Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Na hiyo rasimu ya cuf iliishia wapi?
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.

Labda ulikuwa mdogo...
Ishu ya mchakato wa katiba alianza kulia nayo Christopher Mtikila na wala si CUF.
 
1. Kwa Mwenyekiti wa Chadema taifa kwenda kujibu tuhuma ndogo kama alivyoziita za mbunge wa Chama chake ni uongo wa mchana sana, kama ni kweli basi angewaachia kina Mnyika wamjibu Shibuda, lakini sio yeye Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, inaleta maswali mengi lakini sio majibu kuhusu udogo na ukubwa wa ishu Shibuda, kwa Chadema.

2. Kitendo cha Mwenyekiti wa Chadema kwenda mwenyewe Clouds, badala ya kusubiri afuatwe ni dalili tosha za ukubwa na udogo wa ishu ya Shibuda, sometimes huwa ninajiuliza sana hivi huko Chadema hakuna Political Strategists, wa kumsahuri Mwenyekiti kuhusu political propagndas games?

William.

William,
You have missed the point completely. It is significant for the Chadema chairman to be given 30 minutes on Clouds FM, a radio station that a lot of people believed was pro-CCM, to talk about party issue and the coming meeting in Dar on saturday. In the elections of 2005 and 2010 Clouds did not give equal time to Chadema. Today you heard Joseph Kusaga say in front of the Chadema chairman that Clouds is not biased. Even the anti-Chadema broadcaster, Kibonde, excused himself with sick leave because he was ashamed to be seen in the company of a leader of a party he has been dispising on air. That Joseph Kusaga himself said he will be attending the Chadema meeting and giving it coverage on Cllouds FM is a significant development. To me the story is bigger than Freeman Mbowe going to Clouds FM. It is that Clouds FM has seen the wind of change and they are adjusting accordingly.
 
Mkuu umechelewa.
kundi la mwisho la walioingia kwenye Siasa kwa kupitia Migongo ya washua wao lilikuwa ni la kina Nape Nnauye, Vita Kawawa, Hussein Mwinyi, Adam Malima, Matayo David Matayo, January Makamba na wengine...

naona unatumia muda mwingi mitandaoni ili kutengeneza imani na mvuto kwa jamii ili siku upate japo huruma yao.

nakushauri kama unataka ubunge basi waombe CCM waje wakusimamishe Arusha Mjini endapo mtashinda rufani.

Yaani CHADEMA wakipyenga Kamasi na kulisimamisha kama mgombea hapo @rusha mjini naimani Kamasi litapata ushindi wa kishindo na wewe utaambulia kwenda Mahakamani kukata rufaa.

Muulize Sioi Sumari kilichomkuta.
 
Mimi naona clouds wamejitwaalia kadi ya cdm kwa stail ya kipekee, tunasubiri kuona kama wataandaa karamu ya siku ya kuzaliwa mbowe.
 
Mkuu si kweli kuwa Mwenyekiti alienda pale mawingu kwa issue ya Buda! Alienda pale kupromote mkutano wa chama pale jangwani suala la buda liliibuka tu pale na yy akalijibu in short kuwa siyo issue kubwa

- Washauri wake wa siasa walipaswa kujua kwamba hawezi kwenda Clouds bila kusema kuhusu Shibuda, na asingekwenda wakati huu wa shibuda storm in the air, kwani angewaita ofisini kwake wasingekuja? Chadema bana huwa mnajua kushauri wengine tu!

William.
 
William,
You have missed the point completely. It is significant for the Chadema chairman to be given 30 minutes on Clouds FM, a radio station that a lot of people believed was pro-CCM, to talk about party issue and the coming meeting in Dar on saturday. In the elections of 2005 and 2010 Clouds did not give equal time to Chadema. Today you heard Joseph Kusaga say in front of the Chadema chairman that Clouds is not biased. Even the anti-Chadema broadcaster, Kibonde, excused himself with sick leave because he was ashamed to be seen in the company of a leader of a party he has been dispising on air. That Joseph Kusaga himself said he will be attending the Chadema meeting and giving it coverage on Cllouds FM is a significant development. To me the story is bigger than Freeman Mbowe going to Clouds FM. It is that Clouds FM has seen the wind of change and they are adjusting accordingly.

