Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Kita kuwa kama mwamba tuvushe,kwani ndiye mwalimu wao.Nyie cdm mna roho ya ubaguzi Sana,nawazia hicho kizazi kitakachokuwa chini ya dola ya cdm itakuwaje.
Tukiongelea UBAGUZI usimsahau huyu.Nyie cdm mna roho ya ubaguzi Sana,nawazia hicho kizazi kitakachokuwa chini ya dola ya cdm itakuwaje.
Kifo cha Mch. Mtikila kina utata gani? Mtikila kauliwa,full stop.Marekani ina mtindo wa kuwafunza na kuwafadhili watu mbali mbali duniani, ili baadae ije kuwatumia kama uchochoro wa kufanikisha malengo yake. Mbowe nae amefanya hivi kwa masilahi ya waliomtuma ambao ni CCM na mamlaka kwa vile ni mtu wao aliepandikizwa upinzani. Mpinzani wa kweli alikuwa mch Mtikila tu na ndio maana mpk leo kifo chake kina utata.
Ndio maana nikasema kwamba Mtikila ndio alikuwa mpinzani wa kweli kutokana na misimamo yake isiyoyumbishwa, na aina ya mazingira ya kifo chake. Mfano Mtikila angekuwa mwenyekiti wa chadema mwaka 2015 Lowasa asingepenya hata nafasi ya kugombea ubunge wa chadema.Kifo cha Mch. Mtikila kina utata gani? Mtikila kauliwa,full stop.
Kumbe Katambi ni Naibu Waziri.... Kweli Tanzania kazi bado tunayo....!!Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.
- David Kafulila, RC
- Mwita Waitara, N/Waziri
- Joshua Nassari, DC
- Fakii Lulandala, DC
- Albert Msando, DC
- David Silinde, N/Waziri,
- Vincent Mashinji, DC
- Mwambe, MB
- P. Gekuli, N/Waziri
- Shonza, MB
- Katambi, N/Waziri
- LijuaLikali, DC
- Kitila Mkumbo /Waziri
Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?
View attachment 1826599
View attachment 1826600
Mbowe ni chuo cha uongozi cha TaifaWatoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.
- David Kafulila, RC
- Mwita Waitara, N/Waziri
- Joshua Nassari, DC
- Fakii Lulandala, DC
- Albert Msando, DC
- David Silinde, N/Waziri,
- Vincent Mashinji, DC
- Mwambe, MB
- P. Gekuli, N/Waziri
- Shonza, MB
- Katambi, N/Waziri
- LijuaLikali, DC
- Kitila Mkumbo /Waziri
Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?
View attachment 1826599
View attachment 1826600
Wasukuma hivi huwa mnalala kweli?
Kubali ukweli we kamanda.Wasukuma hivi huwa mnalala kweli?
Utakumbuka shuka asubuhi.Wengine tamaa zao tu mkuu. Uasi haukuanza leo, ni tangu enzi za Adam na Hawa.
Well saidWengine tamaa zao tu mkuu. Uasi haukuanza leo, ni tangu enzi za Adam na Hawa.
Not well said kamanda.Well said
Utasugua benchi mpk ufeNot well said kamanda.
Yeah, but i will tell the truth.Utasugua benchi mpk ufe