Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Sina nia ya kulumbana unaelewa nilichokuwa namaanisha,KWANINI KASHFA ZAKE HAZIKUMZUIA KUINGIA IKULU?

didnt you say kwamba kashfa zake hazikuibuliwa wakati wa kampeni ? meaning in that time frame, hizo tuhuma were UNKNOWN ! Sasa unauliza iweje tuhuma hizo hazikumzuia kuingia ikulu ? mbona unajikanyaga mkuu !

No Spin Zone !
 
Hivyo Vilikuwa Ni Vita Vya Chama Dhidi Ya Chama Hizi Za Mbowe Ni Za Kibinafsi,waliposema Ccm Ilitaka Kumuua Zitto Walitaja Jina La Mtu Binafsi?kama Nilivyosema Kuna Kanuni Ambazo Ccm Sasa Naona Inazivunja.kifo Cha Amina Kilimsikitisha Kila Mtanzania Na Kilikuwa Cha Utata Mkubwa,lakini Kwani Kuna Mtu Alitajwa Na Kina Mbowe Moja Kwa Moja Kuwa Alimfanyia Amina Jambo Baya?kama Nilivyosema "kanuni"
 
haya ndio matatizo yenu. kila wakati chadema na ccm hata mkubwa ccm akiuwa wale ccm wa hapa jf watamtetea na hata mkubwa wa chadema akibaka basi wale wafuasi wa chadema wa jf watamtetea ,ningenasihi huu upumbavu wa ccm na chadema umalizike hapa jf, ili tupate suluhisho la matatizo tulionayo ni lazima tukubali kuwa neutral. sahauni ccm ,chadema , na cuf. hebu jaribu kujiamini wewe as you bila kumtegemea mbowe wala zitto wala kikwete wala lipumba, wala vyama vyao.ninachojua mimi ushabiki uko kwenye michezo sio siasa ,kwenye kosa lisemwe kosa hata kama limefanywa na mheshimiwa rais ama mheshimiwa mwenyekiti wa chama fulani.achaneni na uchadema na uccm kama ufisadi usemwe na kama uzinifu ukemewe.mwanasiasa bora ni yule aliokuwa neutral katika kurekebisha matatizo.
 
Na Hizo Za Ufisadi Zimejibiwa?hizo Muhimu Zenye Kumgusa Kila Mtanzania Popote Alipo!nauliza Tena Jamani Zimejibiwa,mji Mzima Maana Yake Nini?vipi Kuhusu Taifa Zima?kuna Mtu Anahakikisha Kuwa Linapata Hizo Nyeti Za Ufisadi?
 
it seems like you are revolving around your own shadow, basi acha nikumulike usikione hiko kivuli kabisa (ili usiweze kuzunguka hapo hapo)!
 
haya ndio matatizo yenu. kila wakati chadema na ccm hata mkubwa ccm akiuwa wale ccm wa hapa jf watamtetea na hata mkubwa wa chadema akibaka basi wale wafuasi wa chadema wa jf watamtetea ,ningenasihi huu upumbavu wa ccm na chadema umalizike hapa jf, ili tupate suluhisho la matatizo tulionayo ni lazima tukubali kuwa neutral. sahauni ccm ,chadema , na cuf. hebu jaribu kujiamini wewe as you bila kumtegemea mbowe wala zitto wala kikwete wala lipumba, wala vyama vyao.ninachojua mimi ushabiki uko kwenye michezo sio siasa ,kwenye kosa lisemwe kosa hata kama limefanywa na mheshimiwa rais ama mheshimiwa mwenyekiti wa chama fulani.achaneni na uchadema na uccm kama ufisadi usemwe na kama uzinifu ukemewe.mwanasiasa bora ni yule aliokuwa neutral katika kurekebisha matatizo.

uzuri ni kwamba, wooote hapa tunajali kila opinion ! great mkuu !
 
No Sijalean Chadema Ila Lazima Tukubali Uchapakazi Wa Watu Ili Mradi Ni Watanzania Bila Kujali Itkadi Za Vyama Vyao!kama Hii Issue Ya Ufisadi Ina Manufaa Kwa Taifa;chadema Na Ccm Vina Nafsi Gani Kwenye Hii Topic?"ni Muhimu Tusiloose Focus"
 
Sio Nazunguka Mkuu!niko Focus Kwenye Point Inayohusu Maslahi Ya Taifa Langu!
 
halafu Mushi, nashukuru sana mkuu kwa kwenda back and forth bila kutumia lugha isiyoeleweka, bila kupigana, keep that spirit bro !
 
Nakubaliana Na Wewe Mkuu Ila Ni Wazi Kwamba Timing Ya Tuhuma Binafsi Dhidhi Ya Waliotoa Tuhuma Za Ufisadi Zina Leta Kaharufu Flani Hizi Kachafu!mimi Sina Chama Ila Ni Mzalendo Na Nataka Hizo Kashfa Mbili Zisiwe Compared Kwa Namna Yoyote Kama Unataka Watu Wasihisi Uanachama Flani,mimi Nataka Fair Game,yes Tujadili Kashfa Zote Lakini Tusizilinganishe Waheshmiwa!ni Mbili Tofauti!binafsi Na Ambazo Zinarelate Kwa Kila Mtu Bila Kujali Chama
 
baaaab kubwa !
 
Unarudi Mwenyewe Kwenye Point,kulikuwa Hakuna Faulo Chafu Binafsi Kama Hizi Zinazoanzishwa Wakati Huu Wa Ufisadi,everybody Knows Kikwete!kikwete Used To Stop In Some Vijiwes Kutoa Hi Na Mambo Flani kama hayo!,ofcourse Kikwete Ni Mtu Wa Watu,ila Rafu Chafu Zilikuwa Bado Kuanza!UPO?
 
Nothing About Flip Flop Brother!kutoibuliwa Kwa Kashfa Zake Wakati Ule Kulimsaidia Kuingia Ikulu Coz Kulikuwa Hakuna Faulo Chafu Na Kashfa Binafsi Kama Sasa!ndio Maana Nauliza Kwa Nini Haya Mambo ya Kashfa Chafu za kibinafsi Yaibuliwe Kipindi Hiki Cha Ufisadi?ina Maana Kashfa Binafsi Zilikuwa Hazina Maana Ya Kuibuliwa Wakati Kikwete Akigombea kwenda Ikulu Lakini Zinamaana Wakati Wa Kashfa Za Ufisadi!?hivi Ni Kitu Gani Kigumu Kuelewa Hapo?kama Nilivyosema Acha Malumbano Na Twende Hoja Kwa Hoja Kada Mpinzani!
 
Nothing About Flip Flop Brother!kutoibuliwa Kwa Kashfa Zake Wakati Ule Kulimsaidia Kuingia Ikulu Coz Kulikuwa Hakuna Fauko Chafu Na Kashfa Binafsi Kama Sasa!ndio Maana Nauliza Kwa Nini Haya Mambo A Kashfa Chafu Yaibuliwe Kipindi Hiki Cha Ufisadi?ina Maana Kashfa Binafsi Zilikuwa Hazina Maana Ya Kuibuliwa Wakati Kikwete Akigombea Ikulu Lakini Zinaibuliwa Wakati Wa Kashfa Za Ufisadi!hivi Ni Kitu Gani Kigumu Kuelewa Hapo.kama Nilivyosema Acha Malumbano Na Twende Hoja Kwa Hoja Kada Mpinzani

Kwa sababu tunataka gharama nzima ya uchafuzi ilipwe na Kikwete pamoja na chama chake SISIEMU.
 
Kwa sababu tunataka gharama nzima ya uchafuzi ilipwe na Kikwete pamoja na chama chake SISIEMU.

NI MCHEZO MCHAFU!WENYE HILA CHAFU!ZINAZOWEZA KUPELEKEA MAMBO MACHAFU AMBAYO IN RETURN HAYANA MANUFAA YOYOTE BADALA YAKE HATA KIKWETE MWENYEWE ATAKUWA DRAGGED IN KWENYE UCHAFU HUO NA KUSABABISHIA HASARA KWENYE TAIFA LETU!"CHA MUHIMU AWAELEWESHE VIJANA WAKE NA WAPAMBE WAKE KWA UJUMLA KUWA MAKINI NA SIO KUONYESHA DESPARATION YA KIWAZI NAMNA HIYO!MZEE MWINYI MWENYEWE AMEJARIBU KUWAELEZA KUWA KIZAZI CHA SASA HIVI NI CHA TOFAUTI!VIJANA WAKO MAKINI KUPINDUKIA!HUWEZI UKAWALETEA POROJO WAKATI WA HOJA NZITO NZITO ZENYE MASLAHI YA KITAIFA!WAKO SERIOUS NA TAIFA LAO HIVYO KABLA YA KUKURUPUKA NI BUDI WAJIPANGE KWANZA AMA SOMETIMES NI BUDI WAKUBALI KUSHINDWA KWANI AVUMAE BAHARINI...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom