Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema aliyekuwa mwanachama wao ndugu Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote ndani ya chama chao tokea alipojiunga akitokea CCM.

Chanzo: Gazeti la Nipashe!

My take:
"Sizitaki mbichi hizi", Sungura akagumia
Ili "my take" yako iwe na mashiko tutajie huo msaada alioutoa masha kwa chadema.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema aliyekuwa mwanachama wao ndugu Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote ndani ya chama chao tokea alipojiunga akitokea CCM.

Chanzo: Gazeti la Nipashe!

My take:
"Sizitaki mbichi hizi", Sungura akagumia
aisee... ok, hakuwa na msaada. but mbona wewe mbowe ulilia sana ulipowateua na wakakataliwa Wenje na Masha kwenye bunge la Afrika mashariki? unataka kutuambia ulipendekeza watu wasio na msaada wowote?
 
Go figure!

Mtu waliyetaka awe mbunge EALA leo wanasema hakuwa na msaada wowote!

Saa ingine ni heri kukaa kimya kuliko kufungua mdomo na kuongea pumba.
 
Kwani kura yake haijawaongezea ruzuku huko..maneno na harakati zake mf. kujitoa uchaguzi wa TLS, Ku compete kwenye EALA..zote hizo hazijawapa kiki enyi kizazi haba??
Kwa hiyo hata members wenu wengine hawana msaada wowote basi..maana wengine ni wanachama wa mitandaoni tu na kuwapa kura kwenye uchaguzi..hawana msaada
 
Masha hana maana yeyote. Kuondoka kwake CHADEMA siyo HABARI.
 
Back
Top Bottom