Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
CCM walishaweka mpaka tume ya katiba kabla Mbowe hajapewa madaraka na Mkwewe.
Hahahahaaaa!!!
Ukisikia Mbowe, you low.a yourself!!
CCM walishaweka mpaka tume ya katiba kabla Mbowe hajapewa madaraka na Mkwewe.
Kajibu kikubwa sio kama wafata mkumbo wenzetu humu!!
Kajibu kikubwa sio kama wafata mkumbo wenzetu humu!!
pro-CDM ni janga la kitaifa. Hebu fafanua anachoongea.ANAONGEA KUHUSU KUMFUKUZIA MBALI SHIBUDA
hayawi hayawi sasa MNYANTUZU ANAPIGWA TEKE KULEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ATAHAMIA CCM B AU ATARUDI KWA WAUME ZAKE CCM A???
Ila waje wamevaa GWANDA na siyo kijani na njano!!!!!1
Mbowe anaomba CUF washariki mkutano wa Chadema Jangwani...sasa hapo nashindwa kumuelewa Mbowe CUF si CCM B sasa unawaomba wa nini?
Mkuu, heshima mbele,
Siku hizi naona umeamua kuwawekea watu lebels.
Anyway, issue ya msingi ni kwamba kuna vision inayowaongoza wana CHADEMA, haya ya Shibuda hayawezi kuwaondoa watu makini kwenye mambo ya msingi.
Nimefurahi amewapa somo clouds, na limewaingia barabara.
Kibonde aliposikia M4C inatinga clouds ilibidi augue ghafla, kazini ataingia kesho.
Ribosome,
..Mbowe hajakurupuka.
..CDM kuwa chama kikuu cha upinzani ktk bunge la muungano, na kitendo chao cha kushinikikiza kuandikwa upya kwa katiba yetu, ndiko kulikopelekea serikali kuunda Tume ya Katiba ya inayoongozwa na Jaji Warioba.
mkuu Wabe umebadilika sana now days! Umekuwa huna tofauti na Ritz,rejao na FF. Au kuna mtu ameiba password yako!
Big hawa watu akili zao zinachekesha.
Wamekuwa wakitumia mbinu zile zile walizotumia kuiua nccr mageuzi, tlp na cuf wakidhani kwamba watafanikiwa na kwa chadema.
Hawaishi kuota ndoto za kifo cha chadema. Si wasira, kikwete ama watumwa wa nape hapa jf wote wanaimba wimbo mmoja.
Bahati mbata kwao chadema inasimamiwa na kulindwa na Mungu kwa manufaa ya watanzania wote.
1. Kwa Mwenyekiti wa Chadema taifa kwenda kujibu tuhuma ndogo kama alivyoziita za mbunge wa Chama chake ni uongo wa mchana sana, kama ni kweli basi angewaachia kina Mnyika wamjibu Shibuda, lakini sio yeye Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, inaleta maswali mengi lakini sio majibu kuhusu udogo na ukubwa wa ishu Shibuda, kwa Chadema.
2. Kitendo cha Mwenyekiti wa Chadema kwenda mwenyewe Clouds, badala ya kusubiri afuatwe ni dalili tosha za ukubwa na udogo wa ishu ya Shibuda, sometimes huwa ninajiuliza sana hivi huko Chadema hakuna Political Strategists, wa kumsahuri Mwenyekiti kuhusu political propagndas games?
William.