Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Aliyeandika anapaswa kumwomba radhi diwani Helga kwani mumewe alifariki mwaka 1999.

Hivyo kusema kuwa alivunjiwa ndoa ni kumfanya kama anapita humu apate kuumia zaidi, ila naambiwa kuwa mtoa majungu huyu alikuwa na nia ya kukisaidia chama chake ili kiweze kuvuka salama kwenye uchaguzi mkuu......
 
Baada ya yeye mwenyewe kukwepa vikwazo kadhaa vya kujibu hoja na mambo mengine anayoulizwa kwa njia ya mtandao au kwa simu za mkono kwa muda mrefu , sasa limekuja swala lingine nalo ni la yeye kufeli masomo yake katika chuo alichokuwa ameenda kujiendeleza .

Kufeli masomo sio kitu kipya hapa duniani au popote pale au kushindwa kitu chochote sio kitu kigeni lakini inategemeana umeshindwa au kuanguka kwa sababu zipi haswa , je kuanguka kwako kutaathiri vipi morani ya wale waliochini yako au unaotarajia kuongoza hapo mbeleni .

Na ndio hapo tunapokuja katika mada yenyewe ya jioni ya leo , habari zinazozidi kusambaa sasa hivi katika vyombo vya habari na duru zingine za habari zinasema kwamba Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani chadema amefeli masomo yake ya chuo .

Kwa kuwa amefeli masomo ya chuo na amekuwa akifeli katika mambo mengine mengi katika uongozi wake ndani ya chadema basi ni vizuri sasa aachie ngazi hata katika chama aachie wale wengine wanaoweza kufanya mambo haya zaidi yake .

Kwa kuanza tu kati kati ya mwaka jana kulitokea vijana machachari katika chadema wakimshutumu mbowe binafsi kwa mambo mbali mbali yaliyochangia katika kukidhoofisha chama yeye kama mwenyekiti hakuwahi kutoa kauli yoyote kuhusu shutuma zile alikaa kimya kama vile hakuna kinachoendelea .

Shutuma zilizotolewa ni pamoja na ukabila ndani ya chama chenyewe pamoja na kuchaguana kwa kujuana bila usawa wowote ule , na sakata hili mpaka leo bado linaivuruga chadema na wanachama wake wengi haswa wale masikini wasiokuwa na uwezo wa kusema .

Katika harakati za uchaguzi wa kiteto napo mwenyekiti huyu ameshindwa kuonyesha cheche zozote badala yake wakashindwa kwa kishindo na baadaye akaja kufeli mitihani yake ya chuo .

Ushauri wangu ni kumuomba ndugu mbowe aachie ngazi katika chadema sasa akafanye mambo mengine naamini katika chadema wako watu wengi wenye uwezo kuliko yeye na waliowazalendo zaidi katika chama na nchi yao ya Tanzania kuliko yeye .
 
Shy,
Naona jitihada zako za kutafuta ulaji...anyway naamini utaupata punde kwani jina la Maro linakulinda naona linafanana fanana kwa mbali au karibu na Net Group na TASAF. Keep it up bro.
 
Ahaha

Hizi Sio Jitihada Za Kutafuta Kula

Ni Jitihada Za Kumkomboa Mtandania Kokote Aliko .

Najua Watanzania Wengi Wamefungiwa Katika Giza La Ufahamu Na Wamekuwa Vipofu Wa Kuona Hata Mabubu Wa Kuongea Tunapopata Nafasi Kama Hizi Tunazitumia Bila Kuficha Majina Yetu .

Ahsante

Jioni Njema

Eti Mwafrika Wa Kike Yuko Wapi Siku Hizi Simwoni
 
Kwani unamwonaga wapi? nina hamu ya kumwona hata mimi iron lady wa JF
 
Kwa hiyo imekuwa confirmed kuwa maefeli? Cut point ya kufail ni ipi? kuwa discontiuned? kuresit?
 
Amefeli disctn au anarudia? lakini kufeli masomo kunauhusiano gani na kufeli kama kiongozi?
Dunia imejaa mifano ya viongozi wengi waliofeli shule lakini wakawa viongozi wazuri
 
Baada ya yeye mwenyewe kukwepa vikwazo kadhaa vya kujibu hoja na mambo mengine anayoulizwa kwa njia ya mtandao au kwa simu za mkono kwa muda mrefu , sasa limekuja swala lingine nalo ni la yeye kufeli masomo yake katika chuo alichokuwa ameenda kujiendeleza .

Kufeli masomo sio kitu kipya hapa duniani au popote pale au kushindwa kitu chochote sio kitu kigeni lakini inategemeana umeshindwa au kuanguka kwa sababu zipi haswa , je kuanguka kwako kutaathiri vipi morani ya wale waliochini yako au unaotarajia kuongoza hapo mbeleni .

Na ndio hapo tunapokuja katika mada yenyewe ya jioni ya leo , habari zinazozidi kusambaa sasa hivi katika vyombo vya habari na duru zingine za habari zinasema kwamba Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani chadema amefeli masomo yake ya chuo .

Kwa kuwa amefeli masomo ya chuo na amekuwa akifeli katika mambo mengine mengi katika uongozi wake ndani ya chadema basi ni vizuri sasa aachie ngazi hata katika chama aachie wale wengine wanaoweza kufanya mambo haya zaidi yake .

Kwa kuanza tu kati kati ya mwaka jana kulitokea vijana machachari katika chadema wakimshutumu mbowe binafsi kwa mambo mbali mbali yaliyochangia katika kukidhoofisha chama yeye kama mwenyekiti hakuwahi kutoa kauli yoyote kuhusu shutuma zile alikaa kimya kama vile hakuna kinachoendelea .

Shutuma zilizotolewa ni pamoja na ukabila ndani ya chama chenyewe pamoja na kuchaguana kwa kujuana bila usawa wowote ule , na sakata hili mpaka leo bado linaivuruga chadema na wanachama wake wengi haswa wale masikini wasiokuwa na uwezo wa kusema .

Katika harakati za uchaguzi wa kiteto napo mwenyekiti huyu ameshindwa kuonyesha cheche zozote badala yake wakashindwa kwa kishindo na baadaye akaja kufeli mitihani yake ya chuo .

Ushauri wangu ni kumuomba ndugu mbowe aachie ngazi katika chadema sasa akafanye mambo mengine naamini katika chadema wako watu wengi wenye uwezo kuliko yeye na waliowazalendo zaidi katika chama na nchi yao ya Tanzania kuliko yeye .

Shy,

Sidhani kama chadema ni chama cha mpira. Waachiwe watumie katiba na taratibu zao kama wanaona kuwa hafai watamuondoa. Kutokujibu simu au hoja mtandaoni sidhani kuwa ni kati ya majukumu yake.
 
HEY hivyo mpaka leo bado hujajua kuwa hicho chama unachosema chama chenu, wewe hujulikani na wala huwezi kulinda hata choo. hicho ni chama cha mafisadi,na ndio kazi anayoifanya mr mbowe kuwafungua macho raia kama wewe mnaoshabikia kwa kufuata rangi za bendera,pole sana chama hicho unachodai ni chenu muachiwe ,kina wenyewe,na ndio hao wanaoimaliza nchi hii.
utawaachia urithi gani watoto wako,kuwa haya yameletwa na CCM.
ZAIDI YA HAYA:
UMASIKINI
MARADHI
VIONGOZI MAFISADI
VIONGOZI WALA RUSHWA
UTAWALA MBOVU
ELIMU DUNI

Nini unajivunia TOKEA 1962,KWA TANU,HADI KUFIKIA CCM, UTUELEZE ILI NA SISI TUFAHAMU.

seff
 
Ahaha

Hizi Sio Jitihada Za Kutafuta Kula

Ni Jitihada Za Kumkomboa Mtandania Kokote Aliko .

Najua Watanzania Wengi Wamefungiwa Katika Giza La Ufahamu Na Wamekuwa Vipofu Wa Kuona Hata Mabubu Wa Kuongea Tunapopata Nafasi Kama Hizi Tunazitumia Bila Kuficha Majina Yetu .

Ahsante

Jioni Njema

Eti Mwafrika Wa Kike Yuko Wapi Siku Hizi Simwoni

Shy

Habari za habari Corporation. Katika ugomvi wa Balile na Atilio wewe ulikuwa upande gani eti? Unadhani nini ni future ya kampuni yenu?

Mwafrika wa Kike mbona yupo hapa?

Wewe tu ndio umepotea. Hivi lile suala lako la kukamatwa na mali ya wizi kimara limeishia wapi?

Asha
 
Nyie wakuu mnashindwa kuunganisha data??
hamjui kuwa ile thread ya mbowe kufeli ilianzishwa makusudi ili kuwezekane kuanzisha threads nyingi?? Na kwa kuwa Chinga mpaka jioni hii ameshindwa kuhakiki kufeli kwa Mbowe, basi ndugu yetu SHY kadandia mkuki kwa mbele kuconfirm kuwa Mbowe kafeli ingawa hana Data.

Nina hoja

Mbowe kuchafuliwa kulianza pale baada ya kutoa ile hotuba yake majuzi ktk mkutano wa wanawake wa chama cha CHADEMA kwa kumhusisha muungwana na tuhuma za ufisadi.
Naamini sasa kuwa kila kinachofanywa humu ni fight-back. Ninatia shaka sana kuwa baadhi ya washiriki wapo pale Habari Corporation (New).