- Jasusi, wacha propaganda hizi wewe ni International Journalist unajua kwamba Mwenyekiti wa peoples power movemment hendi kuitafuta Radio, ni Radio ndio inamtafuta yeye, anapokwenda kama unavyosifia ni kwamba anaenda kunegoaniate na Radio aonewe huruma na Radio ambayo haimuungi mkono, Clouds wana all the rights za kuunga mkono anybody as long as hawavunji sheria, I mean wewe unaamini nusu saa ya Mbowe pale Clouds inaweza kushindana na masaa nane ya birthday ya Mwenyekiti wa CCM?

- Chadema waazishe Radio yao wenyewe ndio mapinduzi yanavyokuwa, sio kutegemea Radio ya pro your opponent, ni a compromise, Jausi you know that ina maana huna uhakika na your stand na taifa, it horrible na very low, huko Chadema mnahitaji kufukuza washauri wote wa siasa waliomshauri Mwenyekiti kwenda Clouds, shame on you!

William.
 
Mkuu umechelewa.
kundi la mwisho la walioingia kwenye Siasa kwa kupitia Migongo ya washua wao lilikuwa ni la kina Nape Nnauye, Vita Kawawa, Hussein Mwinyi, Adam Malima, Matayo David Matayo, January Makamba na wengine...

naona unatumia muda mwingi mitandaoni ili kutengeneza imani na mvuto kwa jamii ili siku upate japo huruma yao.

nakushauri kama unataka ubunge basi waombe CCM waje wakusimamishe Arusha Mjini endapo mtashinda rufani.

Yaani CHADEMA wakipyenga Kamasi na kulisimamisha kama mgombea hapo @rusha mjini naimani Kamasi litapata ushindi wa kishindo na wewe utaambulia kwenda Mahakamani kukata rufaa.

Muulize Sioi Sumari kilichomkuta.

- Kura za uongozi haizipigiwi na watu wa mitandaoni, na nimekuwepo humu for years so hapo hamna hoja, kubali kwamba kitendo cha Mwenyekiti wa supposedly peoples power kwenda kuibembeleza Radio impe time in the air was horrible na ni simply a compromise na Radio ambayo ni pro-CCM, kwa nini Chadem wasifungue Radio yao? Mnaishia kujiabisha namna hii na kwenda ku-compromise na Radio za pro-CCM, shame on you!

William.
 
Hivi huyu Mbowe alipokuwa anaongea kujidai kuwa hajui Kiswahili ni dharau au kuwabeza Watanzania wasiojua Kiingereza? Maana alikuwa kila maneno mawili matatu anaongea Kiingereza kama wale masharobaro wa Bilicanas.

Kwa kweli hata mie nilimshangaa sana Mbowe kile kiingereza chake sijui alikitoa wapi lakini sijawahi kumuona Mbowe kwenye interview ya kingereza kama kama kuna mtu ambae kaishamuana atuambie.
 
naona NAZI imepata mkunaji.

 
nachekesha Mbowe (aliyeishia sekondari) anaongea pwenti kuliko Dr/Prof/mtaalam/explorer/mwanazuoni/mheshimiwa/mkuu kabisa tena mchumi bobevu,

90/10 ndio ilikuwa tofauti ya kura alizobwagwa nazo wakati alikuwa akiongea "pwenti". Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
- Jasusi, wacha propaganda hizi wewe ni International Journalist unajua kwamba Mwenyekiti wa peoples power movemment hendi kuitafuta Radio, ni Radio ndio inamtafuta yeye, anapokwenda kama unavyosifia ni kwamba anaenda kunegoaniate na Radio aonewe huruma na Radio ambayo haimuungi mkono, Clouds wana all the rights za kuunga mkono anybody as long as hawavunji sheria, I mean wewe unaamini nusu saa ya Mbowe pale Clouds inaweza kushindana na masaa nane ya birthday ya Mwenyekiti wa CCM?

- Chadema waazishe Radio yao wenyewe ndio mapinduzi yanavyokuwa, sio kutegemea Radio ya pro your opponent, ni a compromise, Jausi you know that ina maana huna uhakika na your stand na taifa, it horrible na very low, huko Chadema mnahitaji kufukuza washauri wote wa siasa waliomshauri Mwenyekiti kwenda Clouds, shame on you!

