Mapandikizi ya CCM na Mbowe ndani ya Chadema, yanatolewa mojaoja

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? .
In short John heche na Tundu Lisu wanakaz kubwa sana.

Kwenye jicho langu la kiroho hawa viongozi wawili wamezungukwa na madouble agents wa serikali na ccm. Ndo maana mnaanza kuona vurugu ndani ya chama.

Watanzania nawaomba tuwalinde na kuwauunga mkono sana Lisu na Heche. Mungu ibariki chadema ,Mungu ibariki Tanzania mpyaaaaaaa
By mwijilist wenu Gabeji
 
Umeona mbali...
 
hakuna vurugu ndani ya chama. Hakuna. chama Kiko salama chini ya Lissu na Heche na waTanganyika !
 
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? .
In short John heche na Tundu Lisu wanakaz kubwa sana.

Kwenye jicho langu la kiroho hawa viongozi wawili wamezungukwa na madouble agents wa serikali na ccm. Ndo maana mnaanza kuona vurugu ndani ya chama.

Watanzania nawaomba tuwalinde na kuwauunga mkono sana Lisu na Heche. Mungu ibariki chadema ,Mungu ibariki Tanzania mpyaaaaaaa
By mwijilist wenu Gabeji
Sio rahisi wote kuwa na mtazamo sawa katika jambo fulani.
 
Lissu na Heche hawana kazi ngumu kama wataendelea kusimamia HAKI. Jambo la kufurahisha ni kwamba kadiri wanavyosimamia HAKI ndivyo wanavyozidi kuwa na kundi kubwa la Watanzania wanaowaunga mkono,na wahuni ndani ya CDM watazidi kufichuka mmoja baada ya mwingine kama ulivyosema.

Hakuna kazi ngumu kama kuutetea UDHALIMU. Yaani hata kama una akili nyingi kiasi gani ukijiweka upande wa DHULUMA kwa maslahi unayoyajua wewe lazima utaonekana kilaza tu.

Lissu,Heche and the like wapo kwenye right track!
 
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? .
In short John heche na Tundu Lisu wanakaz kubwa sana.

Kwenye jicho langu la kiroho hawa viongozi wawili wamezungukwa na madouble agents wa serikali na ccm. Ndo maana mnaanza kuona vurugu ndani ya chama.

Watanzania nawaomba tuwalinde na kuwauunga mkono sana Lisu na Heche. Mungu ibariki chadema ,Mungu ibariki Tanzania mpyaaaaaaa
By mwijilist wenu Gabeji
Hawawezi kujificha muda mrefu kama alivyofanya mbowe,kwa sasa ma spy ni wengi ndani na nje ya chama
 
Kama mbowe alidumu ktk black agent, zaidi ya miaka 30, akiwadanganya watanzania" kuwa ni mpenzani wa kweli" je haja acha majunior wake? Vp kuhusu kampen manaja wake kwenye uchanguzi wa chadema? Amebaki KWA kz maluum? Vp kuhusu mtendaji mkuu wa chama na mratibu ? .
In short John heche na Tundu Lisu wanakaz kubwa sana.

Kwenye jicho langu la kiroho hawa viongozi wawili wamezungukwa na madouble agents wa serikali na ccm. Ndo maana mnaanza kuona vurugu ndani ya chama.

Watanzania nawaomba tuwalinde na kuwauunga mkono sana Lisu na Heche. Mungu ibariki chadema ,Mungu ibariki Tanzania mpyaaaaaaa
By mwijilist wenu Gabeji
Umeandika kitu cha msingi kabisa, waombe @Mods wabadilishe kwenye heading 'Mojaoja'.
 
Back
Top Bottom