Naomba kudeklare interest, Mimi ni mwanachama hai wa Chama Tawala na sipendi kuona chama Changu kikichafuliwa kwa kashfa zisizo na msingi (za kujitakia), ila nina kitu kimoja rohoni kwangu kuwa CCM siyo baba wala mama yangu. Uanachama wangu haunifungi mdomo kupiga kelele dhidi ya ufisadi wa baadhi ya viongozi wa chama na serikali.
 
Ahaha

Hizi Sio Jitihada Za Kutafuta Kula

Ni Jitihada Za Kumkomboa Mtandania Kokote Aliko .

Najua Watanzania Wengi Wamefungiwa Katika Giza La Ufahamu Na Wamekuwa Vipofu Wa Kuona Hata Mabubu Wa Kuongea Tunapopata Nafasi Kama Hizi Tunazitumia Bila Kuficha Majina Yetu .

Ahsante

Jioni Njema

Eti Mwafrika Wa Kike Yuko Wapi Siku Hizi Simwoni

Shy Unanitafuta wapi wewe maana kuanzia utumiwe na polisi kuwakamata wana JF mimi sitaki kukusikia kabisa karibu. Tena nakuonya uache kufuatilia mambo ya wana JF kwani na hasahasa mimi kwani nitakufanyia kitu mbaya.

Watoto wa watu mmewaweka ndani sasa umepata nini? ntokee kabisa tena unikome kabisaaaaa, hufai na wewe ni mtu mbaya kabisa na inabidi wana JF wapenda amani wakuogope kama ukoma. Baba huna aibu wewe, mtoto mdogo kama MIke akiwekwa ndani wewe unafaidika nini na story zako hizi bubu unaweka hapa!

Nikome tena unikome na uwakome wanaJF .... grrrrrrrrr
 
Inaelekea Huyo Mbowe ni malaika Mungu kamteremsha kutoka mbinguni kuja kuwakoa Watanzania!hana mapungufu yeyote!kazi ipo!!hapa JF
 
Shy Unanitafuta wapi wewe maana kuanzia utumiwe na polisi kuwakamata wana JF mimi sitaki kukusikia kabisa karibu. Tena nakuonya uache kufuatilia mambo ya wana JF kwani na hasahasa mimi kwani nitakufanyia kitu mbaya.

Watoto wa watu mmewaweka ndani sasa umepata nini? ntokee kabisa tena unikome kabisaaaaa, hufai na wewe ni mtu mbaya kabisa na inabidi wana JF wapenda amani wakuogope kama ukoma. Baba huna aibu wewe, mtoto mdogo kama MIke akiwekwa ndani wewe unafaidika nini na story zako hizi bubu unaweka hapa!

Nikome tena unikome na uwakome wanaJF .... grrrrrrrrr

NDUGU INVISIBLE NA WAKUU WA JAMBOFORUM NAOMBA USOME UJUMBE HUU - NAKUMBUKA NILIAMBIWA NISIJIBU CHOCHOTE WALA KUSEMA CHOCHOTE KUHUSU WATU WANAVYOSEMA KUHUSU TUKIO LILE SASA NAONA WATU KWA KWA DHAMIRA MOJA WAMEAMUA KUNISINGIZIA KATIKA SUALA HILI NA KUNIINGIZA NDANI KUNIITA USALAMA WA TAIFA .

NAFIKIRI KUNA UMUHIMU WA WATU KUWA WAWAZI WASIROPOKE MAMBO TU

JUMATATU NAENDA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUULIZIA HABARI KAMILI KUHUSU SUALA HILI

NDUGU HALISI MIMI SIKUJUI WEWE NA SIJAWAHI KUKUONA WALA KUWASILIANA NA WEWE KWA NJIA YOYOTE KAMA NILIWAHI NAOMBA KOPY YA MAWASILIANO YETU KAMA NI EMAIL AU SIMU AU KWA NJIA YOYOTE ILE UNANIDHALILISHA NA KUWAKATISHA TAMAA WALE WOTE AMBAO NINAFANYA NAO KAZI AU NIMEWAHI KUFANYA NAO KAZI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE .

NDUGU WILLIAM AMBAYE NI BABA WA MIKE MUSHI , WEWE PIA NAKUMBUKA TULIONANA ARUSHA MIAKA 3 ILIYOPITA WAKATI HUO NILIKUWA LIKIZO NIKAJA KUMSALIMIA MIKE NA RICHIE TOKA WAKATI HUO SIJAWAHI KUWA NA URAFIKI , UNDUGU , AU UKARIBU WA AINA WOWOTE ULE NA WEWE .

NA HICHI KITU KIKIENDELEA KUNIDHALILISHA NA KUSEMA MAMBO YA UWONGO KISA MNALINDA VIVULI VYENU TUNAWEZA KULAZIMISHA KUPELEKANA KATIKA VYOMBO VYA SHERIA AU KOKOTE AMBAKO SHERIA INAWEZA KUCHUKUWA MKONDO WAKE .

KUWENI NA ADABU JAMANI

AHSANTENI WIKI IJAYO NAENDA WIZARA YA MAMBO YA NDANI PAMOJA NA MAMBO MENGINE NITAENDA KUULIZIA KUHUSU WATU HAWA WANAOSEMA MIMI NAHUSIKA KATIKA KUTOA HABARI AU KUCHOCHEA KUKAMATWA KWAO .

NAOMBA KUFUNGUA MJADALA HUU TENA

KUMBUKA SIO WATU WOTE WANAOKUBALI KUDHALILISHWA , KUZUSHIWA NA KUSEMEANA UWONGO
 
Shy

Habari za habari Corporation. Katika ugomvi wa Balile na Atilio wewe ulikuwa upande gani eti? Unadhani nini ni future ya kampuni yenu?

Mwafrika wa Kike mbona yupo hapa?

Wewe tu ndio umepotea. Hivi lile suala lako la kukamatwa na mali ya wizi kimara limeishia wapi?

Asha

SIJAWAHI KUKAMATWA NA MALI YA WIZI -- MALI ILIKUWA NI YANGU

HUYO POLISI ALIYENIKAMATA ULIZA SASA HIVI YUKO WAPI AMESHAVULIWA CHEO NA SASA NI MLINZI WA MABENKI NA KESI IKO MAHAKAMANI ANGOJE HUKUMU YAKE PAMOJA NA YULE DADA ALIYEIDANGANYA POLISI NA YEYE SASA AMESIMAMISHWA KAZI AMETAKIWA KURIPOTI KITUO CHA POLISI MARA KWA MARA

KAMA NILIVYOSEMA HAPO JUU SIO WOTE WANAKUBALI DHULUMA NA KUKANDAMIZWA KUNA NAMBA ZA KUCHEZEA NYINGINE ZIACHE TU

SASA WENZAKO WANALINDA MABENKI SAA HIZI

AHSANTE
 
Copy Ya Haya Mazungumzo Nimeshatuma Katika Majukwaa Mengine Nao Waone Nini Watu Walichoambiwa Huku Wiki Ijayo Nitakuwa Naenda Usalama Wa Taifa Katika Idara Moja Kuongea Na Baadhi Ya Watu Pale Nikiwa Na Mwanasheria Kujua Nini Kilichosemwa Na Wanahitaji Ushahidi Wangu Gani Katika Suala Zima La Vijana Wa Jamboforum Kukamatwa
 
Sasa swala la kuvuruga ndoa za watu zina uhusiano gani na ufisadi mi naona hayo ni maisha yake mbona kuna thread ilitolewa ikiuliza kuhusu JK kuoa mke wa pili na mlisema hayo ni maisha binafsi aoe/asioe kama mfalme mswati haitusaidii iweje ya mboe tuyaongelee?

Mi naomba huyo mtu aliyetoa hizo kashfa awe anajiamini kuwa yeye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake (mr. faithful)
 
Copy Ya Haya Mazungumzo Nimeshatuma Katika Majukwaa Mengine Nao Waone Nini Watu Walichoambiwa Huku Wiki Ijayo Nitakuwa Naenda Usalama Wa Taifa Katika Idara Moja Kuongea Na Baadhi Ya Watu Pale Nikiwa Na Mwanasheria Kujua Nini Kilichosemwa Na Wanahitaji Ushahidi Wangu Gani Katika Suala Zima La Vijana Wa Jamboforum Kukamatwa

Shy

U sound like panicking. It seems there is something fishy that you have done. Justice is at your door step. Beware of people's power!

Luv ya
 
Copy Ya Haya Mazungumzo Nimeshatuma Katika Majukwaa Mengine Nao Waone Nini Watu Walichoambiwa Huku Wiki Ijayo Nitakuwa Naenda Usalama Wa Taifa Katika Idara Moja Kuongea Na Baadhi Ya Watu Pale Nikiwa Na Mwanasheria Kujua Nini Kilichosemwa Na Wanahitaji Ushahidi Wangu Gani Katika Suala Zima La Vijana Wa Jamboforum Kukamatwa

Copy ya mazungumzo yepi??
Mkuu hebu nyoosha sentesi tuelewe maana kuna mazungumzo mengi humu.

Na kwa nini Usalama wakuhoji kuhusu kukamatwa kwa mashujaa wetu??
Is there anything you did against odds?

Speak loud maana hata hapa JF tunapeana ushauri bila kujali itikadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom