zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Gari anatumia analo na mlinzi mmoja.
Acha UNAFIKI wewe!!!!???
Hivi siku ile pale Bungeni waliotoka nje ya Bunge kupinga Katiba iliyomweka Kiwete madarakani walikuwa kina nani???Jibu ni CHADEMA. Walitoka nje kupinga MFUMO ULIOMWEKA RAIS MADARAKANI ambayo ndiyo KATIBA yenyewe! Uamzi huo wa CDM ndiyo ulipelekea vuguvugu la Katiba Mpya. Hatukuona CUF wala mwana CCM akiwaunga mkono CHADEMA!
Kwa hiyo Mbowe is right kusema kwamba CHADEMA ndo custodian wa Katiba Mpya. Ni ukweli ambao hakuna mtu anaweza kuufuta na hii ipo kwenye Hansard za Bunge.
I wish Watanzania wangekuwa wanamsikiliza Kikwete kwa Umakini kama ambao leo unauonyesha kwa Kumsikiliza Mwenyekiti wa CHAMA.Mkuu wangu hata kama wewe ni Chadema damu usipotoshe wote tumemsikia Mbowe alichosema.
Mbowe kasema anaomba radhi na kukiri kuwa Clouds ni Radio ya vyama vyote tofauti na alivyokuwa anavyofikilia hapo mwanzo.
Akaendelea kusema Clouds vyama vyote ni wateja wake CCM, Chadema, Cuf. Ebu tuambie wapi kaionya Clouds?
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.
Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Mbowe anaomba CUF washariki mkutano wa Chadema Jangwani...sasa hapo nashindwa kumuelewa Mbowe CUF si CCM B sasa unawaomba wa nini?
Namsikia Mbowe anaongea Clouds, maneno mawili kingereza cha ujanja ujanja.
Namsikia Mbowe anaongea Clouds, maneno mawili kingereza cha ujanja ujanja.
CUF ni nini au unaimanisha CCM B...Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.
Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Namsikia Mbowe anaongea Clouds, maneno mawili kingereza cha ujanja ujanja.
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.
Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Mkuu Janjaweed ni Kama Obama vile!!!!!!!!????
Si CUF tu hata CCM tunawataka Jangwani.
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.
Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Si CUF tu hata CCM tunawataka Jangwani.
I wish Watanzania wangekuwa wanamsikiliza Kikwete kwa Umakini kama ambao leo unauonyesha kwa Kumsikiliza Mwenyekiti wa CHAMA.