aliyewahi angalau siku moja tu kuusema hadharani ama kuupinga kwa namna yoyote.

Wanachofanya siku zote ni unafiki wa kuusema chinichini ili Mbowe asisikie, lakini akiwepo mbele yao wote wanaywea.

Karibu sana Kuku Mgeni Zephania. Hayo uyasemayo wenzio walishayaleta hapa Zitto na Mnyika wakatoa majibu yote. Hebu moderators mpeni links za thread husika huyu bwana.

Si kweli kwamba mbunge asiye mchagga ni Mhonga pekee; unajua makabila ya Halima Mdee na Mama Komu?

Hebu chambua na CCM maana huko ndio kumejaa wachagga wengi zaidi katika viti maalum.

Mwenzio Mwanri, Makamba na Jidula walizua mambo hayo wakajibiwa hapa: http://www.chadema.net/tamko/2007/mwanri.php

Angalia usije kimbia humu. Nchimbi wako hasafishiki, usituhamishe mjadala rudi kule kwa nchimbi ukaendelee kulialia

Asha
 
Tofauti na hali ilivyokuwa wakati Bob Makani alipokuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwa miaka mitano kuanzia mwaka 1999 hadi 2004 alipoamua kustaafu, Mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe ameonyesha jinsi anavyonuka uozo wa Uchagga kwa kukijazia chama hicho Wabunge wa Viti Maalum kutoka Kilimanjaro, mkoa ambako mwenyewe anatoka.

Kati ya Wabunge wote wa Viti Maalum wa Chadema ni mmoja tu asiyetoka Kilimanjaro na huyo ni Mhonga Saidi Luhwanya ambaye hata hivyo, yeye pia anatoka Kigoma ambako aliyekuwa Mkurugenzi wa Taifa wa Uchaguzi, Zitto Kabwe anatoka pia.

Nafahamu kuwa hata jambazi anayeiba na kuua watu kwa mapanga au risasi hawezi kukosa kabisa wendawazimu wa kumtetea uovu wake, hivyo hata uchafu huu wa Mbowe alioifanyia Chadema mwaka 2005 hauwezi kukosa mabingwa wa utetezi wake.

Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema wanaotoka Kilimanjaro ni pamoja na Halima Mdee na Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa huo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo.

Wengine ni aliyekuwa mke wa ndoa wa mtoto wa Ndesamburo, Grace Kiwelu na Anna Komu, mgombea mwenza wa Mbowe katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2005 ambaye ingawaje ni Mzanzibari, lakini ameolewa Moshi na ndiyo maana anatumia jina la Kichagga ambalo ni la mumewe, akabadili dini kutoka Uislamu anakoitwa Maulida na kuwa Mkristu.

Nashawishika kusema kuwa Mbowe aligombea Uenyekiti wa Taifa wa Chadema ili atumie nafasi hiyo kwa faida zake mwenyewe na kupanda Uchagga katika chama hicho hata kama ni kifisadi. Ndiyo maana hata Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho hivi sasa naye ni Mchagga kutoka wilaya ya Moshi Vijijini, Anthony Komu.

Huu ni ushetani wa kisiasa ambao ninashangaa kuona watu wanaojifanya wana macho makali ya kuona maovu yote yaliyomo ndani ya CCM kama akina Chacha Wangwe, Dk. Wilbroad Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika, Msafiri Mtemelwa, Erasto Tumbo, Ali Chitanda na Kafulila hakuna hata mmoja kati yao aliyewahi angalau siku moja tu kuusema hadharani ama kuupinga kwa namna yoyote.

Wanachofanya siku zote ni unafiki wa kuusema chinichini ili Mbowe asisikie, lakini akiwepo mbele yao wote wanaywea.

Ama kuhusu wakurugenzi na maofisa chama makao makuu ya CHADEMA kwa kweli mi nashangaa kwanini wamejaa wasukuma na watu wa kigoma wengi kupindukia. Wachaga wawili tu, huku wasukuma wakiwa zaidi ya wanne. Ni kwanini? CHADEMA ni chama cha wasukuma? Makao makuu ya CHADEMA misukuma tu ndio imejaa.

Asha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom