Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Yaani mpaka atoke mtu ndo mumlipue?

Yale yale ya akina Kigwangallah kutaka TAKUKURU wamkamate Nyalandu kwa kugawa vitalu hovyo wakati wanajua viligawiwa Ikulu - sawa tu na sasa tender za bombadier as well as ujenzi wa uwanja wa Chato zilivyosimamiwa na mkuu mwenyewe. Utashangaa miaka 8 ijayo mtu kama Prof. Mbarawa anatakiwa kuchunguzwa na kuhojiwa na vyombo. Unafiki huu ndo asili ya Watanzania
Ila Nyalandu alizidi wacha akamatwe tu
 
KUHUSU MASHA: Jipe muda wa kutosha. Nyamaza, tafakari, kaa na wenzako, toa tamko "kama kuna haja". OR, you can adopt silence indefinitely!
 
Halafu watakuja kutuambia kuwa kina Lowassa hawakuwa na msaada wowote, something has happened to CHADEMA and it ain't sweet!
Msaada wa Lowassa uko wazi kwa Chadema.Kila mwenye akiki timamu anauona.Ukiambiwa hebu onesha jinsi gani Masha kaisaidia Chadema utaonesha nini????. Achana na issue ya TLS, hicho si kitengo cha Chadema kama wawili watatu wanavyofikiri.
 
Mbowe anaendelea kudhihirisha kuwa wapinzani hawana nia ya kuchukua nchi.

Sisi tuliona msaada wa masha kwenye tls ila mbowe hajaona.

Labda huyu mchaga anaposema msaada anamaanisha pesa.
(Business)
TLS sio chadema tumia akili kidogo!
 
Yaani mpaka atoke mtu ndo mumlipue?

Yale yale ya akina Kigwangallah kutaka TAKUKURU wamkamate Nyalandu kwa kugawa vitalu hovyo wakati wanajua viligawiwa Ikulu - sawa tu na sasa tender za bombadier as well as ujenzi wa uwanja wa Chato zilivyosimamiwa na mkuu mwenyewe. Utashangaa miaka 8 ijayo mtu kama Prof. Mbarawa anatakiwa kuchunguzwa na kuhojiwa na vyombo. Unafiki huu ndo asili ya Watanzania

Hata wewe unajuafika kuwa Masha hakufanya chochote CDM, ni vile tuu dhamira zetu ni mfu na hatupenda kuwa watu wa HAKI
 
Hakuwa na mchango, na mlimbeba kwa mbeleko ya chuma kugombea ubunge mbunge la afrika mashariki, kumbe mdee alikuwa sahihi, naona kuna mtu kafikia ukomo wa kufijiri
 
Si ajabu hata Dkt. Slaa wanamwona hakuwa na msaada wowote kwa CHADEMA.

Ila nakumbuka jinsi huyo Masha alivyosifiwa humu wakati wa ule uchaguzi wa TLS [ambao wachache wetu tulisema hauna umuhimu wala athari zozote zile za maana nchini].

Watu walimsifia kuwa eti yeye na Lissu walicheza gemu kama Pele halafu baadaye huyo Masha akajitoa katika kugombea huo urais usio na athari yoyote ya maana nchini.

Leo kajitoa huko CHADEMA....wameanza kumponda!

Oh well, it's par for the course, anyway!
Mmeulizwa TLS ni CHADEMA?
 
uchaguzi wa TLS?? masha did well

insipiration to new members..

mbowe akae kimya, kuna siku atahama.na yy wenzake watasema alikuwa mzigo
Haina uhusiano na uchoyo wa masha, kwani masha huwa ni mbinafsi sana ndiyo maana imma advocate inakachanika vipande vipande na yy kutuma watu kwenda kulipua ofisi kaanzisha chamber yake lakini haina wateja ndipo kaamua kujitoa chadema ili ajipendekeze CCM apewe Tenda za kisheria njaa mbaya.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema aliyekuwa mwanachama wao ndugu Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote ndani ya chama chao tokea alipojiunga akitokea CCM.

Chanzo: Gazeti la Nipashe!

My take:
"Sizitaki mbichi hizi", Sungura akagumia
Ni kweli masha mda wote yupo Bar analewa pia kutuma msg kwa Mange Kimambi ndiyo ilikuwa kazi yake kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom