Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

Big hawa watu akili zao zinachekesha.
Wamekuwa wakitumia mbinu zile zile walizotumia kuiua nccr mageuzi, tlp na cuf wakidhani kwamba watafanikiwa na kwa chadema.
Hawaishi kuota ndoto za kifo cha chadema. Si wasira, kikwete ama watumwa wa nape hapa jf wote wanaimba wimbo mmoja.
Bahati mbata kwao chadema inasimamiwa na kulindwa na Mungu kwa manufaa ya watanzania wote.

Engineer Mwita Maranya, take this point and note it somewhere!

Vyama huwa havifi kwa sababu huwa vinakuwa vya watu.

Chama chochote ambacho kimejengwa kwa msingi wa watu kitakuwepo tu, chama ambacho msingi wake ni watu wachache kuhodhi madaraka na maamuzi kwa niaba ya wengine huwa hakina maisha marefu.

Nina maana, wanachama uchagua viongozi wao kwa uchaguzi wa haki na huru, chama hufanya maamuzi ya pamoja

Vilivyokufa havikuwa vyama, na vyenye tabia hii hata kama vitaonekana kuwa vina afya na nguvu, lakini kama misingi yake haijakaa sawa kitakufa tu!

Umemseam Mungu...ni maada pana hiyo...sauti ya wengi ni sauti ya Mungu au sio? kwa sababu chadema ni pipozi pawa basi ni ya Mungu, Mungu anaanzia kwenye kundi dogo kwenda kubwa

Let me ask you and be honesty here, hivi Mbowe kuwa mwenyekiti ilikuwa sauti ya Mungu au Mtei??...

angalia tu usije kukufuru au kuvunja logic hapa kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,sasa kama Mungu hakushirikishwa kuanzia mwanzo anatokea wapi hapa?? controversy

Nataka kukuambia leave God out of this and dont mentione his names for politics case, utaaibika mkuu!

Tutaishinda CCM kwa strategies tu

Bye bye mkuu!
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.

kama hivyo ndivyo akili yako inavyokutuma, basi hata NYERERE hakupigania uhuru na hata hafai kuitwa baba wa taifa.
Historia inatabia kutaja watu walioleta effect,ndio maana waki-WALTER wa africa kusini,dedan kimathi -kenya n.k hata wazawa hawawatambui kama walikuwa ni frontline.
 
Hata hauelewi ushenzi unaofanyika chini ya CCM.
Mbowe alipewa shangingi kwa nafasi yake ya Uenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni, na alipewa la Ubunge pia, Mangapi hayo? ya nini yote hayo kama sio ujuha? Mtoto wenu wa Mkurima anayo yote la uwaziri mkuu, na la ubunge, Nina hasira sana na nyie, wajinga wakubwa nyie
Tanzania itajengwa na viongozi wenye moyo wa uzalendo kwa TZ. Viongozi wa CDM wameonyesha hilo kwa vitendo,M4C daima,
 
R.I.P CUF...halafu mnawaomba wajitokeze kwa wingi Jangwani...ha haa haaa siasa bana.

Hajakosea maana mwenye afya haijati tabibu. Ritz na wenzako karibuni sana ili mpate kufunzwa "ilhimu" ya uraia na kukombolewa toka kwny utumwa wa kimawazo (mental slave)
 
Inaonekana Clouds Redio wamejua tupo kwenye mchakato wa mabadiliko ya uongozi wa nchi yatu, ndio maana wameona ni afadhali kuongea na Kamanada Mbowe. Siku zote mie naamini Clouds ni vibaraka wa CCM hasa Ephrahim Kibonde mara nyingi ukimsikiliza kauli zake hata kama ni za kijinga kwa vile imetoka CCM basi atasupport tu.

