Hasara
Senior Member
- Dec 29, 2006
- 138
- 10
Ama kweli kupambana na mafisadi kunahitaji kuwa na moyo wa chuma.
Nani anataka kuamini kuwa ujumbe huo umeandikwa na wanachadema?
Naona hoja za ufisadi zimekuwa nzitto kiasi kwamba hawa jamaa sasa wanafanya character assasination na watakia kazi njema ila tunahitaji majibu juu ya ufisadi .
Huyu Mbowe ambaye mahakama haimkamati amekuwa mkapa?ama analindwa na katiba ?
Haya kazi kwelikweli naam kumekucha , na mafisadi na vibaraka wao hawana pa kwenda kwa wakati huu ila ni mpambano mapka kieleweke.
Nahitaji ushahidi wa maneno mazito kama haya kwani huu sasa kama sio udaku basi ni udadaku....
hizi mbinu za WanaCCM tu akuna kitu cha kujibu haya tunayajua ngoja tu mwage ya mkuu wa kaya muone lipi nzito la Mbowe au Mkuu wa Kaya.