Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?
- David Kafulila, RC
- Mwita Waitara, N/Waziri
- Joshua Nassari, DC
- Fakii Lulandala, DC
- Albert Msando, DC
- David Silinde, N/Waziri,
- Vincent Mashinji, DC
- Mwambe, MB
- P. Gekuli, N/Waziri
- Shonza, MB
- Katambi, N/Waziri
- LijuaLikali, DC
- Kitila Mkumbo /Waziri
Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?