Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Kwani Mbowe ana msaada gani?!!
Kuendelea kuwepo chadema ndiyo msaada wenyewe kwa sababu upinzani upo kwenye wakati mgumu baada ya Madalali wa Siasa kufanya Dili kubwa la kujipatia pesa toka kwa Mtukufu ambaye hutoa Amri kule Hazina pesa inatoka anakabidhiwa Maliyamungu Bashite na Lipumba na kikundi chao akina le mutuz, Jerry muro na boss wao mwingine January mzee wa fitna na uchakachuaji, Ukiweza kudumu kipindi hiki ndani ya upinzani wewe ndiyo unakuwa msaada wa chama kwani kudhoofisha upinzani ni mladi mkubwa wa kuvuna pesa uliobuniwa na Lipumba akishirikiana na Maliyamungu Bashite.
 
Mtaongea Mengi mpaka 2020 yetu macho na masikio....
Jela ya wapi? Kwani mwaka 2015 CCM walishinda uchaguzi? Ni uchakachuaji pekee unawapa ushindi CCM hata hiyo 2020 labda mfanye uchakachuaji tu lakini wananchi wana njaa hawawezi kuipigia CCM kura, ushindi wa CCM ni wizi wa kura pekee.
 
Kweli siasa ni unafiki na kujitoa ufahamu hata kama mtu alikuwa na IQ ya 140+ akiingia kwenye siasa IQ yake inashuja hadi IQ 1.

Mkiendelea hivi ,, pole sana CDM hamtakaa mchukue nchi labda mtashinda uchaguzi wa nchi ya Kenya mnakofanyia press conferences.
 
Jela ya wapi? Kwani mwaka 2015 CCM walishinda uchaguzi? Ni uchakachuaji pekee unawapa ushindi CCM hata hiyo 2020 labda mfanye uchakachuaji tu lakini wananchi wana njaa hawawezi kuipigia CCM kura, ushindi wa CCM ni wizi wa kura pekee.
CCM haijawahi shinda ila tupo madarakani na tutaendelea kuwa madarakani kwa miaka 50 ijayo...labda ndo tutafikiria kuwaachia nchi.
 
I doubt kama haya maneno ni kweli kayatamka Mbowe Freeman A.
 
sasa Masha alkua anamsaada gani?
Alimsaidia Lissu kushinda TLS, Masha alichaguliwa na CHADEMA kugombea ubunge EALA huo ni msaada tosha!!...Mbowe alitaka kwenda mahakamani kisa Masha kukataliwa kugombea ina maana alitaka kufungua kesi kwa mtu mzigo au mlitaka peleka mtu mzigo EALA!!?...
 
Mbowe ameongea hayo kwa sababu Masha kaleta dharau kwa CDM kuwa hawana nia ya kuchukua dola. Masha angetoka kimyakimya bila kubwabwaja wala CDM wasingemsema
 
Nipashe ni sawa na gazeti la Uhuru wameanza kuwalisha watu maneno na mleta mada tunajua mlengo wako so msimchafue Kamanda kwa kutafuta sifa humu jamvini muacheni Mbowe aendelee kuwanadi wagombea udiwani hana muda wa kumjibu Masha wala gazeti bubu la nipashe
Nipashe/IPP media haijawahi kuwa upande wa Serikali acha ujuha!!...hawa wapo open minded always n' a little opposition side!!.
 
Haina uhusiano na uchoyo wa masha, kwani masha huwa ni mbinafsi sana ndiyo maana imma advocate inakachanika vipande vipande na yy kutuma watu kwenda kulipua ofisi kaanzisha chamber yake lakini haina wateja ndipo kaamua kujitoa chadema ili ajipendekeze CCM apewe Tenda za kisheria njaa mbaya.

u have a point
 
Back
Top Bottom