Jirekebisheni kwani wakati ndio huu.
 
mtangazaji anamtambulisha kama mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni, kakosea kwani hakuna nafasi kama hiyo bungeni, kuna kiongozi wa kambi bungeni.

unasahihisha wakati nawe hujui. Kuna kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na siyo kiongozi wa kambi bungeni
 
1. Kwa Mwenyekiti wa Chadema taifa kwenda kujibu tuhuma ndogo kama alivyoziita za mbunge wa Chama chake ni uongo wa mchana sana, kama ni kweli basi angewaachia kina Mnyika wamjibu Shibuda, lakini sio yeye Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, inaleta maswali mengi lakini sio majibu kuhusu udogo na ukubwa wa ishu Shibuda, kwa Chadema.

2. Kitendo cha Mwenyekiti wa Chadema kwenda mwenyewe Clouds, badala ya kusubiri afuatwe ni dalili tosha za ukubwa na udogo wa ishu ya Shibuda, sometimes huwa ninajiuliza sana hivi huko Chadema hakuna Political Strategists, wa kumsahuri Mwenyekiti kuhusu political propagndas games?


William.

Oh my.....how shallow this is..yaani hujui hata ni kwa status gani Mbowe amekwenda Clouds!....and what will this be?...political propagndas games
 
- ... Mwenyekiti wa peoples power movemment hendi kuitafuta Radio, ni Radio ndio inamtafuta yeye, anapokwenda kama unavyosifia ni kwamba anaenda kunegoaniate na Radio aonewe huruma na Radio ambayo haimuungi mkono, .
Wewe Wile, ukitaka tangazo lako liendane na muda unaoutaka, utasubiri ufuatwe?
 
Aisee, deeply from my heart receive my kuddos! This is what he wanted to hear.

Clouds ni radio binafsi ina uhuru wa kusema na kuchagua cha kuongea!! hata chadema ilikishika madaraka leo hii, clouds wana uhuru wa kusema lolote, unless aseme radio zote huwa automatically upendelea chama tawala! which is not the case

kuwa waanzishe radio yao ndio ushauri ambao Jasusi hawezi kuusema kwa chama chake chenyewe! shame

Waberoya,
For your information, formalities za mwisho zinakamilishwa za kufunguliwa radio ya Free Media. Stay tuned!
 
mzee umekuwa mshabiki mno! hata nafasi ya kuushirikisha ubongo wako unapungua sasa sana

CFM ni kituo cha watu binafsi! hata leo hii chadema wakishika madaraka kitaishi vile kinavyotaka kiishi. labda useme chadema wakishika madaraka wataendesha anchi kidikteta kuwa hata asiyewapenda awapende!! confused!

Kumsema mtu kama Kibonde kunaonyesha una gubu na chuki zako binafsi, Kibonde huwa tunamsikia wote, huwa anawasema vibaya CCM, na anawasema vibaya chadema , pale wanapokosea...sasa hata angekuwa haipendi chadema, ana uhuru wa kufanya hivyo pia!! who says kwa sababu akina fulani wanaipenda chadema kila mtu akipende???? hauoni una jiaibisha hapa??

Mara ngapi akina mnyika, mdee zito wanaalikwa clouds na kusema watakacho?? chadema walianza jana kuingia clouds! sikujua status yako kuwa ni international journalist! I dont believe that! william labda amekosea

Kweli Kusaga na clouds yake wamemwita mbowe kwa sababu ya wind of change?? kwa hiyo wanajikomba kwa mbowe?? who deceived you?? I see the reverse here!!

Ukija deep kisiasa, kama clouds mnasema ya CCM,na iko karibu na JK cant you see there could be something here??

william kasema mda wa kulia lia umeisha, chadema wana Tanzania Daima ambalo linawamaliza wenyewe, Radio mkiwa nayo no wonder mtakuwa mkieleza matatizo ya Juliana na Heche!!

I support william here, kuna serious problem among you guys! the problem is you dont think, though you think that you are thinking...when we think for you....you tend to hate us! Thinking is not easy

kwa mzee kama wewe acheni ushabiki kwa watoto

Naona umepata thanks za Rejao na company. I need not comment more.
 
Back
Top Bottom