William.

Aisee, deeply from my heart receive my kuddos! This is what he wanted to hear.

Clouds ni radio binafsi ina uhuru wa kusema na kuchagua cha kuongea!! hata chadema ilikishika madaraka leo hii, clouds wana uhuru wa kusema lolote, unless aseme radio zote huwa automatically upendelea chama tawala! which is not the case

kuwa waanzishe radio yao ndio ushauri ambao Jasusi hawezi kuusema kwa chama chake chenyewe! shame
 
Nadhani ni kwa sababu Jf imetoka hewani mda mrefu wambeya walikuwa wamezibwa midomo
 
Msitake kutuletea vitu msivyovijuwa.

Katiba ya Tanganyika / Tanzania imesha badilishwa mara 5.

Katiba tuliyonayo sasa imesha fanyiwa marekebisho mara 11.
 
William,
You have missed the point completely. It is significant for the Chadema chairman to be given 30 minutes on Clouds FM, a radio station that a lot of people believed was pro-CCM, to talk about party issue and the coming meeting in Dar on saturday. In the elections of 2005 and 2010 Clouds did not give equal time to Chadema. Today you heard Joseph Kusaga say in front of the Chadema chairman that Clouds is not biased. Even the anti-Chadema broadcaster, Kibonde, excused himself with sick leave because he was ashamed to be seen in the company of a leader of a party he has been dispising on air. That Joseph Kusaga himself said he will be attending the Chadema meeting and giving it coverage on Cllouds FM is a significant development. To me the story is bigger than Freeman Mbowe going to Clouds FM. It is that Clouds FM has seen the wind of change and they are adjusting accordingly.

mzee umekuwa mshabiki mno! hata nafasi ya kuushirikisha ubongo wako unapungua sasa sana

CFM ni kituo cha watu binafsi! hata leo hii chadema wakishika madaraka kitaishi vile kinavyotaka kiishi. labda useme chadema wakishika madaraka wataendesha anchi kidikteta kuwa hata asiyewapenda awapende!! confused!

Kumsema mtu kama Kibonde kunaonyesha una gubu na chuki zako binafsi, Kibonde huwa tunamsikia wote, huwa anawasema vibaya CCM, na anawasema vibaya chadema , pale wanapokosea...sasa hata angekuwa haipendi chadema, ana uhuru wa kufanya hivyo pia!! who says kwa sababu akina fulani wanaipenda chadema kila mtu akipende???? hauoni una jiaibisha hapa??

Mara ngapi akina mnyika, mdee zito wanaalikwa clouds na kusema watakacho?? chadema walianza jana kuingia clouds! sikujua status yako kuwa ni international journalist! I dont believe that! william labda amekosea

Kweli Kusaga na clouds yake wamemwita mbowe kwa sababu ya wind of change?? kwa hiyo wanajikomba kwa mbowe?? who deceived you?? I see the reverse here!!

Ukija deep kisiasa, kama clouds mnasema ya CCM,na iko karibu na JK cant you see there could be something here??

william kasema mda wa kulia lia umeisha, chadema wana Tanzania Daima ambalo linawamaliza wenyewe, Radio mkiwa nayo no wonder mtakuwa mkieleza matatizo ya Juliana na Heche!!

I support william here, kuna serious problem among you guys! the problem is you dont think, though you think that you are thinking...when we think for you....you tend to hate us! Thinking is not easy

kwa mzee kama wewe acheni ushabiki kwa watoto
 
shibuda mburudishaji hapendi mambo yalale moro anaweza sema nagombea nafisa dr slaa chadema,
 
Kiingereza sio lugha yake. Lugha yake niseme kichaga na kiswahili. Hata marais wa Urusi,China,Japan n.k hawajui kiingereza lakini wanasikilizana na nchi kama Marekani, Uingereza n.k. Ni watanganyika wachache kama ww wanaona kuwa lugha ya kiingereza ni big deal. Ukiongea ukakosea neno wanacheka wakati wenye lugha yao watakuelewa na kukuelewesha zaidi.
 
ppppppppppppiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipppppppppppoooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom